Kwa hili la CDM jangwani kweli Dar ina wenyewe

shule ki2 cha muhimu sana, hujui kusoma angalia hata picha huenda ukaelewa kidogo, watu kma nyie mpaka mpondwe na nyumba ndo mtaamini nyumba yenu hainabudi kuanguka!
 
CCM.jpg
Nadhani picha zinazungumza zaidi kuliko maneno.
 
wewe na Mzee Akilimali wa Yanga inaonekana mawazo yenu na akili vinafanana, asante kwa kututuknana. Ndio maana wengine tueamua kubakia huku kwetu na M4C mkiikataa itashika kasi kutokea huku huku!

Cdm bana badala yakujibu hoja wanabaki wanalalamika km mwenyekiti wao pale jangwani, analia lia weeee polisi wamuonee huruma na tume ya katiba iwaonee huruma. Na ww tena hapa unamuiga na ww unalia , tukusaidiaje?
 
Maneno yako twayyyib! kale kajiumati wengi wao ni mafundi gereji waliobebwa na malori ya wachaga kutoka kigogo dampo, tabata, mabaamedi wa Sinza, wauza kitimoto wa kimara, mbezi, na ubungo.

Hawa Chadema kweli wageni mjini hawajawahi kuona jangwa linavyojazwa? ule ulikuwa mkutano wa Injili tu ndio maana kulikuwa na makapu ya sadaka Lema anakusanya, mkutano wa siasa sadaka za nini?

Hebu punguzeni jazba bana,
Mambo yameharibika, kelele za mitandaoni hazitawanusuru na dhoruba hii vijana.
Hili pigo takatifu litawakaa akilini mwenu daima.
 
shule ki2 cha muhimu sana, hujui kusoma angalia hata picha huenda ukaelewa kidogo, watu kma nyie mpaka mpondwe na nyumba ndo mtaamini nyumba yenu hainabudi kuanguka!

Jibu jibu hoja mzee, nyie ndio wale wale wakuja wa dar, mliletwa na mbio za mwenge au mafuso yanayotoka mikoani
 
Nimefurahi kuona kuwa na wewe ulifuatilia yaliyojiri pale CDM SQUARE.
Kumbukumbu ya umati kama ule uliona lini hapo jangwani ya ZAMANI (CDM SQUARE) kama si enzi za Papa John wa II.
Sijui lakini kama unalijua hili maana unaonekana huna lolote unalojua.
akaulize na TFF kama walipata mapato ya kiingilio kiasi gani dhidi ya taifa stars na malawi then atapata jibu na sababu.
 
Wewe waonyesha ni wale wale wakuja wa dar, km kin a Mbowe, Slaa, Mnyika nk asili yao ni kaskazini si Dar, na ww umo kwenye kundi hilo. Wote wa kuja mnajulikana tu, inawauma sana kusikia Dar in a wenyewe na ndicho mlicho kipata pale jangwani

Samahani, wewe ni mzaramo??
 
wale wa kufunga kampeni walibebwa na malori hawa wa chadema hakuna hata mmoja aliyebebwa na malori,hata sisimizi wenyewe hakuna hata mmoja aliye kanyagwa kutokana na ule umati kutulia na kusikiliza mambo ya msingi wa taifa letu

Kile kijiumati wengi wao ni mafundi garage, ma baamedi, wauza maduka ya mwenge pale kutoka kaskazini sasa haw a kweli na akili zako unaweza sema wakazi wa dar kweli? na ww ni mmoja wapo wa haw a sina shaka
 
akaulize na TFF kama walipata mapato ya kiingilio kiasi gani dhidi ya taifa stars na malawi then atapata jibu na sababu.

Duh kweli upeo wako wakuona mwanga una mushkiri aisee, nyie ndio ambao unaulizwa mchana unajibu usiku, jitambue jibidiishe akili ifanye kazi isiwe bongo lala
 
Tathmini ya kisayansi ya mkutano wa cdm jangwani ni kama ifuatavyo :
  • Imedhihirika kweli DAR KUNA WENYEWE na si kama Arusha, kwani kwa idadi ya watu , Dar ina watu wengi kuliko Arusha , ila Arusha kwenye mikutano ya cdm watu wengi hujitokeza kuliko hata wale walioonekana jangwani pale kwenye kile ‘kijiumati' japokuwa matangazo yalikuwa mengi. Hii yadhihirisha Dar ina wenyewe, na wengi wetu ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki
  • Mbowe adhihirisha ni mgeni na historia ya Dar. Uwanja wa Jangwani anaujua historia yake? Ni jambo la kushangaza na kustaajabisha kuuita uwanja wa jangwani ni ‘cdm square'. Wenye hadhi hiyo ni wakazi wa Dar wenye kuujua asili ya uwanja ule, mtu km Mbowe wakuja hadhi hiyo ameipata wapi? Ni jambo la ajabu na kustaajabisha
  • Cdm kwa dar mambo ni magumu sana, tuliambiwa kwenye kwenye magazeti (na sijui km ni kweli) kuwa kwa arusha na yenye watu wachache kuzidi Dar watu 10,000 walirudisha kadi, ila kwa Dar na yenye watu wengi zaidi ya Arusha ni 3100 tu. Ndio narudia kusema Dar ina wenyewe sio mji wa kuvamia vamia tu
Kwa haya machache yaonyesha wazi cdm kwa Dar mna kazi ya ziada, Dar ina wenyewe sio km Arusha. Na wengi waliojitokeza kwenye ule mkutano 80% ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki.

naunga mkono hoja! jangwani ile wakifunga CCM inajaa hadi inatema! utawasikia wapinzani ohh wamebebwa na malori..
 
Analysis nyingine nafikiri hua zinafanyikiaga chooni wakati mtu anajihudumia haja kubwa!!

Possibly hata zinatumika kupunguza msongo wa mawazo na katika kujiweka bize chooni ndio mtu anaamua apost kitu chochote kimjiacho kichwani!!

Hii ni dhahiri kua kadiri tuendeleako huko mbele, basi majalala yaliyopo yatakua hayatoshi kwa vichaa waliopo na wanaotegemewa kutokea.

Nachelea kusema kua ni dhahiri asilimia kubwa ya wengi wetu ni "misukule" na hatulijui kama hilo
 
Mtaendelea kuliwa na kauli ya dar ina wenyewe.ccm mpaka wajaze uwanja huo wa chadema square mpaka wamlete 50cent,mmezoea kuupotosha ukweli na magamba yenu

Wakuja wa Dar hao , tutawajua mmoja baada ya mwingine, labda nikuulize ulikuja dar kwa usafiri gani au kampeni gani ?????????????
 
Kampeni za ccm zakufunga wakati wa uchaguzi wa 2010 watu uwanja ule walijaa kuliko haw a wa cdm , nilishangaa kuona jangwani uwanja una gap kubwa sana japokuwa matangazo mliyafanya kwa nguvu sana. Duh kweli cdm Dar hamna lenu, napendekeza makao makuu ya cdm yahamie arusha

haya majina yangekuwa yanauwezo nadna anayelitumia hili jina angepelekwa mahakamani kwani matendo yake no kinyume na jina lenyewe!vilza wengi sana dunia na hili likilaza linaweza kuwa miongoni mwa wanaoshikilia ubingwa wa ukilaza Tanzania.
 
Tathmini ya kisayansi ya mkutano wa cdm jangwani ni kama ifuatavyo :
  • Imedhihirika kweli DAR KUNA WENYEWE na si kama Arusha, kwani kwa idadi ya watu , Dar ina watu wengi kuliko Arusha , ila Arusha kwenye mikutano ya cdm watu wengi hujitokeza kuliko hata wale walioonekana jangwani pale kwenye kile ‘kijiumati’ japokuwa matangazo yalikuwa mengi. Hii yadhihirisha Dar ina wenyewe, na wengi wetu ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki
  • Mbowe adhihirisha ni mgeni na historia ya Dar. Uwanja wa Jangwani anaujua historia yake? Ni jambo la kushangaza na kustaajabisha kuuita uwanja wa jangwani ni ‘cdm square’. Wenye hadhi hiyo ni wakazi wa Dar wenye kuujua asili ya uwanja ule, mtu km Mbowe wakuja hadhi hiyo ameipata wapi? Ni jambo la ajabu na kustaajabisha
  • Cdm kwa dar mambo ni magumu sana, tuliambiwa kwenye kwenye magazeti (na sijui km ni kweli) kuwa kwa arusha na yenye watu wachache kuzidi Dar watu 10,000 walirudisha kadi, ila kwa Dar na yenye watu wengi zaidi ya Arusha ni 3100 tu. Ndio narudia kusema Dar ina wenyewe sio mji wa kuvamia vamia tu
Kwa haya machache yaonyesha wazi cdm kwa Dar mna kazi ya ziada, Dar ina wenyewe sio km Arusha. Na wengi waliojitokeza kwenye ule mkutano 80% ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki.

Katika watu bongo lala we kiongozi wao,hukuna cha wenye mji wala nini.hili wimbi la mageuzi wakubwa zako wa chama wenyewe wanatetemeka halizuiliki wa kaa hivyo hivyo , kalagabaho.........
 
Analysis nyingine nafikiri hua zinafanyikiaga chooni wakati mtu anajihudumia haja kubwa!!

Possibly hata zinatumika kupunguza msongo wa mawazo na katika kujiweka bize chooni ndio mtu anaamua apost kitu chochote kimjiacho kichwani!!

Hii ni dhahiri kua kadiri tuendeleako huko mbele, basi majalala yaliyopo yatakua hayatoshi kwa vichaa waliopo na wanaotegemewa kutokea.

Nachelea kusema kua ni dhahiri asilimia kubwa ya wengi wetu ni "misukule" na hatulijui kama hilo

Tumekusikia, endelea...........Kama huna kajifungie ndani up ewe ugali ule, ukajisaidie then ulale
 
Katika watu bongo lala we kiongozi wao,hukuna cha wenye mji wala nini.hili wimbi la mageuzi wakubwa zako wa chama wenyewe wanatetemeka halizuiliki wa kaa hivyo hivyo , kalagabaho.........

Wakuja mwingine huyo, utujibu tu ulikuja kwa usafiri gani wa treni, fuso, basi au nn ? na ilikuwa wakati wa kampeni gani, za mwenge, uhuru au nn ?
 
haya majina yangekuwa yanauwezo nadna anayelitumia hili jina angepelekwa mahakamani kwani matendo yake no kinyume na jina lenyewe!vilza wengi sana dunia na hili likilaza linaweza kuwa miongoni mwa wanaoshikilia ubingwa wa ukilaza Tanzania.

Jibu hoja sio kulalamika kama mwenyekiti wako ww, unalia lia sana na waonekana wapenda kulia kulia ntakuja kukubembeleza mpaka ulale
 
Kampeni za ccm zakufunga wakati wa uchaguzi wa 2010 watu uwanja ule walijaa kuliko haw a wa cdm , nilishangaa kuona jangwani uwanja una gap kubwa sana japokuwa matangazo mliyafanya kwa nguvu sana. Duh kweli cdm Dar hamna lenu, napendekeza makao makuu ya cdm yahamie arusha
Mimi nadhani unakosea kufikiri hivyo kwasababu sio wafuasi wote alihudhuria pale, waliokuja pale ni wachache. Pia kumbuka CCM huwa mna kawaida ya kubeba watu kwa magari tofauti na vyama vingine ambapo wafuasi wao huja wenyewe
 
Back
Top Bottom