Kwa heri 2011 "tongana' - karibu 2012 "wechonche"

Mar 5, 2009
95
32
Wapendwa mwaka 2011 umekwisha,tumefanya mengi mema na mabaya, tutafakari kwa makini wapi tumekosea tufanye marekekebisho na ambapo tumefanya vizuri tuombe baraka za mwenyezi mungu tufanye vizuri zaidi. Kila la kheri ktk mwaka mpya.
 
Mimi kilichonifurahisha ni majina ya miaka Tongana(2011) sasa tuna wechonche(2012)
 
Itakuwa Essay ya Msubi ndo imeshinda kutoa jina la mwaka 2012.

Wasubi ndo wanaopenda sana "Kwechoncha"
 
Back
Top Bottom