TWALICIOUS
Member
- May 26, 2011
- 42
- 0
ni kiwa kama mdau na mwanamapinduzi katika sekta ya elimu sioni sababu ya wanafunzi wa art kwa O-level kusoma biology kwani ukiangalia kwa kiasi kikubwa asilimia 75 ya wanafunzi Tanzania hawana hzo mnazoziita maabara,wala hvyo vifaa kwa ajili ya kufanyia hzo practical assume shule ni ya kati,waalimu wa somo husika ni mmoja na maabara hakuna sasa wanafunzi watawezaji kufanya hizo practical....sasa basi ni kiwa kama mdau wa elimu sioni sababu za somo hili kuendelea kuwepo kwa wanafunzi hao...its mental confusion tu.....assume mtu amefauli biology na alisoma art atawezaji kuapply kama arts masomo yajulikane na si kuchanganya mambo mara sayansi mara arts hizi ni athari za ukoloni tukiwa kama wana mabadiliko tuangalie juu ya hilo!!!!