Kwa hili ipigwe kura ya maoni

oba

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
310
65
Kila mara kumekuwa na chokochoko sana si bungeni tu bali ktk vyombo vya habari na baraza la wawakilishi zenji, kwa nini wabunge au wasemaji wanaotokea zanzibar wakichangia hoja wanalalama kuwa wanaonewa ndani ya muungano; si jeshini wala kwenye madini na mafuta, si ktk elimu ya juu wala ktk ugawaji wa misada na mapato kila mara kuna lawama tele kutoka zenj mpaka inakuwa kero! mi nisingependa muungano uwe karaha kiasi hiki, napendekeza ipigwe kura ya maoni nchi nzima bara mpaka visiwani tujadili hatima ya muungano.
Nawasilisha
 
Wale ndugu wa zenj wamezidi kulalama...tena wana kiburi sana!kwani wanajivunia nini cha mno walichonacho kule hata tuendelee kuwang'ang'ania kiasi hiki?kila kukicha lawama tu...ishakuwa kero sasa!
 
Wale ndugu wa zenj wamezidi kulalama...tena wana kiburi sana!kwani wanajivunia nini cha mno walichonacho kule hata tuendelee kuwang'ang'ania kiasi hiki?kila kukicha lawama tu...ishakuwa kero sasa!

Zanzibar ni kuondoa majeshi yetu ya uvamizi na kuitema tu, hata kura haina haja Mkuu.
 
badala ya kufanya kazi wao wanapiga tu domo. mtoto akililia mwembe mpe! kwa hiyo naona bora tuwamwage
 
Back
Top Bottom