kwa hili sheria inaeleza nini?

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,456
1,563
Nina rafiki yangu ambye ana mchumba wake aliye ishi naye kwa zaidi ya miaka mitatu,akiwa anafahamika kwa wazazi wa msichana kwani ametoa posa na kujitambulisha pia.mwezi huu msichana huyo alifumaniwa usiku akiwa nyumbani kwa mwanaume mwingine,je nini kinaweza fanyika kwa misingi ya sheria?
tunaomba msaada wenu.
 
huyo mkaka anaweza vunja uchumba na kudai mahari yake.afungue kesi ya madai mahakamani...
 
mpe pole sana, kimsingi mahari au posa ni sababu za msingi za kupewa msichana huyo na kummiliki kama mke, na unakuwa na uhuru nae bila hata kuingiliwa na wazazi wake.
kimsingi huyu alikuwa kama mke wake, na sheria inaruhusu kumuacha mkee kama amefanya mapenzi njee ya uhusiano, na hii sheria ipo hata kwenye sheria za kikristu, ambazo zinasema huwezi kumuacha mkeo/mumeo, lakini akijulikana alitembea njee ya uhusiano basi unaruhusiwa kumuacha.
USHAURI WANGU: 1. kama anaweza amuache,
2. pia kama atataka anaweza kudai mahari yake, sawa
3. pia anaweza kumsamehe
vyote hivyo sheria inaruhusu.
 
Back
Top Bottom