Kwa hili, JK awaombe radhi Watanzania kisha athibitishe kuwa ni Muongo. Hatutaamini asemacho tena

Asiyesikia la mkuu (BABA WA TAIFA JK NYERERE) huvunjika guu
NYERERE alisema huyu jamaa ni mtoto
sasa tusilie
 
Mtoa mada utuombe radhi kwanza, kwa kushiriki kuinstol kirusi hiki nchini sasa angalia kinavokula mafaili na karibu tz. inakolaps!
 
Mtoa mada utuombe radhi kwanza, kwa kushiriki kuinstol kirusi hiki nchini sasa angalia kinavokula mafaili na karibu tz. inakolaps!

Mkuu nimesema ninajuta na kutubu mwana. Sasa tutumie ANt _ virus ipi? Kaspesky au
 
Jk kwa uongo unafiki ktk majanga yanayotumaliza waTz kujifanya kaguswa wakati uwezekano wa kuchukua tahadhari ulikuwepo, Asiyejua wajibu wake kwa taifa, ni janga la taifa ni zaidi ya mabomu ya mbagala na Goms ni zaidi ya mafuriko yalotukumba juzi kwani itatucost zaidi ya miaka 50 ijayo haina tofauti na ile vita ya kagera
 
Papaa JK mutu ya safari mingi,anaikalaga Magogoni ku mwezi mara 1,siku mingine anakuwaga mmadili yake kutoshanga mafaranga,fagilia mutu ya mujini.
 
chuki chuki chuki.kikwete hana tatizo,kinachojitokeza hapa ni jicho la husda kwa baadhi yetu.kwa hiyo mnataka tumwamini lowasa kwa sababu alijiuzulu?tu
ondoe imani kwa kikwete kwa kuwa watendaji wake walimhujum?fahamuni kwamba kila mtu akiwamo mleta thred angependa kuwa mteule wa nafasi flani ila ameikosa ndo mana analalamika.kikwete hana shida anawajibika na anawahudumia watanzania bila ubaguzi.
 
Faglia yeye,
 
Ta Muganyizi na Wana JF,
Mengi yameongelewa na mengi mabaya ya mkuu wetu wa kaya yanazidi kuongelewa na kuanikwa, tulidhani ndiye kumbe siye, yaliyopita sindwele bana tugange yajayo, sidhani kama atakubali kuwaomba radhi wala kudhibitisha kuhusu Richmond na Dowans, isitoshe hatujui kama wameshalipwa au hawajalipwa, tutapiga mkelelee wee kikubwa watakachoweza kufanya kutumia mbinu zaidi za kuiba.
My take: Nini kifanyike toka sasa, ili makosa yasijirudie, maana wa kuumia ni sisi raia, watanzania, kwangu mimi naona tatizo bado lipo kwenye uongozi, viongozi wenye uchungu na Nchi ni wachache

Wanajamvi nimejaribu kumpima Mkuu wangu wa Kaya nimeshindwa kabisa kupata link na baadae nikawaza nikasema labda mie ndo mjinga. Hebu someni kauli hii ya Jk pale CCM ilipotimiza miaka 34 kule DODOMA.

"Ukweli siwajui wenye Dowans na wala kampuni hiyo siijui...wapo wanaosema
sijasema kuhusu Dowans kwa sababu wanaohusika ni rafiki zangu....sijasema kwa
sababu Chiligati na Pinda wamesema, waliyosema yametokana na kikao changu cha
kamati kuu...." Hii ni kauli ya Jakaya Kikwete katika maadhimisho ya miaka 34 ya
kuzaliwa CCM.JK ameeleza kuwa Wakati waziri wa Nishati na Madini Salum Msabaha
alipomfuata kudai kuwa wizara ya fedha imegoma kuwalipa Dowans, lakini yeye
alimtahadharisha kuwa hii inaweza kuwa kampuni feki.....

Haya aliyasema na niliona mwenyewe na watanzania wengine waliona na kusikia.
Vide hii hapa Hotuba ya JK akiikana Dowans - YouTube

Baadae kidogo kwenye Mkutano wa NEC mwaka huu pale Lowassa alipopewa nafasi ya kuongea Akasema maneno haya kwa Kikwete ambaye hajayakanusha hadi leo kwa sababu alitikisa kichwa kuyakubali.

Lowassa amkumbusha Rais Kikwete

“Lakini Mwenyekiti, naamini utakumbuka jinsi nilivyotaka kuvunja mkataba wa Richmond, nilikupigia simu ukiwa nje ya nchi, lakini ukasikiliza ushauri wa kamati ya makatibu wakuu (Kikwete akatikisa kichwa kukubaliana naye) , mheshimiwa ushauri wa kamati ya makatibu wakuu ndiyo uliopelekea mkataba usivunjwe.
“Pia naomba nikumbushe, nikiwa Waziri wa Maji niliwahi kutuhumiwa kuhusiana na kampuni ya City Water, tena nashukuru Mzee Nimrod Mkono yupo hapa, tukaenda kwenye kesi tukashinda. Sasa katika hili la Richmond kosa langu ni lipi? Je kuwajibika kwa maslahi ya chama changu na ya serikali yangu, utakumbuka ripoti ya Dk. Harrison Mwakyembe wakati anahitimisha Ripoti ya Kamati Teule ya Bunge, alisema kuna aina mbili ya uajibikaji, kwa makosa ya kiongozi mwenyewe na watendaji walioko chini ya kiongozi,

“Dk.Mwakyembe akasema Waziri Mkuu aliyejiuzulu amejiuzulu si kwa makosa yake, bali ni makosa ya watu waliokuwa chini yake (huku akiwa ameshikilia Hansard ya Bunge),”

“Mwenyekiti naomba nikukumbushe kuhusu kashfa zinazohusiana na ‘political perception’, kama si busara za kina Mzee Mkapa mwaka 1997 kule Zanzibar, leo hii usingekuwapo hapo ulipo na ulisema urais ni mipango ya Mungu.

“Unakumbuka kina Mzee Sozigwa jinsi walivyokuja na mafaili kwenye mkutano huo wa NEC kwa ajili ya kukumaliza.

“Hata nilipokutana na Mzee Msekwa pale Dar es Salaam, aliniambia kuna watu wananoa mapanga kwa ajili ya urais wa Lowassa.

“Kibaya zaidi, wanaonitukana ni wana-CCM (Nape, Chilligati na wenzao), lakini hata CHADEMA na wapinzani wengine hawanitukani,” alisema Lowassa.

MY TAKE
Sasa ninachojiuliza na kushangaa ni kuwa Lowassa alipompigia simu JK si kwamba alikuwa anaitambulisha Richmond kwa JK bali alikuwa anataka kuvunja mkataba na Richmond ambayo JK alikuwa akiifahamu!!!!!!!!!!!^$%#* 100%. Kwa nini Watanzania tudanganywe kiasi hiki alafu tuendelee kuchekacheka???? Sasa Jk atuambie vipi tene tuamini anachokisema. Kama ulikuwa huijui Richmond kwa nini Ulikataa mkataba usivunjwe. Hii ni aibu kama pale baba awadanganyavyo wanae kisha wakajua kuwa baba yao muongo. Tuombe radhi vinginevyo hata utakayemrithisha kijiti ni dizaini hiyo hatutamchagua. Nina hasira vibaya sana ninavyoongea hivi ungeniona sura usingeamini.

Usingeamni kama mimi ndiye nilibeba T- Shirt za CCM mwka 2005 na kuwagawia wanafunzi wa Chuo Kikuu Mlimani na kuwasombelea kwenda Diamond Jubilee kukushangilia tukiwa na matumaini makubwa na wewe. Kumbe loo... hadi aibu sasa hivi... kila aliyesema kuwa wewe hutafanya kama ulivyovuma nikambishia sasa hivi namuomba radhi. Na jamaa yangu aliyekuwa akisherekea kunywa soda za wanaharakati wakati anamsaidia Mnyika kuomba kura pale Mabibo Hostel chumaba hadi chumba ili Mnyika ashinde jimbo la Ubungo kisha kura akawapa magamba wote lazima awaombe radhi wanaharakati na zitapike hizo soda. Huyu mzee Jk yaaani...... basi ngoje nilie na kutubu kwa Mungu wangu ninayemjua. Najua waliofanya makosa kama mimi 2005 wako wengi kubalini kisha tusonge mbele. CHADEMA tekelezeni myasemayo kwa wananchi ili na wao wananchi waone tofauti.
 
Huyu mtu mie nilimuona tangu 2005 nilikuwa na umri wa miaka 19!..Alisababisha kura yang nimpe mbowe..Jay K iz a leader ever never seen in my lyf!
 
Hapa bado haujamtia JK hatiani kwa ushahidi huu labda kivingine, ndio tunajua kama JK mchezo mzima anaufahamu.

JK alisema haijui Dowans
EL anaaongolea alivyotaka kuvunja mkataba wa Richmond.
Mkuu ni Utata kidogo, Hebu tupekueni pekueni Huyo Richmond ni Nani na Dawons ni Nani Wasijewakawa mabinamu hawa ie Shangazi kwa Mjomba!
 
Wakuu Upekuzi wangu umenifikisha hapa, katika taarifa ifuatayo inadai kuwa Richmod Ilikabidhi umiliki na shuhuli zake kwa Dowans. Na hilo lilifanyika kabla ya Lowasa kujiuzulu. hapa tunaweza kutiwa changa la macho, naomba tuendelee kupekuwa.

Tanzanian PM to resign over graft

_44410170_palowassa203.jpg
Mr Lowassa told MPs his decision had not been an easy one

Tanzania's Prime Minister Edward Lowassa has tendered his resignation after being implicated in an energy deal corruption scandal. He has denied that his office was involved in improperly awarding a contract to US-based electricity company Richmond Development in 2006.
The firm failed to provide emergency power during a power crisis in 2006.
Following Mr Lowassa's announcement to parliament, two other ministers linked to the scandal resigned.
The BBC's Africa analyst Mary Harper says the offer of resignation from such a senior member of government for alleged links with corruption is unprecedented in Tanzania, and unusual in Africa.
But Tanzania has been getting more serious about corruption since President Jakaya Kikwete was elected in 2005.
Just last month, the governor of the central bank was sacked following the disappearance of public funds from the bank.
'Lacked expertise'
The BBC's Vicky Ntetema in Dar es Salaam says Richmond was contracted to bring in generators to provide 100 megawatts of electricity each day after a drought early in 2006 left low water levels in dams leading to severe power cuts.

o.gif
start_quote_rb.gif
I've offered my resignation... to register my disagreement with the manner in which the committee misled parliament
end_quote_rb.gif

Edward Lowassa
Tanzanian prime minister

But a parliamentary inquiry, launched in November, found that the generators failed to arrive on time and when they did, they did not work as required.
By the time the company was ready to start operations, Tanzania's power problems had been resolved.
Despite these failings, the government was contracted to pay Richmond more than $100,000 a day.
Mr Lowassa's office later influenced the government's decision to extend Richmond's contract despite advice to the contrary from the state-run energy company Tanesco, the inquiry alleges.
Richmond "lacked experience, expertise and was financially incapacitated", ruling party MP Harrison Mwakyembe, who headed the investigation, is quoted by Tanzania's Guardian newspaper as telling parliament on Wednesday.
Richmond transferred its tender to another company, Dowans, last year.
Emotion
Mr Lowassa, who has denied any links to the scandal, has suggested the parliamentary committee investigating the energy deal was given the wrong information.
"I've thought long and hard about this issue. I've offered my resignation without any ill motive," he said in an emotional speech to parliament on Thursday morning.
"I've done it to as a sign of my responsibility and to register my disagreement with the manner in which the committee misled parliament."
Energy and Minerals Minister Nazir Karamagi and Ibrahim Msabaha - a former energy minister and now in the East African Community ministry - resigned on Thursday afternoon.
Our correspondent says Mr Lowassa, who entered politics in the 1980s, is a very close ally of President Kikwete.
But the president is likely to accept his resignation in light of public anger over the scandal, she says.
This is not Mr Lowassa's first brush with controversy.
Under President Ali Mwinyi, he was relieved of his duties as a land minister because of allegations of corruption - a scandal that reportedly infuriated Julius Nyerere, Tanzania's respected independence leader.

chuki chuki chuki.kikwete hana tatizo,kinachojitokeza hapa ni jicho la husda kwa baadhi yetu.kwa hiyo mnataka tumwamini lowasa kwa sababu alijiuzulu?tu
ondoe imani kwa kikwete kwa kuwa watendaji wake walimhujum?fahamuni kwamba kila mtu akiwamo mleta thred angependa kuwa mteule wa nafasi flani ila ameikosa ndo mana analalamika.kikwete hana shida anawajibika na anawahudumia watanzania bila ubaguzi.

Wewe nawe unatumia masaburi.........ishu ni kauli mbili kupishana na kukana kitu anachokijua. Hayo mengine uliyoyasema sijui kikwete sijui Lowassa muulize sijui mkeo. Uko kimagamba magamba nshakusoma muda mrefuuu. Ishu ni logic iko wapi angalia hiyo video kisha soma maneno ya Lowassa kisha jifikirie. Magamba wenzio waliingia wakasoma wakauchuna wewe sijui umekurupukaje. Kama una akili angalia hizo kauli mbili.
 
chuki chuki chuki.kikwete hana tatizo,kinachojitokeza hapa ni jicho la husda kwa baadhi yetu.kwa hiyo mnataka tumwamini lowasa kwa sababu alijiuzulu?tu
ondoe imani kwa kikwete kwa kuwa watendaji wake walimhujum?fahamuni kwamba kila mtu akiwamo mleta thred angependa kuwa mteule wa nafasi flani ila ameikosa ndo mana analalamika.kikwete hana shida anawajibika na anawahudumia watanzania bila ubaguzi.
hv ni kwanini magamba wengi mnafikilia habari za kuteuriwa 2 shughulisha kichwa chako acha uvivu. kama umechoka kopa hela ukanywe juis ulale.
 
Aaarghhh! Mnatuchosha na hilo boga lenu bwana! Rais atakuwa huyo?
 
Wanajamvi nimejaribu kumpima Mkuu wangu wa Kaya nimeshindwa kabisa kupata link na baadae nikawaza nikasema labda mie ndo mjinga. Hebu someni kauli hii ya Jk pale CCM ilipotimiza miaka 34 kule DODOMA.

"Ukweli siwajui wenye Dowans na wala kampuni hiyo siijui...wapo wanaosema
sijasema kuhusu Dowans kwa sababu wanaohusika ni rafiki zangu....sijasema kwa
sababu Chiligati na Pinda wamesema, waliyosema yametokana na kikao changu cha
kamati kuu...." Hii ni kauli ya Jakaya Kikwete katika maadhimisho ya miaka 34 ya
kuzaliwa CCM.JK ameeleza kuwa Wakati waziri wa Nishati na Madini Salum Msabaha
alipomfuata kudai kuwa wizara ya fedha imegoma kuwalipa Dowans, lakini yeye
alimtahadharisha kuwa hii inaweza kuwa kampuni feki.....

Haya aliyasema na niliona mwenyewe na watanzania wengine waliona na kusikia.
Vide hii hapa Hotuba ya JK akiikana Dowans - YouTube

Mbona Dowans na Richmond.Umenichanganya hapo mkuu.
 
Back
Top Bottom