Kwa hili hapa nawapa BIG UP Wanawake... keep it up..

Dah, sipati picha umkute kimada wa mumeo anatumia jiko lako, nadhani utamkalisha kwenye jiko linalowaka aungue makalio yake.
WALIMWEUSI mie sitadeal na huyo dada, mie namtaka mume wangu tu! ukute dada wa watu aliambiwa mi bachelor?? mi nadeal na huyu mwandani wangu.
 
ila vimada wanahusika sana kwenye ulimwengu huu wa mtu kuamka amenuna bila sababu
asigwa, yawezekana kweli vimada wana umuhimu, ila FANYIENI MBALI, NIYO NDIYO POINT YANGU, SI KWENYE NYUMBA YANGU, NIPO, NIMESAFIRI. MPELEKE MBALI LOL!
 
Last edited by a moderator:
Sasa hii itakuwa too much... Hata hivyo dada kiukweli mara nyingi hatufanyi hivyo kwa kuwa hatuwapendi au hatuwaheshimu. Inatokea tu...
Tuko, ndio naomba isitokee tu, kuweni na heshima kidogo. itasaidia sana!
 
Last edited by a moderator:
Tuko apology accepted! lol, na siye tunaomba hata kama mmebanwa vipi, mnawataka hao masecretary, nendeni mbali basi, sio kwenye nyumba zetu, na matrimonial bed zetu, kha!

Nawalaani wanandoa wote wanaoweza kufanya unajisi katika altare hizi za kuadhimishia sakramenti ya ndoa
 
asigwa, yawezekana kweli vimada wana umuhimu, ila FANYIENI MBALI, NIYO NDIYO POINT YANGU, SI KWENYE NYUMBA YANGU, NIPO, NIMESAFIRI. MPELEKE MBALI LOL!

Umesisitiza sana hili cacico... ulishatendwa nini?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom