Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

Ni vigumu sana kwa aliyeshiba kumkumbuka mwenye njaa waliweza kina nyerere na sokoine tu.si katika ichi kizazi kinachotumikia matumbo yao binafsi
 
Kunna aina ya watu wanapenda watu wanatumia vitu na kuna aina watu wanapenda vitu wanatumia vitu hivyo dada unaweza kujua huyu ni aina gani ya mtu
the good die young.....RIP..
 
Nimeamua kuandika habari hii baada ya kujishauri tangu nikiwa Igunga!

Rostam Aziz amekuwa Mbunge wa Igunga tangu mwaka 1994 ambapo mpaka sasa ni takribani miaka 17 chini ya uongozi wake. Nilikuwa sijawahi kufika Igunga kabla hivyo sikuifahamu ilivyo.Siku Rostam anajiuzulu alieleza mafanikio mengi aliyoyafanya Igunga nikadhani Igunga hali ni shwari na watu wanamaendeleo mazuri,nilivyofika sikuamini nilichokiona. Rostam alitudanganya. Katika tembea yangu yote hapa nchini sijawahi kuona Wananchi wanashida kama wa Igunga.

Mambo yafuatayo nimeyagundua katika jimbo la Igunga;

1. Wananchi wengi wa Jimbo la Igunga hawajui kusoma na kuandika mpaka vijana wadogo

2. Wananchi wengi wa Igunga wanatembea hadi Kilomita 13 kufuata maji kwenye Makomero tena maji yenyewe sio safi wala salama

3. Wananchi wengi wa Igunga wanatembea hadi Kilomita 10 kufuata shule,wengine wanaenda hadi 20

4. Kwenye kata nilizopita hawaelewi wala kuzijua shule za awali.

5. Wananchi wengi wanatembea umbalimrefu kufuata Zahanati na hayo majengo yenyewe ya Zahanati unaweza kulia.

6. Hakuna barabara za kuunganisha kijiji kimoja na kingine,njia zilizopo ni mapitio ya ng'ombe.

7. Wananchi wengi hawana vyoo wala hawana mpango wa Kujenga vyoo,wao wajenga mabafu tu yanayotumika kuogea na kujisadia haja ndogo,haja kubwa utajua mwenyewe.

8. Zipo Kata ambazo hazing mawasiliano ya simu

9. Lipo Kabila mpaka leo wanatembea uchi kama kwa King Muswati.

10. Wapo wanaotembea karibu Kilomita 13 kufuata TV waone taarifa ya habari na mambo mengine. Hii ni Kata anayotoka Dr. Kafumu

11. Na mengine mengi madogo madogo.

Rostam alikuwa na uwezo wa kupunguza hayo niliyoyataja kwasababu zifuatazo

1. Alikuwa ni Mbunge hivyo alikuwa na fursa ya kupiga kelele ndani na nje ya Bunge na akasililizwa.
2. Alikuwa Mbunge mwenye ushawishi ndani ya chama chake hivyo angeweza kushawishi Mawaziri ili miradi iende Jimboni kwake.
3. Alikuwa Mbunge tajiri sana,kama aliweza kuipa CCM,Mabilioni ya shillingi,Kama aliweza kuhonga watu mbalimbali mamilioni ya shilingi alishindwaje kusaidia Jimboni kwake? aliishia kuwanunulia tu simu Mabalozi wa Nyumba Kumi ili wamfanyie Kampeni.
4. Alikuwa anafahamiana na wafadhili wengi tu wa Maendeleo wa ndani na nje ya nchi alishindwaje kuwashawishi wawekeze kwake?

Rostam aliyaweza haya yote lakini hakujali kwakuwa hakuwa na lengo la kuwatumikia Wananchi wa Igunga. Kwasababu hizo basi nashawishika kusema kuwa Rostam ni zaidi ya DUBWANA ni mtu anayeongoza kwa roho mbaya hapa nchini. Hana huruma hata kidogo, anajali maslahi yake tu.. Bora ulivyojiuzulu, ungejiuzulu na utanzania kabisa, ukaombe uraia wa nchi nyingine huko ughaibuni sio Afrika!

Nawasilisha!

Uliwahukumu wenzio ukiwa duniani, sasa mbele ya kiti cha enzi ni zamu yako.
Sina nia mbaya kumhukumu hayati Regia bali nakumbusha "USIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA"
kazi ni kwako Madam huko uliko!

BURIANI!
 
Nimetaka kukujibu lakini baada ya kusoma jina lako nimeamua kukupuuza.
RIP Regia, you'll always be cherished.

Uliwahukumu wenzio ukiwa duniani, sasa mbele ya kiti cha enzi ni zamu yako.
Sina nia mbaya kumhukumu hayati Regia bali nakumbusha "USIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA"
kazi ni kwako Madam huko uliko!

BURIANI!
 
Uliwahukumu wenzio ukiwa duniani, sasa mbele ya kiti cha enzi ni zamu yako.
Sina nia mbaya kumhukumu hayati Regia bali nakumbusha "USIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA"
kazi ni kwako Madam huko uliko!

BURIANI!
Unaweza ukawa Sawa au Usiwe Sawa Mtoa mada r.i.p. Pengine alishikwa na Jazba tu but Mtu yeyote akiomba msamaha husamehewa so hii itabakia kama ilivyo sababu Rostam hakuwahiOmba Msamaha kwa Wananchi yawezekana kwa Mungu wake alishaomba au anaendelea Kuomba Samehe Saba mara Sabini.. Ukisamehe na Mungu Anasamehe..

Na Pia Usilaani kwani nawe Utalaaniwa
 
Uliwahukumu wenzio ukiwa duniani, sasa mbele ya kiti cha enzi ni zamu yako.
Sina nia mbaya kumhukumu hayati Regia bali nakumbusha "USIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA"
kazi ni kwako Madam huko uliko!

BURIANI!

Before answering dis absrd person,read his name!
 
Uliwahukumu wenzio ukiwa duniani, sasa mbele ya kiti cha enzi ni zamu yako.
Sina nia mbaya kumhukumu hayati Regia bali nakumbusha "USIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA"
kazi ni kwako Madam huko uliko!

BURIANI!

This is too low!, It is true that when one passes away there are people who can be happy with that death but they always show it in private. When you show it in public! kule kwetu watu hukuita MCHAWI

Sidhani kama mwanadamu anapokufa anakuwa amehukumiwa kwa mabaya yake. Kifo si hukumu bali ni WAJIBU None can leave forever in this world. When one of us becomes lifeless; its a reminder that we are all in the same path. KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.

' Death is a natural part of life. Rejoice for those around you who transform into the Force. Mourn them do not. Miss them do not. Attachment leads to jealously. The shadow of greed, that is' - Jedi Master Yoda.

R.I.P Regia Mtema. We are all in the same path, Today was your turn tomorrow will be ours!
 
IMG_20181031_232824_803.JPG
Mkuu jingalao Magonjwa Mtambuka mmebaini tofauti yoyote ya kipindi hicho na sasa?
 
1. Mohhamed Dewji; 1.3 Billion Us$
Mohammed Dewji is one of the youngest richest people in the continent of Africa at just 40 years of age. He owns a magnificent 75% stake in the METL Group which is one of the largest industrial conglomerates in the country.

2. Rostam Azizi; 1 Billion Us$
He holds the record of being the first ever billionaire that the nation of Tanzania has produced. He is the owner of a Caspian Mining, a mining company that provides professional services for bigger mining companies such as Barrick Gold and BHP Billiton.

3. Said Salim Bakhressa; 650 Million Us$
He ventured into business at the age of 14 after dropping out of secondary school. From selling potato mixes to opening a small restaurant and then venturing into grain milling, Mr. Bakhresa has been building his business empire steadily for the past 30 years and today, he has become one of the richest men in East Africa.

4. Reginald Mengi; 560 Million Us$
Mr. Reginald Mengi heads and owns one of the largest media conglomerates in the continent of Africa known as the IPP Media Group. The IPP media group encompasses 11 radio stations, Television stations, newspapers and Internet facilities.

5. Ally Awadh; Undisclosed
He worked hard to become licensed by the government and now his company Lake Oil Group, deals with the importation and distribution of petroleum products across the country.

6. Shekhar Kanabar; Undisclosed
He is the manager of the Synarge Group and this conglomerate is already one of the most acknowledged conglomerates in Tanzania

7. Subash Patel; Undisclosed
He is a member of the Institution of Electric Engineers has an affiliation with, MMI Steels Resource Limited and Nyaza Road works Limited. In a time, a frame of about 20 years, Mr. Patel has expanded his horizons from rolling mill business to metamorphosis into one of Tanzania’s leading conglomerate known as the Motisun Group.

8. Ghalib Said Mohamed; Undisclosed
Ghalib was a partner to his father and they were gurus in the cashew plant business and also general commercial activities.
Ghalib, however, decided to set up his own personal franchise which he named as the GSM group.

9. Fida Hussein Rashid; Undisclosed
Fida Rashid is the founder of Africarriers group. Africarriers group as a company became the first of its kind to deal with second-hand vehicles.

10. Yusuf Manji; Undisclosed
Mr. Yusuf Manji has interests in real estate, both the residential and commercial aspects of it. He is the founder of Quality Group of companies. Yusuf Manji also has an involvement in the automotive industry in Tanzania.
 
Mkuu unataka kusemaje?
Hii ndio hit list yako, unapiga mstari jina la aliepitiwa na upepo tayari?
 
Huyo marehemu enzi za uhai wake, hakuwai kumtukana JK wala kutumia lugha ya dharau dhidi yake.

Alikuwa na busara flani kama Joseph Haule MC shupavu. Unafikiri imetokea janga baya kwa Haule(Mungu epushia mbali isitokee) huyu wa sasa hatakwenda au kutuma rambirambi?
Hivi unajua Mnyika aliwahi kumuita JK dhaifu bungeni,lakini alipokutana naye walisalimiana na kucheka na hata ikulu pia alipokelewa bila kinuniwa.

Huyo marehemu enzi za uhai wake, hakuwai kumtukana JK wala kutumia lugha ya dharau dhidi yake.

Alikuwa na busara flani kama Joseph Haule MC shupavu. Unafikiri imetokea janga baya kwa Haule(Mungu epushia mbali isitokee) huyu wa sasa hatakwenda au kutuma rambirambi?
Huyu wa sasa ni lini alishiriki msiba wa kitaifa? Tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom