msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,761
- 5,877
- Thread starter
- #21
naomba niulize labda mimi sijui sana, mavazi ya msichana yanaweza kuwa ishara au dalili za mtu kuwa ana tabia njema? hao malaya wa mombasa wanaovaa hijabu kama waaumini wa kiislam(ninja sytle) ukiwaona barabarani si tunawaona wanatabia nzuri na ukasema wanafaa kuwa wake bora? hao ni maoni yangu tu lakini kwa upande wangu vyovyote mtu atakavyovaa bora ni mtu mzima 18+ ukizingatia alikuwa kwenye burudani hapo na usishangae watu walimfurahia sana. so kila mtu na maisha yake nafikiri au wadau mnasemaje? naomba mnieleweshe labda sielewi.
Akili za nape hiz.!