Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa heri JF!!!!!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mase88, Oct 30, 2012.

 1. mase88

  mase88 JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  watu wamekua wakinisumbua sana kwenye simu usiku silali etu tutoke out dahh! kisa jamii forum ahaa naondoka nimechoka
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,125
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  nenda mwana kwenda
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanakuwa wameshikwa na nanihii, wewe ukishikwa na nanihii humpigii mtu simu?
   
 4. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 11,242
  Likes Received: 1,351
  Trophy Points: 280
  ol da bst!...
   
 5. TAMKO

  TAMKO JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 1,046
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  KWAHERI .. Aisee bye.. Namba utoe mwenyewe yakuzidi ulie, pombe usiyoijua kwanini uifakamie?
   
 6. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,161
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Na mtaani kwenu wanaume wakiwa hawaishi kukutaka utahama napo????
   
 8. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 5,714
  Likes Received: 1,302
  Trophy Points: 280
  Tena usirudi humu tena! na namba yako naifuta tangia leo! Nawe futa ya kwangu kabisa!
   
 9. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,003
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Wanadamu mna roho ngumu............ snowhite si ungemfariji tu asiende akabiliane na changamaji za humu??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. B

  Ba'mdgo JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  namba aliwapa nani km sio wewe mwenyewe, uliyataka hayo
   
 11. ram

  ram JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 5,698
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Jamani wape hi uendako, waambie JF hatujambo
   
 12. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 11,632
  Likes Received: 3,352
  Trophy Points: 280
  namba yako ya simu kwani inapitia JF kukupigia? We sema umekwazika.
   
 13. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,125
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  ah atupishe bwana!kwani nani alimtuma agawe namba za simu
  kuna mtu alimlazimisha ?anatupigia kelele za nini hapa anafikir kila mtu kid mwenzie hapa ala!ye alipotoa namba si manake apigiwe sasa mbona alipokuwa anatoa namba hakutoa tangazo la habari hapa!:A S angry:
   
 14. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,454
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  :A S 103:Kumbe kisa ni hiki:A S 101:
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,886
  Likes Received: 465
  Trophy Points: 180
  Mkuu shida iko wapi?...mbona tokea umejiunga na JF umekuwa rafiki na watu8 lakini hajawahi kukupigia simu wala kukukera,zaidi hata jinsia yako haitambui.
  Jifunze kupuuzia baadhi ya mambo ambayo kwako hayakupunguzii chochote..
  Mkuu hata ukiondoka JF bado namba yako ya simu itaendelea kuwepo kwenye simu za hao wanaokusumbua
   
 16. kisukari

  kisukari JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,308
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  ukisikia ushamba ndio huu.no utoe mwenyewe,ulitegemea nini?na unatuambia ili,uonekane unapendwa sana?kila mtu akianika yapa patakuwa hapatoshe.mambo mengine keep it to yourself
   
 17. M

  Msindima JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,016
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mbona wakati unagawa hiyo namba hukutupa taarifa?
  kama ambavyo ulifanya kwenye hiyo namba kimya kimya ungeondoka bila kuaga,
  unatuaga ili tufanyeje sasa?
   
 18. Amanda

  Amanda Senior Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nenda zako kwani huku uliakwa hadi utuage???
   
 19. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  to hell....
   
 20. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,150
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nenda fb mwaya,wasalimie ukifika.
   
Loading...