Kwa hili la CDM jangwani kweli Dar ina wenyewe

Mwaka huu mmeshikwa pabaya! Umekazania Dar kuna Wenyewe, sasa wenyewe ndo kina nani?!
Acha kuwa na mawazo magando wewe, nijuavyo mimi Dar ya sasa sio ya kipindi kile Taifa linapata uhuru kutoka kwa mkoloni, ambapo asilimia kubwa walikuwa Wazaramo and the likes. Dar ya sasa ina-mchanganyiko wa watu (makabila) kila aina na kutoka kila pembe ya nchi kuanzia Wazaramo, Wasukuma, wadengereko, waha, wachaga etc. Single yenu mliyotoa ya u-Kaskazini imeanza kuchuja nini?! mmekuja na Single nyingne ya 'Dar kuna Wenyewe'?!. Baada ya hii single ya sasa, mtakuja na single gani?! Mbona kipindi hiki tutasikia mengi.
Hii ni dalili ya kushikwa sehemu mbaya na magamba yamepata moto.



Huyu GAMBA bila shaka anaposema DSM in wenyewe anamaanisha WALE WAZEE WA DSM AMBAO raisi KIKWETE ANAKWENDAGA KUWAPAGA UDAKU, NA KUOMBA USHAURI WA KUONGOZA NCHI.


Sasa CDM wameamua kuiita Jangwani kuwa ni CDM SQUARE

Ikiwezekana kwa kujibu mapigo CCM nao waitishe mkutano kama ule wa juzi tuone watafika wangapi!!!!!!

ili wabadilishe paitwe CCM SQUARE;

Juzi hakukuwa na FUSO lililowabeba wana CDM, bali kila mtu alijitegemea kwa uchungu wa nchi na mapenzi kwa CDM.

Ingelikuwa ni mkutano wa CCM, pale wangeletwa na MAFUSO kutoka Lindi na Mtwara ili uwanja ujae.


WANA-CCM JUZI WALITAMANI KUZIMIA, WENGINE WALIKATAA KUFUATILIA HATA ITV eti wamekunywa maji ya Bendera!!!




MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Jibu hoja sio kulalamika kama mwenyekiti wako ww, unalia lia sana na waonekana wapenda kulia kulia ntakuja kukubembeleza mpaka ulale
reply zako zinaonesha kabisa huna akili!unafaa kuimba taarabu make mipasho inakufaa!what do u want to tell us, i was there, we had a good number of people who came by themself, no free bus or fuso like u used to fool people!we locked the city, 2015 u will remember my words!
 

Huyu GAMBA bila shaka anaposema DSM in wenyewe anamaanisha WALE WAZEE WA DSM AMBAO raisi KIKWETE ANAKWENDAGA KUWAPAGA UDAKU, NA KUOMBA USHAURI WA KUONGOZA NCHI.


Sasa CDM wameamua kuiita Jangwani kuwa ni CDM SQUARE

Ikiwezekana kwa kujibu mapigo CCM nao waitishe mkutano kama ule wa juzi tuone watafika wangapi!!!!!!

ili wabadilishe paitwe CCM SQUARE;

Juzi hakukuwa na FUSO lililowabeba wana CDM, bali kila mtu alijitegemea kwa uchungu wa nchi na mapenzi kwa CDM.

Ingelikuwa ni mkutano wa CCM, pale wangeletwa na MAFUSO kutoka Lindi na Mtwara ili uwanja ujae.


WANA-CCM JUZI WALITAMANI KUZIMIA, WENGINE WALIKATAA KUFUATILIA HATA ITV eti wamekunywa maji ya Bendera!!!




MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Hujajibu chochote kwenye hoja zaidi ya nyimbo hizo za taarabu, unafaa sana kujiunga na Jahazi ww, na hivi huna kazi ntakusaidia wakupe hii kazi yakuimba.
 
We jidanganye tu ILA ITAFAHAMIKA TU endelea kujiliwaza na hizo statistics zako wakati wenzako wakiendelea kuvua magamba na kuvaa magwanda
 
reply zako zinaonesha kabisa huna akili!unafaa kuimba taarabu make mipasho inakufaa!what do u want to tell us, i was there, we had a good number of people who came by themself, no free bus or fuso like u used to fool people!we locked the city, 2015 u will remember my words!

Nimekuuliza hujajibu, ww dar ulikujaje ? jibu basi mbona unakimbia kimbia
 
Maneno yako twayyyib! kale kajiumati wengi wao ni mafundi gereji waliobebwa na malori ya wachaga kutoka kigogo dampo, tabata, mabaamedi wa Sinza, wauza kitimoto wa kimara, mbezi, na ubungo.

Hawa Chadema kweli wageni mjini hawajawahi kuona jangwa linavyojazwa? ule ulikuwa mkutano wa Injili tu ndio maana kulikuwa na makapu ya sadaka Lema anakusanya, mkutano wa siasa sadaka za nini?

Kwani Lema amekuwa shemasi tangu alipoondolewa ubunge??
 


naunga mkono hoja! jangwani ile wakifunga CCM inajaa hadi inatema! utawasikia wapinzani ohh wamebebwa na malori..

si mnawalisha watu pilau na kuwawekea taarabu na akina kapteni komba?? bongo fleva usiseme ...watoto wote wa mjini lazima waje..ha ha ha!
 
Hujajibu chochote kwenye hoja zaidi ya nyimbo hizo za taarabu, unafaa sana kujiunga na Jahazi ww, na hivi huna kazi ntakusaidia wakupe hii kazi yakuimba.


Umeona eeeeeeee!!!!!!!!

Taarabu wanaimba CCm na John Komba.

NA BADO HUU NI UPEPO tu UKIPITA INAKUJA MVUA KUBWA KULIKO MLIYOSHUHUDIA PALE CDM SQUARE Juzi.

Kabla ya mwaka 2015 CCM wote mtafunga ofisi, yuheri atakayebaki wa mwisho kwani atarithi mali zote za CCM.

KIMBUNGA INAKUJA SUBIRINI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Wenye dar yetu wala hawatunyimi usingizi, subirini 2015 . Kwa ww wakuja wa dar ndio mnao babaika

wewe GB asante umenifurahisha sana leo kwa thread yako ya utani! LOL!

hivi huyu Mnyika ni mbunge wa wapi? na waliomchagua si ni watu wa dar?? mdee je? au nyie wenyeji wa dar jijini DSM mko sehemu gani hasa?
 
Kampeni za ccm zakufunga wakati wa uchaguzi wa 2010 watu uwanja ule walijaa kuliko haw a wa cdm , nilishangaa kuona jangwani uwanja una gap kubwa sana japokuwa matangazo mliyafanya kwa nguvu sana. Duh kweli cdm Dar hamna lenu, napendekeza makao makuu ya cdm yahamie arusha

Ndugu, unajua maana ya hiyo ID yako? Si ni kweli mnasombaga watu kwenye mikutano yenu? Mnawekewaga vizigiti na polisi kama CDM? Umeongelea siku kufunga kampeni, je siku ya kufungua ilikuwaje? Mkutano wa juzi kumbuka ni mkutano wa kwanza kwa Dar. Mpaka leo kila mtu anaongelea huo mkutano wa juzi ikiwa ni pamoja na kujilaumu kutohudhuria. Ukiitshwa mwingine ndo utapata majibu sahihi.
 
Haohao
Tathmini ya kisayansi ya mkutano wa cdm jangwani ni kama ifuatavyo :
  • Imedhihirika kweli DAR KUNA WENYEWE na si kama Arusha, kwani kwa idadi ya watu , Dar ina watu wengi kuliko Arusha , ila Arusha kwenye mikutano ya cdm watu wengi hujitokeza kuliko hata wale walioonekana jangwani pale kwenye kile ‘kijiumati’ japokuwa matangazo yalikuwa mengi. Hii yadhihirisha Dar ina wenyewe, na wengi wetu ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki
  • Mbowe adhihirisha ni mgeni na historia ya Dar. Uwanja wa Jangwani anaujua historia yake? Ni jambo la kushangaza na kustaajabisha kuuita uwanja wa jangwani ni ‘cdm square’. Wenye hadhi hiyo ni wakazi wa Dar wenye kuujua asili ya uwanja ule, mtu km Mbowe wakuja hadhi hiyo ameipata wapi? Ni jambo la ajabu na kustaajabisha
  • Cdm kwa dar mambo ni magumu sana, tuliambiwa kwenye kwenye magazeti (na sijui km ni kweli) kuwa kwa arusha na yenye watu wachache kuzidi Dar watu 10,000 walirudisha kadi, ila kwa Dar na yenye watu wengi zaidi ya Arusha ni 3100 tu. Ndio narudia kusema Dar ina wenyewe sio mji wa kuvamia vamia tu
Kwa haya machache yaonyesha wazi cdm kwa Dar mna kazi ya ziada, Dar ina wenyewe sio km Arusha. Na wengi waliojitokeza kwenye ule mkutano 80% ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki.

Hao unao waita wakuja ndio watakao ikomboa Dar kutoka mikononi mwa magamba na kwa kuanzia wameanza na majimbo ya Ubungo na Kawe.
 
kitu kikubwa nilichojifunza ni kuwa cdm members wana roho mbaya sana..sisi wote ni watz.. na kawaida binadamu mwenzio akipata matatizo unatakiwa umfariji..tofauti na cdm members wao wamekuwa wauaji..wana ccm wamekuwa wakijitahidi kujifariji kutokana na umauti unaowanyemelea kwani imethibitika hiyo kansa hawaponi tena..lakini cdm wamezidi kuwaimbia wimbo wa kifo..mi nadhani sasa cdm ifikie kuacha kuwasakama wana ccm ili ukifika muda wa wao kurest in peace wasitafute chanzo maana wanachosubiri ni saa tu..
 
jamani naomba huyu jamaa aelewe kuwa nchi hii kila mtu anaruhusiwa kuishi na kuweka makazi yake popote kwa kufuata kanuni na taratibu zilizopo bila kuvunja sheria,,,,wakazi wa dar ni wengi sana ila na asilimia kubwa siyo wazaliwa wa pale lakini hao wanahaki ya kupiga kura kama wamejiandikishia huko,,,,, cdm hawakufanya mkutano wakiwatafuta wazawa wa dar kama ingekuwa hivyo ila walikutana na watu wote bila kuhoji huyu mtu ni mzaliwa wa wapi, tukiangalia hivyo hata arusha siyo wakazi wote ni wazawa wa arusha watu wametoka sehemu mbalimbali kutafuta maisha jambo ambalo haliwazuii kuhudhuria mikutano ya siasa kama mwandishi anavyotaka kutuaminisha.

Idadi ya watu waliojitokeza pale tunasema ni wakazi wa dar kwakuwa mkutano ule ulifanyikia mkoa huo naomba mwandishi kama uliumia sana usitake kuanzisha vijisababu visivyo na msingi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,sikutegemea kama kuna mtu anaweza sema sehemu au mkoa fulani "una wenyewe" nchi hii ni mali ya kila mtu kama ni hivyo mbona watu wanaomiliki asilimia kubwa ya maeneo ya dar siyo wazawa??????? Tena inawezekana wewe huna hata hatua moja ya kijisehemu cha kukuzikia tu. Ndugu zangu tumpuuze huyu mtu sana
 
Sawa kabisa bwana Gb,kwa hiyo arusha kadi 10000,Dar-3100,endelea kuhesabu M4c bado inaendelea.
 
Back
Top Bottom