Kwa hili AICC mmechemsha na nyumba za Soweto Arusha..

mwakichi

JF-Expert Member
May 14, 2011
417
95
Hivi majuzi shirika la kimataifa la Aicc limewapatia notisi ya miez 6 kw baadhi ya wapangaji wake ktk mtaa wa soweto kwa maelezo ya kutaka kuzivunja nyumba hizo na kiziboresha zaid..
nadhan Aicc wamechemsha kwa kutoa notis kwa baadhi ya wakazi kwan walitakiwa watoe kwa wakaazi wote wa soweto na hata kijenge ili kujenga nyumba zitakazoendana na hadhi ya jiji la arusha kwan soweto ipo mjini kbsa na wangepata fedha zaidi kwa ujenzi huo..
 
sorry,
ivi kuna maradi wowote wa nyumba za nssf hapo soweto?nimesikia hii kitu redioni
nihabarishe
 
yap..wanataka kufanya kama mliman lkn kwa baadhi ya nyumba kubomolewa na cyo zote..wabomoe zote tha wafanye makubwa zaid
 
sorry,
ivi kuna maradi wowote wa nyumba za nssf hapo soweto?nimesikia hii kitu redioni
nihabarishe

Hamna kitu kama hicho. KAaaya kadanganya umma kuwa wanajenga nyumba bora. FYI AICC wameuza hilo eneo kwa NAKUMAAT ya Kenya ili wajenge maduka na supermakets. KWA HILI NDIO WAMECHEMSHA BALAA maana super market Arusha ni bwere ree . Hakuna cha NSSF wala nini. Badala ya kujenga nyumba bora ambazo ndio tatizo la Arusha wanauza kwa Wakenya wajenge maduka. Huku ni kukosa uzalendo wa hali ya juu.

Hizo nyumba ni za serikali na wapangaji ni wananchi. Kutoa notisi bila kuwaambia waende wapi ni kuwanyima haki yao ya msingi. Wakenya ni nini bwana wakati wananchi tunahangaika nyumba za kupanga ? We need houses , not shops. Tena waanze na block moja moja . Likikamilka wengine wahamie ndio lingine lianzwe. Swala la hao wakenya wa Naakumat ni wizi mtupu na halikubaliki.
 
Arusha nyuma siyo shida kivyo na isitoshe kuna ufisadi mkubwa sana kuzipata hizo nyumba za soweto kuna wakati nilikuwa nazihitaji nikaambiwa nitoe Mil 2 nikamuuliza unaniuzia au ni kupanga tu akaniambia ni kupanga tu tena wasijue kama wewe ndiyo unakaa hapo yaani niendelee kutumia jina la aliekuwa anakaa hapo....
acha wabomoe wajenge vitu vya maana...
 
All in all, mi siiti zile nyumba, bali mabanda. Nampongeza sn mtu mwenye akili aliyebuni wazo hilo la kuondoa uchafu ule katikati ya mji ili kupisha majengo yenye heshima.
Walikuwa wanaboa sana pale, wamefunga bara2 bila sbbu za msingi na ni complication mno kupaingia na kutoka.
Wakubali tu matokeo wakapange mtaani kama watu wengine kwa faida ya mandhari ya mji.
 
Kweli mkuu zile siyo nyumba ambazo unaweza kusubutu kusema zina milikiwa na shirika kama AICC..
 
Jamani kuna sehemu yoyote Arusha mtu anaweza kupata makazi ya kudumu, kwa sababu naona Arusha yote imeja ma-squatters. Ujenzi holela kila corner, sio njira wala Sakina... Mpango wa mji hamna hata kidogo
 
Arusha nyuma siyo shida kivyo na isitoshe kuna ufisadi mkubwa sana kuzipata hizo nyumba za soweto kuna wakati nilikuwa nazihitaji nikaambiwa nitoe Mil 2 nikamuuliza unaniuzia au ni kupanga tu akaniambia ni kupanga tu tena wasijue kama wewe ndiyo unakaa hapo yaani niendelee kutumia jina la aliekuwa anakaa hapo....
acha wabomoe wajenge vitu vya maana...
hahaha...aisee pale hapafai..ilikua dili kupata nyumba pale, hata ukienda AICC ofisini wanakuambia kuna list ya watu bado wanasubiri kupta hizo nyumba. Kuna jama aliniambia nitoe 1.5M ili nipate nikamuangalia, nakujiuliza ningekua na hizo hela ningeshidwa kupanga mtaani..... nackia wahindi na wakenya ndo wanatoa hizo 2M ili wazawa wawapishe, wenyewe hawataki kujenga Arusha, so nyumba za AICC ndo kimbilio lao...
 
wacha wabomoe tu wajenge hiyo shipping mall yao haiko tatizo ila fedha watakazo pata waende wakajenge nyumba bora za makazi kijenge kwani wanaeneo la kutosha kabisa Na hawa NSSF waache kujenga haya maghorofa mengi katikati ya mji waanze kujenga sasa nje ya mji kwa hii speed wanayo enda nayo mbeleni tutakua na jam kama dar.
 
Jamani kuna sehemu yoyote Arusha mtu anaweza kupata makazi ya kudumu, kwa sababu naona Arusha yote imeja ma-squatters. Ujenzi holela kila corner, sio njira wala Sakina... Mpango wa mji hamna hata kidogo
Kama hata njiro ni squatters basi mzee Arusha haifai lakini nijuavyo njiro ni surveyed na hata ujenzi umezingatia viwango kwa kiwango kibwa
 
Back
Top Bottom