Kwa hili CHADEMA mmekurupuka

kaka u have spoken the truth, it was a wrong timing for cdm to mention the names au unless cdm wanataka kuonekana wao ndio wameshinikiza watu fulani kuttimuliwa CCM,Ili baadae ionekanekane kana kwamba bila wao kutaja majina basi jamaa wasingefukuzwa! this is old tactic ni vizuri umeliona hili na umelizungumzia! ishu ya magufuli kuuza nyumba,si swala la leo kwanini leo ndio wanaona ndio ufisadi?? Slaa alipokuwa bungeni mbona hakuonekana kulivalia swala la uuzaji wa nyumba hizo wakati huo alikuwa mbunge mtu ambaye ana dhamana kubwa sana,hizi kelele anazopiga sasa hazina mashiko coz he is just a mere person( just a party secretary)

Muongo namba 1 kaangalie hansard lakini nakupongeza kung'ng'ania CCM inayozama kama inzi anavyofia kidondani.
 
kaka u have spoken the truth, it was a wrong timing for cdm to mention the names au unless cdm wanataka kuonekana wao ndio wameshinikiza watu fulani kuttimuliwa CCM,Ili baadae ionekanekane kana kwamba bila wao kutaja majina basi jamaa wasingefukuzwa! this is old tactic ni vizuri umeliona hili na umelizungumzia! ishu ya magufuli kuuza nyumba,si swala la leo kwanini leo ndio wanaona ndio ufisadi?? Slaa alipokuwa bungeni mbona hakuonekana kulivalia swala la uuzaji wa nyumba hizo wakati huo alikuwa mbunge mtu ambaye ana dhamana kubwa sana,hizi kelele anazopiga sasa hazina mashiko coz he is just a mere person( just a party secretary)
Kweli kaka, ishu ya Magufuli kuuza nyumba siyo ya leo!! Ila ishu ya ufisadi wa RA, EL na Chenge ni ya leo! Na siyo Chadema waliosababisha hiyo chokochoko ndani ya ccm, wakati m-kwere anawasafisha kwenye kampeni hakujua wala hakuwahi kusikia kuwa ni mafisadi ila sasa yeye na ccm yote 'wanawajua' mafisadi... Hongera sana chama cha magamba!
 
Mbona umeangalia upande mmoja tu wa shilingi japo kuna pande mbili?Ngoja nikusaidie kidogo maana JF ni shule yabure,no need for tuition fees.

Walichofanya Chadema this time could be even more effective than when they made public the first LIST OF SHAME.Kwa upande mmoja,Chadema wameamua kuutangazia umma kuwa ufisadi ndani ya CCM sio tu the so called magamba yaliyovuliwa bali tatizo hilo ni extensive zaidi.Kwa upande wa pili,na hili ni muhimu zaidi,Chadema wameiweka CCM katika wakati mgumu zaidi.Hebu jiulize,je Nape au Mukama wakienda mikoani na kusema "mafisadi lazima wajiondoe2 watakuwa wanamaanisha mafisadi wapi?Wale wa mwanzo,hawa waliotajwa sasa,au wote?

Na kama by mafisadi wajiondoe itamaanisha akina Lowassa pekee,then nao watahoji "kama mmeamua kutufukuza kwa vile tu tumetajwa na Chadema kuwa sie ni mafisadi,what about hao walioongezwa kwenye list?".Remember,hadi sasa serikali ya CCJM haija-produce ushahidi kuwa Lowassa na wenzie ni mafisadi.So far,chanzo pekee ya ufisadi wao ni kauli za Chadema.In similar way,chanzo pekee cha ufisadi wa akina Malecela,Mangula na Magufuli ni Chadema.

Kwahiyo wakati unazungumzia timing,unazembea kuangalia ESSENCE ya mkakati huo.Kadhalika,ni muhimu kwako kutambua kuwa mapambano dhidi ya ufisadi,ambayo Chadema imeamua kuyavalia njuga kwa kushirikiana na watanzania wote wazalendo,ni mithili ya kuwa vitani.Adui anapojaribu kuzorotesha mapambano,ni jukumu la makamanda wa vita kuboresha mbinu lakini bila kusima awala kuathiri mapambano.

Pengine ungeweza kutusaidia zaidi kwa kutueleza ushauri wako as to ungependa Chadema wafanyeje baada ya CCM kuwahadaa Watanzania kuwa imejivua gamba la ufisadi.Did you want or expect Chadema kutuma salamu za pongezi?Na kama Chadema walikuwa na orodha ya ziada ya mafisadi ungependa waitangaze mwaka 2015 au?

Kwa taarifa yako tu,Chadema wana orodha ndefu zaidi ya mafisadi na wataendelea kui-update ile original ya Mwembeyanga kila unapojiri wakati mwafaka.Lengo sikumfurahisha kila anayesikia,especially mafisadi na wapambe wao.This is a war kila Mtanzania mwenye uchungu wa kweli na nchi yake cant afford to lose.

Angalau umejaribu kunielewa japokuwa unaingia na kutoka nje ya kile ninachokiimanisha. Isue yangu si hawa jamaa ni mafisadi au la nasema timing, wangekuwa wamewataja waliowaongeza kabla ya chama cha magamba kujivua gamba isingekuwa ni tatizo ingekuwa ni muendelezo wa vita ya ufisadi ambayo wameisasi na kufsnikiwa kuibana CCM.Sasa walipokuja kuwataja baada ya chama cha magamba kujivua gamba ni rahisi mtu kujenga hisia kuwa ufisadi unaopigiwa kelele ni mambo ya kisiasa kitu ambacho si kweli huamini tarama habari kuu ya leo gazeti la rai mwema la leo wanasema mafisadi wanashirikiana na Chadema ili kujinusuri je unataka kusema kweli hayo? au ni hoja tuu imejengwa baada ya kosa la CHADEMA la timing ya kuongeza list. Chadema lazima itambue inawindwa na lazima kuwa makini kwenye kila inachofanya hii ndio hoja yangu hapa.
 
CHADEMA wanaweza kuendelea kuhangaika na watu ndani ya CCM. Sio vibaya na hasa inapokuwa ni mwaka wa uchaguzi. Baadhi tulitaka watuambie sera mbadala wa hizi za CCM kwenye mambo yanayowagusa mojakwamoja Watanzania kwa mfano:
-Huduma za jamii.
-Ugharamiaji wa SIASA na WANASIASA.
-Uchumi, uwekezaji, uwezeshaji, uondoaji umasikini wa watu na nchi yetu.
-Mapato, matumizi ya fedha na rasilmali za NCHI.
Na mengine mengi.

Ulitaka uambiwe mara ngapi ili uridhike? Nilidhani ulitakiwa uwapigie kura halafu uone utekelezaji wake. Mbona jamaa wa chama kikongwe wanadai kuwa na itikadi/sera za ujamaa na kujitegemea lakini wanaenda kinyume chake na hujasituka? Sasa hivi hata kujenga vyoo vya shimo vya shule wanangojea mwekezaji kutoka China, ujenzi wa barabara zetu utaambiwa lazima wafadhiri wachangie. Je huko ndio kujitegemea?
 
muda sahihi wa kuwataja mafisadi n lin????????????????????. CHADEMA wapo systematically, so n matukio yalikutana ila CHADEMA hawajwkurupuka baada ya CCM kujivua gamba.
 
It's in the interest of opposition (in this case Chadema) kwa CCM kuendelea kuonekana kimeoza mbele ya wapiga kura.

EL, RA & AC (aka "mapacha watatu") are the key ingredients kwenye recipe ya uozo wa CCM. Sasa nitashangaa sana kama Chadema watakuwa wanafurahia hawa watu kuondoka CCM!

Tanzania Daima (aka Mbowe) si wajinga kama ambavyo wachangiaji wengine wanataka kutuaminisha. Na si kweli kuwa wanatumiwa na hao "mapacha watatu" kujisafisha.

Mbowe & co wanataka CCM iendelee kuwa chafu na nina uhakika, invited or not, wanaweza waka-facilitate kutokufukuzwa kwa hao "mapacha". Na hawa "mapcha" wasipofukuzwa CCM itakuwa imejichimbia kaburi yenyewe - hence mtaji mzuri wa Chadema to stay in control.

Do we need PHD's to figure this one out?
 
Wana JF

Mimi ni mmoja wa watu wanao amini kuwa CHADEMA ni chama makini hata zaidi ya chama chochote kwa sasa hapa Tanzania. Lakini kwa hili mlilolifanya la kutaja list nyingine hapa mmeingia mkenge bila kujua. Siimanishi kuwa mliowataja sio mafisadi ila mmekwenda kwa hisia zaidi bila kuafanya timing haukuwa wakati muafaka kwa kuwa sasa mnaonekana kuwa baada ya kuiona CCM inajisafisha mnatafuta kitu cha kuwachafua ili waendelee kugombana. Hili watu wanaweza kulichukulia kuwa hata waliotumuliwa na ccm si mafisadi kweli kweli bali ni mambo ya kisiasa kitu ambacho si cha kweli. Na hoja ya ufisadi mlioianzisha ambao umeifikisha nchi yetu hapa ilipo ikaonekana ni mambo ya kisiasa haina uhalisia.

Halafu ni washauri kitu kingine kuwa CCM inapofanya jambo jema kama walivyofanya ya kutimua mafisadi si mbaya makawapongeza kama kweli lengo ni kuwatetea watanzania pia mnaweza kuengeza kuchambua mapungufu ya yale mazuri ccm waliofanya kwa mfano haiwezekani mtu akawafisadi na kufukuzwa na chama alafu akawa mzuri kwenye nafasi ya ubunge. Lakini kukimbilia kuongeza list tena ya watu ambao jamii hasa sisi tuliohuku vijiweni (site) tumeshawaamini kuwa ni wasafi japokuwa wanaweza wasiwe wasafi mmeingia choo cha kike kama msemo wa watoto wa mjini wanavyosema.

Kwa hili mimi CCM nawapongeza lakini bado wananuka sana kiasi ambacho siwazi kwa sasa kuwapa kura yangu. Lakini something is better than nothing.

Japo CCM wamefanya walichofanya kwa shinikizo la nguvu ya uma, mimi nawapongeza kwa hatua hiyo ya muhimu. CDM hawajafanya kosa lolote kutaja list nyingine ya mafisadi hasa baada ya kuona kuwa gamba linaonekana kuondolowa kwenye ilhali lile lile likiendelea kuwapo serikalini. CCM kama ilivyo CDM wana fanya siasa na hiyo ni sahihi.

CCM wanapaswa kufahamu kuwa siasa inayoshinda ni ile iliyo kwa maslahi ya umma, hivyo wale walio kwenye mchakato wa kuondolewa kwenye ungozi wa chama kwa sababu ya tuhuma za ufisadi, kuondoka kwao kutasaidia wananchi kama wataondoka pia ktk nafasi zao serikalini. Km, kama EL ni fisadi ndani ya chama most likely ni fisadi anapokuwa nje ya chama (inasemekana aliwahi kumuibia baba yake ngombe). Sio tu hafai kuwa mwenye kit wa kamatinyeti bungeni lakini pia hafai kuwa mbunge, vivyo hivyo kwa AC and RA.

CDM kwa upande wao wanawajibika kwa wananchi waliowaqpa kura nyingi zilizochakachuliwa. Wananchi wanayo haki ya kujua ukweli kuhusu mafisadi waliokwisha tajwa na wale ambao hawajatajwa, CDM wanawajuza. Wananchi hao hawapaswi kusahau kuhusu Deep Gree, Kagoda Meremeta, nk., DDM wanaendelea kuwakumbusha. Kosa liko wapi?

Wacha CCM wafanye siasa zao za maji taka. Huu ndiyo wakati wa CDM kupigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la CCM ambayo lazima iendelee kutapata inapoelekea mwisho wake.

In the end it's all politics and the may the best man win!
 
Wana JF

Mimi ni mmoja wa watu wanao amini kuwa CHADEMA ni chama makini hata zaidi ya chama chochote kwa sasa hapa Tanzania. Lakini kwa hili mlilolifanya la kutaja list nyingine hapa mmeingia mkenge bila kujua. Siimanishi kuwa mliowataja sio mafisadi ila mmekwenda kwa hisia zaidi bila kuafanya timing haukuwa wakati muafaka kwa kuwa sasa mnaonekana kuwa baada ya kuiona CCM inajisafisha mnatafuta kitu cha kuwachafua ili waendelee kugombana. Hili watu wanaweza kulichukulia kuwa hata waliotumuliwa na ccm si mafisadi kweli kweli bali ni mambo ya kisiasa kitu ambacho si cha kweli. Na hoja ya ufisadi mlioianzisha ambao umeifikisha nchi yetu hapa ilipo ikaonekana ni mambo ya kisiasa haina uhalisia.

Halafu ni washauri kitu kingine kuwa CCM inapofanya jambo jema kama walivyofanya ya kutimua mafisadi si mbaya makawapongeza kama kweli lengo ni kuwatetea watanzania pia mnaweza kuengeza kuchambua mapungufu ya yale mazuri ccm waliofanya kwa mfano haiwezekani mtu akawafisadi na kufukuzwa na chama alafu akawa mzuri kwenye nafasi ya ubunge. Lakini kukimbilia kuongeza list tena ya watu ambao jamii hasa sisi tuliohuku vijiweni (site) tumeshawaamini kuwa ni wasafi japokuwa wanaweza wasiwe wasafi mmeingia choo cha kike kama msemo wa watoto wa mjini wanavyosema.

Kwa hili mimi CCM nawapongeza lakini bado wananuka sana kiasi ambacho siwazi kwa sasa kuwapa kura yangu. Lakini something is better than nothing.

Mwanzoni CCM walikuwa wakikataa katakata kuwa hakuna kitu kama ufisadi ndai ya CCM, kitendo cha CCM kukubali kuwa Ufisadi upo within their ranks and files ni hatua kubwa sana. Lakini gamba wamejivua kuanzia kiwiliwili badala ya kuanzia kichwani. Ni lazima pressure iendelee non stop ili wananchi wapate direction ya destination la sivyo propaganda machinety ya CCm inaweza kuwafanya wananchi waamini kuwa hatua zilizochukuliwa zinatosha
 
Wana JF

Mimi ni mmoja wa watu wanao amini kuwa CHADEMA ni chama makini hata zaidi ya chama chochote kwa sasa hapa Tanzania. Lakini kwa hili mlilolifanya la kutaja list nyingine hapa mmeingia mkenge bila kujua. Siimanishi kuwa mliowataja sio mafisadi ila mmekwenda kwa hisia zaidi bila kuafanya timing haukuwa wakati muafaka kwa kuwa sasa mnaonekana kuwa baada ya kuiona CCM inajisafisha mnatafuta kitu cha kuwachafua ili waendelee kugombana. Hili watu wanaweza kulichukulia kuwa hata waliotumuliwa na ccm si mafisadi kweli kweli bali ni mambo ya kisiasa kitu ambacho si cha kweli. Na hoja ya ufisadi mlioianzisha ambao umeifikisha nchi yetu hapa ilipo ikaonekana ni mambo ya kisiasa haina uhalisia.

Halafu ni washauri kitu kingine kuwa CCM inapofanya jambo jema kama walivyofanya ya kutimua mafisadi si mbaya makawapongeza kama kweli lengo ni kuwatetea watanzania pia mnaweza kuengeza kuchambua mapungufu ya yale mazuri ccm waliofanya kwa mfano haiwezekani mtu akawafisadi na kufukuzwa na chama alafu akawa mzuri kwenye nafasi ya ubunge. Lakini kukimbilia kuongeza list tena ya watu ambao jamii hasa sisi tuliohuku vijiweni (site) tumeshawaamini kuwa ni wasafi japokuwa wanaweza wasiwe wasafi mmeingia choo cha kike kama msemo wa watoto wa mjini wanavyosema.

Kwa hili mimi CCM nawapongeza lakini bado wananuka sana kiasi ambacho siwazi kwa sasa kuwapa kura yangu. Lakini something is better than nothing.

Mimi nina elimu ndogo sana lakini ninaweza kufikiria. Hivi CCM wamefanya jambo jema lipi? Kubadilishana nafasi Makamba kwenda kwa Makamba? Au kurudishiana nafasi kama Nnauye? Au kila aina ya usanii? hapa hakuna kitu. Ata wanapokuwa majukwaani sisikii wanawataja mafisadi hao. Wanasema kwa ujumla. Wewe udanganyi mtu yeyete hapa.
 
....wangekuwa wamewataja waliowaongeza kabla ya chama cha magamba kujivua gamba...
.... Sasa walipokuja kuwataja baada ya chama cha magamba kujivua gamba....

nadhani tatizo ulilonalo ni tafsiri ya ccm kujivua magamba. Kama kujivua magamba ni kubadilisha uongozi basi wamejivua. Lakini kama ni kuwaondoa mafisadi, bado hawajawaondoa maana wapo wengi wamebaki na wengine wamepewa siku 90 waendelee kula raha kwenye chama! .
Alichokifanya Dr Slaa ni sahihi tena kwa wakati mzuri kuyatambulisha baadhi tu ya magamba (kama magamba ni ufisadi) ambayo hayajazungumzwa huko nec na cc ili wakianza kuvua wayavue yote. Na kwakuwa wameamua kuanzisha utaratibu huo, Dr atakuwa anawatambulisha wengine na wengine kadri Mungu ushahidi wa kutosha utakavyopatikana ili hata wakithubutu kwenda mahakamani waumbuke.
 
...it was a wrong timing for cdm...

kashaga hata wewe unajua timing! Mbona ulituletea thread ya uongo inayohusu karatu in a very poor timing! And how can you detect someone's timing while you cant manage yours! Poor guy!
 
Kwa hiyo muda wa kuwataja mafisadi ni UPI?,yaani unamuona mwizi anakuibia halafu unakaa kimya bila kumkamata kwa kusema muda bado?,umetumia akili au matope kutuma mada Kama hii.Mapambano ni muda wote bila ya kuchoka.Baba yako Kikwete na chama chake waliwapitisha Basil Mramba,Lowasa,Chenge,na Kikwete mwenyewe aliwashika mkono na kuwanadi kuwa ni watu safi wachaguliwe,leo ni MAFISADI pmj na wengine wamepewa siku 90 waondoke sasa Kama sio Chadema kuwaanika ktk tovuti na kule Mwembeyanga leo hii wangetolewa ndani ya ccm!?Ubaya wa Chadema hapa ni upi?,Kama Chadema inamsingizia mtu mbona Kati ya wote waliotanjwa hakuna hata mmoja aliekwenda kulalamika MAHAKAMANI?Sikushangai wewe mtoa mada pengine itikadi ya chama kimoja bila ya upande wa pili imekuathiri Kama wenzio Dodoma walivyopitisha sheria mbovu na kandamizi kwa maslahi ya chama badala ya wananchi waliowapa dhamana,siku ya mwisho utakuwa kuni kwa wengine
 
[SIZE="3"]
Ahsante Joblube kwa kuleta thread hii. Ni jambo la msingi sana. Timing is everything. CHADEMA wametumiwa na Rostam Aziz na Edward Lowassa bila wao kujijua. List of Shame hii mpya waitoe baada ya siku 90 walizopewa mafisadi hawa ili tusije kuwasaidia katika mbinu zao chafu za kuzuia wasifukuzwe CCM. Lengo lao ni kuibua tuhuma mpya dhidi ya viongozi wengi CCM ili defence yao kwenye kikao kijacho cha NEC kiwe mbona tumetuhumiwa wengi, ikiwemo Kikwete, Sumaye, Magufuli, na wengine basi hatua zichukuliwe kwa wote.

Ukweli ni kuwa tuhuma dhidi ya Lowassa, Rostam na Chenge ni very serious, zimeenea nchi nzima na wenyewe ndani ya serikali na CCM wanajua ni za kweli. Wangetakiwa kuwa jela hawa watu, ila bado kuna kulindana serikalini.

Mimi nilileta thread inayofanana na hii ila moderators kwa "busara" zao waliamua kuitoa na kuificha ndani ya thread nyingine.

Chonde chonde moderators msifute thread hii wala kuificha ndani ya thread nyingine. Ni muhimu kujalidi suala hili kwa kina kwa maslahi ya taifa.

Thread yangu iliyotolewa na moderators ni hii hapa:

CHADEMA yatumika kuwaokoa Rostam, Lowassa wasifukuzwe CCM!

CHADEMA sasa imeanza kutumika kuwasafisha Rostam Aziz, Edward Lowassa na Andrew Chenge wasifukuzwe kwenye nafasi zao za uongozi ndani ya CCM.

Kutumika kwa CHADEMA ni sehemu ya mkakati wa Rostam, Lowassa na wenzake kuzuia wasifukuzwe kuwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) na nafasi zao nyingine za uongozi.

Mkakati huo unahusu kuitumia CHADEMA na viongozi wa vyama vingine vya upinzani, kama CUF, NCCR Mageuzi, UDP, TLP na DP ya Christopher Mtikila, kutoa tuhuma za kupikwa kwa viongozi wengi zaidi ndani ya CCM ili ionekane kuwa viongozi wote wa CCM wana tuhuma za ufisadi na si Lowassa, Rostam na Chenge tu.

Tuhuma hizo za kutengenezwa sasa zimeanza kusambazwa na kina Rostam dhidi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Jakaya Kikwete, na viongozi wengine waandamizi wa chama ambao wanaheshimika katika jamii, akiwemo John Magufuli, Samuel Malecela, Frederick Sumaye, Samuel Sitta, Bernard Membe na wengine.

Rostam na Lowassa wanaitumia CHADEMA ili kuzuia kufukuzwa kwenye CCM kupitia LIST OF SHAME mpya ya chama hicho cha upinzani ambayo imewataja kina Magufuli na Malecela. Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilibrod Slaa, ameingizwa mkenge
na viongozi wenzake ndani ya chama hicho kuitoa LIST OF SHAME mpya bila kujua kuwa mpango huo umepikwa na kina Rostam.
Rostam na Lowassa kwa kutumia viongozi wa CHADEMA ambao wako nao karibu wamemuingiza mkenge Dk. Slaa aitoe List of Shame mpya ili kuleta mvurugano ndani ya CCM.

Siyo "coincidence" hata kidogo kuwa CHADEMA waliibuka na LIST OF SHAME yenye majina mapya siku chache tu baada ya CCM kuwataka kina Rostam, Lowassa na Chenge wajiuzulu.

Inaeleweka wazi kuwa Rostam na Lowassa wako karibu sana na baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA (siyo Dk. SLAA) na wamekuwa na mawasiliano ya mara kwa mara nao.

"Wanachotaka kufanya kina Rostam, Lowassa na Chenge ni kuibua tuhuma mpya za uongo dhidi ya Kikwete, Magufuli, Malecela, Sitta, Mwakyembe, Sumaye na viongozi wengine wa CCM ili wapate kujitetea kwenye vikao vya NEC vijavyo kuwa mbona kuna viongozi wengi za CCM wenye tuhuma lakini wanatakiwa wajiuzulu wao tu," alisema mpambe mmoja wa Lowassa.

Pia, Rostam na Lowassa wamekuwa wakitumia baadhi ya magazeti, likiwemo Tanzania Daima linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, katika mkakati huo wa kuibua tuhuma za kupikwa za ufisadi dhidi ya viongozi wengi zaidi ndani ya CCM ili wajinurusu kufukuzwa.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wiki hii CHADEMA ililazimika kukanusha habari za Tanzania Daima, gazeti la mwenyekiti wa chama hicho, zilizodai kuwa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ametajwa kwenye List of Shame mpya ya CHADEMA.

Lowassa amemuajiri mhariri mkuu wa Tanzania Daima, Absalom Kibanda, kwenye jarida lake la UMOJA na amekuwa akimtumia Kibanda mara kwa mara kutoa habari na makala za kumsafisha Lowassa, Rostam na Chenge kwenye Tanzania Daima.

Inafahamika wazi kuwa Kibanda ana urafiki wa karibu sana na Lowassa na Rostam na amekuwa akitumiwa mara kadhaa kuwachafua maadui zao, ikiwemo Samuel Sitta, Bernard Membe, Harisson Mwakyembe, na wengine.

Mafisadi wamekuwa wakipenda kulitumia sana Tanzania Daima mara nyingi kujaribu kujisafisha kwa kuwa linaheshimika kwenye jamii kwa kuonekana kuwa gazeti "huru" kuliko magazeti ya RAI na Mtanzania yanayomilikwa na Rostam.

Kwa kufuata maelekezo ya Lowassa, Tanzania Daima juzi iliandika habari ya uongo kwa makusudi kuwa CHADEMA imemtaja Sumaye kwenye List of Shame mpya.

Bado ni kitendawili kikubwa kwa nini Mbowe anamruhusu mhariri wake mkuu, Kibanda, kuwa mwajiriwa wa Lowassa na hivyo kuwa na mgongano wa kimaslahi na kimaadili (conflict of interest/ethical dilemma) katika kazi zake Tanzania Daima.

Unaweza kuthibtisha madai yako in red? Au unaleta hisia tuu.

GREEN- Tuhuma dhidi ya Lowassa, Rostam na Chenge haziwezi kuwa ni very serious kuzidi za Mkapa na Kikwete coz Mkapa alikuwa incumbent President aliyeruhusu Ufisadi huo ikiwemo EPA while Kikwete was an aspiring President aliyenufaika na Ufisadi wa EPA kwa fedha kumuingiza Ikulu. What CHADEMA is doing is showing and sensitizing Tanzanians the type of leaders originating from CCM post Mwalimu Nyerere.

LIGHT BLUE-CHADEMA yatumika kuwaokoa Rostam, Lowassa wasifukuzwe CCM! CHADEMA wanachofanya ni kuweka petroli katika moto ulioanza kuwaka ili uwake vizuri zaidi na kuinyanganya CCM fursa ya kujipongeza kinafiki kuwa imetokomeza ufisadi. Kwa CCM imesha declare ile kutajwatajwa tu inatosha mtu kuachia ngazi hivyo kutajwa kwa Mafisadi wapya na kusisitiza upya tuhuma za Kikwete na Mkapa kutafanya zoezi la kuwatosa Rostam, Lowassa na Chenga peke yao kuwa gumu namwishowe CCM kuonekana mbele ya watanzania kuwa ni wasanii. Kama wanao ujasiri wawatose wote wanaotajwa tajwa ikiwemo Mkapa na Kikwete. Kwani ni lazima Kiwkete awe Mwenyekiti wa CCM?

BROWN-Tuhuma hizo za kutengenezwa sasa zimeanza kusambazwa na kina Rostam dhidi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Jakaya Kikwete, na viongozi wengine waandamizi wa chama ambao wanaheshimika katika jamii, akiwemo John Magufuli, Samuel Malecela, Frederick Sumaye, Samuel Sitta, Bernard Membe na wengine. Kwa kuwa upo ushahidi unaoonyesha kuwa CCM hususan wagombea wake wa urais na ubunge walinufaiaka na fedha EPA kuna dhambi gani Kiwete akitajwa? Kama kuna uongo kwa nini anaka kimya na kushindwa kuchukua hatua za dhidi ya watu wanaomchafua Rais an badala yake atume viabaraka wake hapa JF? Toka lini JF ikageuka kuwa mahakama ya watu wanaodaiwa kumchafua Rais?

Absolom Kibanda ni professional kama walivyo professionals wengine ana uhuru wa kuuza manpower yake kwa mtu yoyote. Kama kweli Rostam, Lowassa na Chenga ni wabaya kiasi hicho CCM na Serikali yake inangoja nini kuwafikisha mahakamani? Mbona tumekuwa tukishuhudia watu kibao tu tena wengi wakiwa hawana hatia hata chembe wakifishiwa mahakamani?
[/SIZE]

Poroja zako hazina mashiko ni kutapatapa baada ya CHADEMA kuvuruga plana ya Kujivua Magamba feki.
 
Wenye Magamba mtasema leo hiki kesho kile kwa hatua na mikakati inayochukuliwa na CHADEMA kuimarisha chama na kuibomoa CCM Magamba. Nendeni mkapime upepo ulivyobadilika Tabora kwa siku za hivi karibuni na mkishafanya hivyo ndo mje mlete pumba zenu hapa. Uchaguzi ukiitishwa tena mkoani Tabora mtashuhudia Chama Cha Magamba kikilamba mchanga tu bila huruma. Ngome ya CCM ilishavamiwa sasa na mtakapokuja kushituka tena tayari itakuwa imeshakula kwenu.
 
Joblube,

Unaonekana kukaa chini na kujaribu kujenga hoja zako japo zimegoma kujengeka .CCm hawajamfukuza fisadi yeyote na walichotoa ni siku tisini.Usitake kusema CCM wamefanya jambo jema na wanastahili pongezi cha msingi ni kutafakari wamechezea maisha yetu kwa kipindi kirefu kiasi gani.

Dr Slaa hana sababu ya kukijenga CCM kwa sababu sio maana ya upinzani . Katibu wa chama makini anatimiza kazi yake na hiyo CCM kujivua gamba imetokea tu katikati ya ratiba zake kwani hata huo mkutano wa Tabora ulikuwa umepangwa kabla hata ya nyoka kujivua gamba .Na usimshambule Dr kwani hajakosea .Kusema kwamba malechela alikuwa anasaini memo zilizopelekea kukwapuliwa mabilioni kwenye akaunti ya EPA amekosea nini ? Je waliofanya mchezo huo mchafu hawatshili kuwajibika ? . Au anapoweka hila za magufuli za kujiuzia nyumba za serikali kwa bei chee na nyingine kwa nduguze ambao hata hawajatimiza umri wa miaka 18 anakuwa amekosea nini? Dr anatimiza wajibu wake kama kiongozi wa chama cha upinzani. Tusimponde kwa hoja mfu katika hili.

Hao waliotajwa na CCM kwamba ni mafisadi ndio hao hao Slaa aliwataja katika orodha ya mwaka 2007 '' List of Shame'' sasa mbona kikwete ambae kimsingi alihusishwa na tuhuma kadhaa haonekani kukumbwa katika kadhia hii ya kutakiwa kujiuzulu.

Ni vizuri tukawa wachambzi kuliko kuwa wakurupukaji katika kuandika thread ambazo hazina msingi . Namtakia Dr ujasiri ili kwa kushirikiana na wenzake waendelee kufanya wanalofanya sasa.
 
Ni sawa na kulishauri jeshi la polisi liache mara moja kukamata wahalifu mpaka wale waliokamatwa kwanza watakapofikishwa mahakamani.
 
nimeipenda post yako. waswahili wanasema mfa maji hutapa tapa i.e chadema. inajaribu kujiingiza kila sehemu lakini inazidi kupwaya kila siku zinapoenda mbele. Nilimuonea huruma sana Slaa alivyokuwa akibabaika sana kujibu maswali pale Ch10.Ilinifanya niamni kuwa baada ya mwaka ujao mvuto kwa slaa utakuwa kuchinehi
 
Wana JF

Mimi ni mmoja wa watu wanao amini kuwa CHADEMA ni chama makini hata zaidi ya chama chochote kwa sasa hapa Tanzania. Lakini kwa hili mlilolifanya la kutaja list nyingine hapa mmeingia mkenge bila kujua. Siimanishi kuwa mliowataja sio mafisadi ila mmekwenda kwa hisia zaidi bila kuafanya timing haukuwa wakati muafaka kwa kuwa sasa mnaonekana kuwa baada ya kuiona CCM inajisafisha mnatafuta kitu cha kuwachafua ili waendelee kugombana. Hili watu wanaweza kulichukulia kuwa hata waliotumuliwa na ccm si mafisadi kweli kweli bali ni mambo ya kisiasa kitu ambacho si cha kweli. Na hoja ya ufisadi mlioianzisha ambao umeifikisha nchi yetu hapa ilipo ikaonekana ni mambo ya kisiasa haina uhalisia.

Halafu ni washauri kitu kingine kuwa CCM inapofanya jambo jema kama walivyofanya ya kutimua mafisadi si mbaya makawapongeza kama kweli lengo ni kuwatetea watanzania pia mnaweza kuengeza kuchambua mapungufu ya yale mazuri ccm waliofanya kwa mfano haiwezekani mtu akawafisadi na kufukuzwa na chama alafu akawa mzuri kwenye nafasi ya ubunge. Lakini kukimbilia kuongeza list tena ya watu ambao jamii hasa sisi tuliohuku vijiweni (site) tumeshawaamini kuwa ni wasafi japokuwa wanaweza wasiwe wasafi mmeingia choo cha kike kama msemo wa watoto wa mjini wanavyosema.

Kwa hili mimi CCM nawapongeza lakini bado wananuka sana kiasi ambacho siwazi kwa sasa kuwapa kura yangu. Lakini something is better than nothing.

Refer: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-ccm-ili-ijisahihishe-na-kutawala-vizuri.html
 
wana jf

mimi ni mmoja wa watu wanao amini kuwa chadema ni chama makini hata zaidi ya chama chochote kwa sasa hapa tanzania. Lakini kwa hili mlilolifanya la kutaja list nyingine hapa mmeingia mkenge bila kujua. Siimanishi kuwa mliowataja sio mafisadi ila mmekwenda kwa hisia zaidi bila kuafanya timing haukuwa wakati muafaka kwa kuwa sasa mnaonekana kuwa baada ya kuiona ccm inajisafisha mnatafuta kitu cha kuwachafua ili waendelee kugombana. Hili watu wanaweza kulichukulia kuwa hata waliotumuliwa na ccm si mafisadi kweli kweli bali ni mambo ya kisiasa kitu ambacho si cha kweli. Na hoja ya ufisadi mlioianzisha ambao umeifikisha nchi yetu hapa ilipo ikaonekana ni mambo ya kisiasa haina uhalisia.

Halafu ni washauri kitu kingine kuwa ccm inapofanya jambo jema kama walivyofanya ya kutimua mafisadi si mbaya makawapongeza kama kweli lengo ni kuwatetea watanzania pia mnaweza kuengeza kuchambua mapungufu ya yale mazuri ccm waliofanya kwa mfano haiwezekani mtu akawafisadi na kufukuzwa na chama alafu akawa mzuri kwenye nafasi ya ubunge. Lakini kukimbilia kuongeza list tena ya watu ambao jamii hasa sisi tuliohuku vijiweni (site) tumeshawaamini kuwa ni wasafi japokuwa wanaweza wasiwe wasafi mmeingia choo cha kike kama msemo wa watoto wa mjini wanavyosema.

Kwa hili mimi ccm nawapongeza lakini bado wananuka sana kiasi ambacho siwazi kwa sasa kuwapa kura yangu. Lakini something is better than nothing.
umeongea kweli hapo mkuu. Waarabu wanasema swadakta, washirikina twawile.
 
Back
Top Bottom