Vijijini Lawama
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 298
- 73
Muungano kitu gani, huyu jamaaa wa CCM hapo juu asikiri hii ni Tanzania ya zamani ambayo CCm wakisema tu jambo watu wote wanalikubali, muungano upi unaofanyika kwa vitu viwili na kutoa viwili, wakati kitu cha pili kikiuliwa jalalani na ukithubutu kutamka hiyo nafsi ya kitu kilichotupwa ati wewe ni mhaini. Kama watanzania walikataa siasa ya vyama vingi CCM walikubali vya nini? watanzania walisema wanahitaji vyama vingi ila ninyi magamba mkataka kutuaminisha kuwa ati wananchi wamesema hawataki vyama vingi, bahati nzuri late Nyerere akasoma alama za nyakati na kuwasihi kuacha ujambazi wenu.