Kwa hili Godbless Lema unakosea

Josephine03

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
752
302
Nasikia kuna maspika makubwa yanapitisha mji wa ARUSHA yakiwa yamerekodiwa sauti ya aliyekuwa mbunge wao Godbless Lema akihamasisha kesho kutakuwa na mkutano wa kiuanaharakati kuanzisha mapinduzi. Kwa mimi nahisi kama kuna ukweli wa hili CDM mmefika mbali tuliangalie kwa jicho la tatu
 
Wewe mapinduzi umeyaelewaje?
 
sasa kwani hapo kuna tatizo gani?mapinduz ya kukataa udhalimu.
 
wasiwasi wako ni nini? hakuna mtu mwenye hati miliki ya nchi hii tunahitaji kujikomboa toka kwa dhalimu ccm. km wewe si sehemu ya mabadikiko, KAA CHONJO SAA MBAYA HII
 
unaogopa nini josephine?hakuna jipya bongo,ya ccm hujayajua?
 
Nipo Arusha sikubahatika kusikia hilo tangazo.
Mapinduzi ndiyo njia pekee iliyobaki, kama mahakama zenyewe zimeshindwa kutekeleza majukumu yake ya kisheria, badala yake inafanya maamuzi kwa maelekezo ya mtu nje ya mahakama tutegemee nini!
Mapinduzi ya aina yoyote, iwe ya kijeshi au ya nguvu ya umma ndiyo njia pekee ya kuiondoa serikali ya majambazi wa ccm madarakani.
 
mwacheni, huyu ni lusinde anajua mapinduzi ni kumwaga damu, ameshakunywa damu ya ccm, hivyo ata upeo wa kufikiri ni zero.
 
Dada ninawasiwasi na uelewa wako katika suala la mapinduzi/harakati.
Au upo mrengo wa wale wanaoathirika na mapinduzi ya kweli
Nasikia kuna maspika makubwa yanapitisha mji wa ARUSHA yakiwa yamerekodiwa sauti ya aliyekuwa mbunge wao Godbless Lema akihamasisha kesho kutakuwa na mkutano wa kiuanaharakati kuanzisha mapinduzi. Kwa mimi nahisi kama kuna ukweli wa hili CDM mmefika mbali tuliangalie kwa jicho la tatu
 
Magamba mkisikia neno MAPINDUZI mnapata hofu? Msiogope tutayatoa magamba yenu kwa kupiga kura wala hatuna malengo ya kubadili rangi ya bendera yetu.

"Mwana-chadema wa jana,leo na kesho"
 
Back
Top Bottom