Kwa Hili, Clouds FM Inastahili Pongezi!.

Wanabodi,
Nawaombeni sana tuwe more realistic kwa kuwa wakweli ndani ya nafsi zetu kunapofanyika jambo zuli tutoe pongezi na wanapo chemsha tuwape kichapo.

Mimi ni miongoni wa wasikilizaji wa kipindi cha Jahazi na kule nyuma nimeshawahi kutoa mawazo yangu kuhusu kipindi hiki tangu enzi zile. na nikatoa mawazo jinsi baadhi ya watangazaji wao walivyo wapuuzi puuzi na kuongea lugha zisizo na staha!.

Kusema ukweli leo nimesikiliza mahojiano ya Zitto kwenye kipindi cha Jahazi nakiri wazi sasa Kibonde has grown up into a mature young guy. Ule ujinga ujinga wake na ****** ****** ameacha kabisa kwa leo!. Big Up kwa Clouds FM for that!.

Kwa wengine ambao hamkubahatika kusikiliza kipindi cha leo, nawasihi kesho zikilizeni mahojiano na January Makamba, mtakubaliana nami kuwa kwa hili Clouds FM wastahili pongezi!.

Angalizo: Najua pia humu jukwaani tuna lots of hate preachers wa kumwaga, kwao wao hakuna jema, kwao wao kila jambo kwao ni baya na kuvurumisha hate preaching pekee. I beg them, wabadilike!. Kwenye kustahili sifa watoe na kwenye kustahili kubonda ndio wabonde, isiwe basi ni kubonda tuu kila kukicha as if hakuna hata jema moja!.
naomba u edit post yako na uondoe maneno 'mature young guy'...yanafaa kwa anold kayanda siyo kibonde aliyekwisha kula chumvi nyingi.
 
Wanabodi,
Nawaombeni sana tuwe more realistic kwa kuwa wakweli ndani ya nafsi zetu kunapofanyika jambo zuli tutoe pongezi na wanapo chemsha tuwape kichapo.

Mimi ni miongoni wa wasikilizaji wa kipindi cha Jahazi na kule nyuma nimeshawahi kutoa mawazo yangu kuhusu kipindi hiki tangu enzi zile. na nikatoa mawazo jinsi baadhi ya watangazaji wao walivyo wapuuzi puuzi na kuongea lugha zisizo na staha!.

Kusema ukweli leo nimesikiliza mahojiano ya Zitto kwenye kipindi cha Jahazi nakiri wazi sasa Kibonde has grown up into a mature young guy. Ule ujinga ujinga wake na ****** ****** ameacha kabisa kwa leo!. Big Up kwa Clouds FM for that!.

Kwa wengine ambao hamkubahatika kusikiliza kipindi cha leo, nawasihi kesho zikilizeni mahojiano na January Makamba, mtakubaliana nami kuwa kwa hili Clouds FM wastahili pongezi!.

Angalizo: Najua pia humu jukwaani tuna lots of hate preachers wa kumwaga, kwao wao hakuna jema, kwao wao kila jambo kwao ni baya na kuvurumisha hate preaching pekee. I beg them, wabadilike!. Kwenye kustahili sifa watoe na kwenye kustahili kubonda ndio wabonde, isiwe basi ni kubonda tuu kila kukicha as if hakuna hata jema moja!.

Naomba urekebishe hii sentensi.......the guy is as old as my grandmother how comes you make him younger
 
Nasikia harufu ya kibahasha. Unanchekesha! - courtesy FF

Brown envelope,zinazotumika/toka ofisi za watumishi wa umma, na pia hapo anatoa tangazo la watu wamsikilize ndugu February Magamba!! Kuna utatu wa utata unapikwa jikoni (Mztito Kabwela,February Magamba na best looser aliyeshinda Nzega!!) lets wait
 
... Mim siwezi kuwapongeza Clouds kwa sababu najua mchezo wao. Hata wao wanapenda tuamini kwamba wamebadilika, lakini ukweli ni kwamba ukiitishwa uchaguzi mkuu leo, itakuwa ni yale yale. Ni kawaida kwa waandishi wetu wa habari hapa Tanzania kupoteza uwezo na ujasiri wa kusimamia wanachokiamini wakati wa uchaguzi. Akili zao huenda likizo mpaka uchaguzi utakapoisha, na ambaya zaidi, hawatangazi mrengo wao mapema ili watu wawahukumu kwa usahihi. Maggid Mjengwa ni miongoni mwa hao "waandishi wa msimu".
 
Clouds ni kituo cha radio cha kichama,kama ilivyo TBC Taifa na vingine vya aina yeke,tetea ucku kucha,wamhoji hata Castro,hao jamaa ni wauza takataka ni wapuuzi na wamenunuliwa hivi karibuni tu kwani zamani ilikuwa the real peoples station!
 
That is a point when there r no choices.., usimsifie sana huyo kibonde sijui., he has no any otha choice kwa sasa zaidi ya ku "ACT" grown up.., he z jus too old for his behaviors
 
huo ndio ukweli japo wengi huwa hawataki kuusikia
Mkuu Waberoya, ni wana jf wachache sana wanao ukubali ukweli halisi na haswa unapokuwa ni ukweli mchungu!.

Watu humu wana hates za ajabu kabisa kwao hakunaga zuri lolote kwa wasio wakubali au upande ambao sio upande wao!.

Hata shetani sometimes huwa anafanya mema! na hata hayo maovu ni Mungu humwacha ayatende!.

Kuna uwezekano kuwa ni kweli Clouds ni redio ya hovyo, ila pamoja na uhovyo huo inao wasikilizaji wake na pale inapofanya vyema inastahili pongezi zake!.
 
Back
Top Bottom