Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 128
Nimekuwa nikifuatilia habari kupitia redio baada ya umeme kutokuwepo muda mrefu na hivyo kushindwa kufuatilia matukio kupitia TV, redio clouds wamejitahidi sana kwani kuanzia kipindi chao kile cha asubuhi wamefanya coverage nzuri sana kuhusu yaliyojiri kufuatia mafuriko.
Sikuona uzuri wa media za serikali kuhusu hili, kulikoni?
Sikuona uzuri wa media za serikali kuhusu hili, kulikoni?