Kwa heri emmanuel okwi karibu mrisho ngasa ngasa

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Napenda kutumia nafasi hii kuwafahamisha wana Simba wenzangu juu ya ukweli uliopo kwa Emmanuel Okwi kujiunga na Yanga, Emmanuel Okwi anatarajiwa kurejea nyumbani hivi karibuni na mara tu atakapo fika anatarajiwa kujiunga na Yanga, makamu mwenyekiti wa club ya Simba ndugu Kaburu ndo amekuwa akiratibu zoezi zima la kumuuza Okwi kwa yanga na ameahidiwa kupewa cha juu kama alivyofanya kwa Kelvin Yondani na Juma Kaseja Mwaka juzi, huyu jamaa yuko kibiashara sana na ni kweli Emmanuel Okwi alitakiwa kusaini yanga mapema sana lakini baada ya wapenda simba kumbana na kumlazimu apige simu na kuweka loud speaker kidogo alifanikiwa kuwatuliza watu waliokuwa na jazba kubwa lakini ukweli ndo huo Okwi anaenda Yanga na ndo maana wanahaha kuwasajiri akina mrisho Ngasa na Twite ili mashabiki wa Simba wasije wakapanic lakini hii ni soccer mchezaji aruhusiwe kwenda kokote mara tu baada ya taratibu kufuatwa,
 
Poleni wana Msimbazi
Naamini Ngasa akibusu tena jezi ya Yanga ndoa mliyo funga nae itavunjika
Ila amewachuna kweli kweli Verossa+milioni 30 mshahara milioni 2 kwa mwezi dah.
 
jamani si nimeona kule kwa shigongo okwi kauzwa bilioni moja austria! hebu nijuzeni khaaaaa!
 
Hadithi njoo utamu kolea

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Watu wasisikie Okwi amerudi kwao Uganda tayari wanaanza kumuhusisha na Yanga,jamani msitutafutie maafa...msije mkatuulia Kaburu wetu bure kwa pressure,mmesahahu alivyoweweseka siku ile baada ya gazeti 1 kuandika habari za yeye ku'sign Yanga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom