Kwa herini wana JF.

We kijana wapi tena unakoenda kusiko kuwa na internet???
Au umegoma kulipa kodi fulani ukapewa adhabu ya lupango ya miezi 9???
We gona miss u so much....
Tafuta mtu umruthishe shughuli ya Mapicha murua....
all the best huko uendako mkuu....
 
Kila la kheri uendako ila 9months ni mingi sana nje ya jf tutakumiss jukwaani
 
Mhmh, angalia usije ukaenda jumla maana huko mahali unaenda ni noma. Kuna jamaa aliaga anaenda kwa miezi mitatu hadi leo hajarudi.
 
oooh jamani Saint Ivuga miezi tisa mbona mingi sana, waenda wapi kusikokuwa na net huko?.. Tutakumiss sana mpendwa!..


Kila la kheri huko uendako!
 
mwali atajibeba, jane wa miezi 9 si mchezo.

Hivi tutapata mlinzi mwingine wa chit chat?

Mie hakika sitakumiss SI.
 
hivi wewe umekuwaje siku hizi??
24/7 upo hapa??

Namwambia Nitty akuache na ujauzito
hadi ufulie hata hela ya bando la net.

oooh jamani Saint Ivuga miezi tisa mbona mingi sana, waenda wapi kusikokuwa na net huko?.. Tutakumiss sana mpendwa!..


Kila la kheri huko uendako!
 
SI,
YOUR HIGHNESS
haya mkuu waenda wap bana?afu iyo miezi imenitisha inafanana na ile ya nanihii!..i think ni muhimu tukawa na mawasiliano yako m-badala!
 
mjomba utampa mhogo wa jang'ombe wewe?

Binti akishaanza kulala na ng'ombe wakubwa hawezi tena kulala na ndama.
Hata kama kwao Masaki, utamkuta Tandale anatafuta haki yake.

Ujane mbaya.
Au Mwali kambebesha mwenzie mimba?

Konny mjombake nipo mbona... "hatapungukiwa na kitu"
 
kila la kheli ushauri upumzike na kushabikia simba ili hiyo miezi 9 ipite salama lasivyo utakuwa unabip kisera jeiefu..
 
Back
Top Bottom