ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
Misahau Mzee John S. Malecela alishasema wakati fulani akiwa Arusha kwamba 'wafanya biashara mkitaka mambo yenu yawanyookee jiungeni CCM'. Kama sikosei kuanzia wakati ule, msururu wa wafanyabiashara ndo wakaanza kumiminika CCM. Rejea Askofu (mzee wa tanzanite) alipojitoa NCCR Mageuzi na kuhamia CCM. Kifupi ccm iliasisi ushenzi huu wa businessmen kutumia siasa kama kivuli cha wao kuwaibia wananchi na taifa letu la tanganyika.