Mwanahakij
Senior Member
- Jul 29, 2009
- 129
- 22
Kwanza chama cha magamba, hakijatimua fisadi hata moja, hata kutoa list ya hao mafisadi tu, waliowapa siku 90, wameshindwa! na kwanini wawabembeleze mafisadi badala ya kuwatimua mara moja! huu usanii wao wa magamba hautudanganyi hata kidogo! hatudanganyiki!