Kwa hili, askofu Kakobe asante...

EPORA

Member
Apr 8, 2012
83
16
Habari zenu wakuu,kwa kweli napenda kumshukuru Mungu kwa uzima
Binafsi napenda kumshukuru Mungu kupitia mtumishi wake KAKOBE kuhusu suala la TANESCO,wadau kusema kweli bila yeye haya madudu ya TANESCO na hadi iliyopelekea waumini kuomba na hatimaye MUNGU akamgusa mheshimiwa raisi kumtoa uwaziri Ngeleja na kina jairo,
Binafsi naona suala la Ngeleja kushindana na watumishi wa Mungu ndio kimemshusha hadhi na hivyo kuletewa waziri mwajibikaji Mh.MUHONGO na kufanya hata mwananchi wa kawaida sasa anaweza kupata nishati hii adimu ya umeme kwa viwango vya chini kabisa,
Hili ni jambo la kumshukuru sana M ungu.nawasilisha
 
kama skosei shauri lake liko mahakamani kwa fedha za uma, simhukumu ila na zile hbr za kutibu walemavu mie mhhh...
 
Nakubaliana na mtoa mada mia kwa mia.maombi ya miaka mitatu hayawezi kuisha bila majibu.Mimi naliita kanisa lile KANISA LA MAOMBI.
 
Nakubaliana na mtoa mada mia kwa mia.maombi ya miaka mitatu hayawezi kuisha bila majibu.Mimi naliita kanisa lile KANISA LA MAOMBI.

Ask.Kakobe anasema,kanisa lake ni Kanisa la Neno kamili la Mungu;yaani Full Gospel Bible Fellowship Church.Ni sawa ,hata mimi naweza kuliita ni kanisa la Mashuujaa wa Imani ,kutokana historia tangu kuanzishwa kwake.
 
Habari zenu wakuu,kwa kweli napenda kumshukuru Mungu kwa uzima
Binafsi napenda kumshukuru Mungu kupitia mtumishi wake KAKOBE kuhusu suala la TANESCO,wadau kusema kweli bila yeye haya madudu ya TANESCO na hadi iliyopelekea waumini kuomba na hatimaye MUNGU akamgusa mheshimiwa raisi kumtoa uwaziri Ngeleja na kina jairo,
Binafsi naona suala la Ngeleja kushindana na watumishi wa Mungu ndio kimemshusha hadhi na hivyo kuletewa waziri mwajibikaji Mh.MUHONGO na kufanya hata mwananchi wa kawaida sasa anaweza kupata nishati hii adimu ya umeme kwa viwango vya chini kabisa,
Hili ni jambo la kumshukuru sana M ungu.nawasilisha

Mimi nasema ASANTE kwa ask.Kakobe;kwa hili la kuanzisha mtandao wa huduma ya kimataifa;unaopatikana kwenye www.bishopzacharykakobe.com
 
Hv gharama za kuweka nishati ya umeme kwa sasa ni kama sh. Ngapi kwa wanaofahamu? Including na bei ya nguzo maana nimechoka kutumia kibatari.
 
.... endeleeni kuomba tu tuletewe maji safi Mji mzima, Umeme usiwe wa Mgao, Tupate barabara za kutosha Mjini hapa, Hunduma za afya ziboreshwe,..... na mangineyo!
 
Natamani nikupe like ila simu yangu inazngua.Yan umenifkisha kilelen kabsaaa.Wendawazimu hawaish humu jf wangejua hao kina kakobe wanatumia nguvu za....Ah wino umeisha kwenye peni

Mbavuu sinaaaaaaaa, ilaa bahati mbaya peni yangu imevuja azima kwa mwingine.
 
Mmetumwa nyie wapiga debe.

Huenda ni waumini wa kanisa hilo,kwa kuwa wanakuwa naye,wanamsikiliza, wanamwelewa,wanamkubali.
Mi huwa sipendi kutoa kashfa kwa viongozi wa kiimani kama hawa,kwani sina upeo wa kiroho kumjua yupi mkweli,na yupi si mkweli.
Ila kama kwenye majukwaa mengine wanavyouliza source, mtu atoe,na si porojo eti kanunua ghorofa,wanavua dhahabu wanamkabidhi, mambo yasiyo na ushahidi, bora kuachana nayo!
 
kakobe si ndiye alisema nchi mgao hautaisha waumini wakawa wanakesha pale nje sasa imekuaje tena mnasema kaombea kuisha kwa mgao
 
go on go on kakobe wacha waseme, kiama che2 kinakuja bora mimi nli2bu mapema.

Kutubu na salamu za kilokole ni mtindo wa kisasa! Ni vema kuwa na toba ya kweli yenye kuzaa matunda kama Sauli wa Tarso kuwa mtume Paulo aliyeupindua ulimwengu kwa imani ya Yesu Kristo! Mwisho,hongera kwa maisha ya toba au kilokole kama unamfuata Askofu Zachary Kakobe anayejiandaa kuzunguka dunia kuhubiri Injili kuanzia juni 2013 kwa mujibu facebook yake kupitia www.bishopzacharykakobe.org
 
Natamani nikupe like ila simu yangu inazngua.Yan umenifkisha kilelen kabsaaa.Wendawazimu hawaish humu jf wangejua hao kina kakobe wanatumia nguvu za....Ah wino umeisha kwenye peni

anatumia nguvu za nini? Wewe ni agent wa kuzimu hivi mtabadilika lin watanzania kwann mnapenda kuwasema watumishi wa bwana, nyie endeleeni siku mtapiga magoti na kulia kwa kuomba msamaha, na ndipo mtakapogundua hawapo sasa hivi wapo na nyie hamuoni umuhimu
 
Na mtawatafta msiwaone, badilikeni ombeni rehema za mungu hakika mungu awasamehe kwa maana hamjui mlitendalo kwani ukikaa kimya bila kusema kitu utapungukiwa na nini? Acheni hizo
 
Back
Top Bottom