Kwa herini wana JF.

hah weeee!!!

1. Nina mbio kuliko unavyodhani
2. huwa nafanya mazoezi asubuhi tena ya nguvu sana
3. nikiwa darasa la pili niliwahi kupiga sana
4. Usinifanye nikutafutie mkia wa taa
5. Wezi ni marufuku kabisa kukaribia maana adhabu zao!! mh
6. Nitakuhesabia wewe na Mtei One wamoja
7. Ntakutafutia BAN ya miaka 7
Hahahahahaaaa maneno tu hayo
Mi siongei nafanya vitendo tu
 
Hahahahahaaaa maneno tu hayo
Mi siongei nafanya vitendo tu

ff_ak472_f.jpg


sijui ipi niiitumie!!! lazima uwe mpole tuuu
 
Back
Top Bottom