Ali Kiba - Lupela

The Ideologist

JF-Expert Member
Nov 11, 2012
483
244
Ngoma imevuja kwenye hii link-(MyNotjustok - Download Track) by the way nime-upload kuipata hapa jamii forum enjoy.....


Namkubali Alikiba ni mtunzi mzuri ni mwimbaji mzuri na ana sauti nzuri sana, ila video zake mara nyingi haziendani na anachoimba.

Ukiangalia hii video yake haileti hamasa ya kuendelea kuiangalia, haivutii na haina udadisi.

8f531b79d056fc9bfdf9351491317dbe.jpg
 

Attachments

  • Alikiba - LUPELA.mp3
    2.6 MB · Views: 175
Wimbo mzuri.. Kidogo Kama kwaito, kidogo Kama Zile za jux box, kidogo bongofleva yaani ipo katikati, haiishi hamu kusikiliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom