Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,583
mchungaji huyu pasco ana njaa ya kufa mtu.....angalia post zake utajua nasema nini.....
Dogo bado umefulia?
mchungaji huyu pasco ana njaa ya kufa mtu.....angalia post zake utajua nasema nini.....
Pasco bro... Chill out,
envelope at work.....Nasikia harufu ya kibahasha. Unanchekesha! - courtesy FF
kimtindo lakini siwezi kutetea ufisadi kwa bahasha za jero kama anavyofanya PASCODogo bado umefulia?
Wanabodi,
Nawaombeni sana tuwe more realistic kwa kuwa wakweli ndani ya nafsi zetu kunapofanyika jambo zuli tutoe pongezi na wanapo chemsha tuwape kichapo.
Mimi ni miongoni wa wasikilizaji wa kipindi cha Jahazi na kule nyuma nimeshawahi kutoa mawazo yangu kuhusu kipindi hiki tangu enzi zile. na nikatoa mawazo jinsi baadhi ya watangazaji wao walivyo wapuuzi puuzi na kuongea lugha zisizo na staha!.
Kusema ukweli leo nimesikiliza mahojiano ya Zitto kwenye kipindi cha Jahazi nakiri wazi sasa Kibonde has grown up into a mature young guy. Ule ujinga ujinga wake na ****** ****** ameacha kabisa kwa leo!. Big Up kwa Clouds FM for that!.
Kwa wengine ambao hamkubahatika kusikiliza kipindi cha leo, nawasihi kesho zikilizeni mahojiano na January Makamba, mtakubaliana nami kuwa kwa hili Clouds FM wastahili pongezi!.
Angalizo: Najua pia humu jukwaani tuna lots of hate preachers wa kumwaga, kwao wao hakuna jema, kwao wao kila jambo kwao ni baya na kuvurumisha hate preaching pekee. I beg them, wabadilike!. Kwenye kustahili sifa watoe na kwenye kustahili kubonda ndio wabonde, isiwe basi ni kubonda tuu kila kukicha as if hakuna hata jema moja!.
Mchungaji mi nilijua Lowasa kapewa air time kwenye kipindiSome people bana hii Nayo ni thread! My footy ....it is simply a c rap hivi promo wekeni kwa twitter na FB...huo ni mtazamo wako eti clowns radio inastahili pongezi lol! This goes below the belt
Kusema ukweli leo nimesikiliza mahojiano ya Zitto kwenye kipindi cha Jahazi nakiri wazi sasa Kibonde has grown up into a mature young guy. Ule ujinga ujinga wake na ****** ****** ameacha kabisa kwa leo!. Big Up kwa Clouds FM for that!.
Wanabodi,
Nawaombeni sana tuwe more realistic kwa kuwa wakweli ndani ya nafsi zetu kunapofanyika jambo zuli tutoe pongezi na wanapo chemsha tuwape kichapo.
Mimi ni miongoni wa wasikilizaji wa kipindi cha Jahazi na kule nyuma nimeshawahi kutoa mawazo yangu kuhusu kipindi hiki tangu enzi zile. na nikatoa mawazo jinsi baadhi ya watangazaji wao walivyo wapuuzi puuzi na kuongea lugha zisizo na staha!.
Kusema ukweli leo nimesikiliza mahojiano ya Zitto kwenye kipindi cha Jahazi nakiri wazi sasa Kibonde has grown up into a mature young guy. Ule ujinga ujinga wake na ****** ****** ameacha kabisa kwa leo!. Big Up kwa Clouds FM for that!.
Kwa wengine ambao hamkubahatika kusikiliza kipindi cha leo, nawasihi kesho zikilizeni mahojiano na January Makamba, mtakubaliana nami kuwa kwa hili Clouds FM wastahili pongezi!.
Angalizo: Najua pia humu jukwaani tuna lots of hate preachers wa kumwaga, kwao wao hakuna jema, kwao wao kila jambo kwao ni baya na kuvurumisha hate preaching pekee. I beg them, wabadilike!. Kwenye kustahili sifa watoe na kwenye kustahili kubonda ndio wabonde, isiwe basi ni kubonda tuu kila kukicha as if hakuna hata jema moja!.
Kwani mkuu wa wilaya anatakiwa awe na sifa gani mkuu?Kwa elimu gani aliyonayo mpaka apewe ukuu wa wilaya?.Au ukuu wa wilaya siku hizi ni kazi kama ya u Dj ukijua kupangilia miziki basi wewe ni Dj?
Wanabodi,
Nawaombeni sana tuwe more realistic kwa kuwa wakweli ndani ya nafsi zetu kunapofanyika jambo zuli tutoe pongezi na wanapo chemsha tuwape kichapo.
Mimi ni miongoni wa wasikilizaji wa kipindi cha Jahazi na kule nyuma nimeshawahi kutoa mawazo yangu kuhusu kipindi hiki tangu enzi zile. na nikatoa mawazo jinsi baadhi ya watangazaji wao walivyo wapuuzi puuzi na kuongea lugha zisizo na staha!.
Kusema ukweli leo nimesikiliza mahojiano ya Zitto kwenye kipindi cha Jahazi nakiri wazi sasa Kibonde has grown up into a mature young guy. Ule ujinga ujinga wake na ****** ****** ameacha kabisa kwa leo!. Big Up kwa Clouds FM for that!.
Kwa wengine ambao hamkubahatika kusikiliza kipindi cha leo, nawasihi kesho zikilizeni mahojiano na January Makamba, mtakubaliana nami kuwa kwa hili Clouds FM wastahili pongezi!.
Angalizo: Najua pia humu jukwaani tuna lots of hate preachers wa kumwaga, kwao wao hakuna jema, kwao wao kila jambo kwao ni baya na kuvurumisha hate preaching pekee. I beg them, wabadilike!. Kwenye kustahili sifa watoe na kwenye kustahili kubonda ndio wabonde, isiwe basi ni kubonda tuu kila kukicha as if hakuna hata jema moja!.
Hata shetani sometimes huwa anafanya mema! na hata hayo maovu ni Mungu humwacha ayatende!.
Mkuu MTM, ili kustahili kupongezwa kwa kufanya vema, ni lazima ufanye mara ngapi ndipo wastahili kupongezwa?.Wabongo bwana. Yahisi sana kudanganywa. Kipindi kimoja tuu tayari umeshalainika. Kesho kutwa atamhoji mtu mwingine completely the opposite sijui utarudia ugumu?
Nimesema wakifanya vema wapongezwe na wakiboronga, wabalaswe!.
Mkuu Yoyo ni kweli kabisa!. The fact is Pasco anaishi kwenye lindi la umasikini uliotopea na mara nyingi hushindia maji na kulala njaa. Hivyo ni kweli kabisa siku zote ni mtu mwenye njaa ya kufa mtu, hata huu utetezi wa Clouds ameuleta ili alipwe na Jo, Zitto na January ili angalau asishindie maji na kulala njaa!.mchungaji huyu pasco ana njaa ya kufa mtu.....angalia post zake utajua nasema nini.....
Mkuu Yoyo hizo bahasha sio za jero ni za buku buku tuu mimi zinanitosha kumtetea yoyote, kwasababu hata shetani mwanzo alikuwa ni malaika!.kimtindo lakini siwezi kutetea ufisadi kwa bahasha za jero kama anavyofanya PASCO
Kuna haters with justified reason to hate. This is ok. Lakini humu jf tuna haters ambao they just hate with no any justified reason, they just hate!.
Haters wa aina hii wanaugonjwa bila wao kujijua. its a psychological problem caused by deep rooted neurosis, na wata end up suffering chronic deseases bila kujua chanzo cha magonjwa yao!.
I beg them to change, please be appreciatives kwenye madogo, Mungu atawafanyia makubwa!.