King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,656
- 68,604
Umeachishwa kazi internet cafe??
itakua au..................... ngoja ni nyamazeUmeachishwa kazi internet cafe??
mvhwije mbwange ene kuvhwira!! Kana?hahahaha! hela, nthikia kabwange kekundie mpunde kweri, simanya ketonga ne ani, etonga na kabora ka JF kana?
Shemeji yako kwa nani hivi Cousin?Shemeji nitakumisije!
Kila la kheri huko uendako.
Mie pia kanshangaza... Hata chozi la uongo la kumsindikiza Mtakatifu hakuna?...ndilo neno pekee unaloweza sema??
Kidumu chama cha vidumu.
Shemeji yako kwa nani hivi Cousin?
Mbona unam-adopt haraka hata hajaonana na Anti?
Hahahahaahahaha, we ni zaidi mkuu, hatukuwezi! hahahahahaaHii message yake aliituma dakika chache kabl akimu hajapitisha maamuzi...nadhani ameshanyang'anywa simu...
B areful buddy..sijui ni keko ama wapi wamekupeleka...op utarudi 'sealed.'
Sasa nisemeje Kongosho? Kwa vile ameamua kuaga members wote kwa pamojandilo neno pekee unaloweza sema??
Kidumu chama cha vidumu.
Aaaaah, acha arudi bwana. Umesoma comment ya Mentor? yani hadi sasa bado nacheka! lolooh! Basi acha atokomee na asirudi.
Sasa nisemeje Kongosho? Kwa vile ameamua kuaga members wote kwa pamoja
as if wote tuna rank sawa basi acha na mimi nimjibu kama walivo mjibu members wote. lolest
ooh! Basi acha atokomee na asirudi.
Mi na Ivuga we are not a couple, tofauti na wewe na The BossHivi unajua kuwa wanamme ni malighafi adimu sana siku hizi.
Angalia Husyn, alivyomwagwa jana kakonda kweli, kamrukia Judge hadi kidogo amparure reception.
Binti chunga SI wako huyo, baada ya miezi 9 atakuletea mke mwenza. Si unakumbuka Michelle nilivyotendwa. Utajibeba!
kidumu chako nani(ninong'oneze)
Mi na Ivuga we are not a couple, tofauti na wewe na The Boss
Nilimwambie akaongee na Uncle/Anti wangu akakataa.
Sasa ningefanyaje? Mwache aende, labda huko anakoenda
atapata anaetaka vya barabarani, mi nimelelewa bwana! lol