Kwa hapa tulipofika, ni Dr Slaa tu anastahili kuwa rais wa Tanzania: Sababu ni hizi...

  1. Rais - Dr. Salim Ahmed Salim
  2. Waziri Mkuu - John Pombe Mgufuli
  3. Fedha - Profesa Ibrahim Lipumba
  4. Nishati na Madini - Dr. Wilbroad Slaa
  5. TAMISEMI - Zito Kabwe
  6. Elimu .......................
  7. Afya..........................
  8. Michezo - Juma Mkamia
  9. ..................................
 
Jk katukanwa kila tusi wengine walitegemea atakimbia Ikulu na kuwaachia wao. kwa lugha ya mtaani ningesema mmeingia choo cha kike. matusi aliyotukanwa JK ni mengi kuliko ahadi alizotoa kwa wananchi na kama ingekuwa matusi ndio maendeeo kwa sasa tungekuwa mbali sana
 
kinachotokea hapa ni kwamba ukimtukana Rais wa wenzako (JK) na wao watamtukana Rais wako ( Dr Slaa) ....ukijenga hoja za ushindani na wao watajenga hoja. matusi hata siku moja si msingi wa maendeleo
 
Kama ulibahatika kwenda shule hiyo inaitwa fallacy.
Unamweka wapi Hayati sokoine? Rais kikwete hujaona juhudi zake kupambana na ufisadi?
OTIS
Unajua maana ya fallacy au unajipachika utaalam usiouweza? Hoja inakuwa fallacy pale ambapo major premise, minor premise na coclusion zinapingana!

Sokoine yupi? Yule aliyewafanya wananchi wajipange foleni hata kununua miche miwili ya sabuni na chumvi kwenye maduka ya vijiji vya ujamaa? Unamsema Sokoine ambaye aliwafanya wananchi maskini wamwage baharini hata kilo kumi za sukari kwa hofu ya kufunguliwa mashitaka ya ulanguzi? Huyo ndiye Sokoine unayetutaka tukuamini kwamba alipigania maisha bora kwa Watanzania? Na huyo Kikwete unayemsema ni yupi? Huyo ambaye tunasikia hakukutana na Lowasa na Rostam Aziz barabarani? CCM kubalini yaishe hamna jipya!
 
Ulikuwa unafanya nini chumbani nikiwa na kigogo kama hakutupanga foleni/zamu ya kutuCameron. kumbe na wewe unapenda kamchezo hako ka chama cha conservative chama rafiki wenu mmmmh ningeshangaa kama hukatumii
Mama Porojo=Faiza Fox!! Msishangae!
 
Unajua maana ya fallacy au unajipachika utaalam usiouweza? Hoja inakuwa fallacy pale ambapo major premise, minor premise na coclusion zinapingana!

Sokoine yupi? Yule aliyewafanya wananchi wajipange foleni hata kununua miche miwili ya sabuni na chumvi kwenye maduka ya vijiji vya ujamaa? Unamsema Sokoine ambaye aliwafanya wananchi maskini wamwage baharini hata kilo kumi za sukari kwa hofu ya kufunguliwa mashitaka ya ulanguzi? Huyo ndiye Sokoine unayetutaka tukuamini kwamba alipigania maisha bora kwa Watanzania? Na huyo Kikwete unayemsema ni yupi? Huyo ambaye tunasikia hakukutana na Lowasa na Rostam Aziz barabarani? CCM kubalini yaishe hamna jipya!

Wewe wamzungumzia slaa yupi?
Huyu alieshindwa kutunza kiapo cha kanisa akakimbilia siasa?
Huyu aliekimbia CCM baada ya kuangushwa na Qorro Kwenye kura za maoni?
Huyu alieiba mke wa mtu?
Ndio mpinga ufisadi kwa vitendo wa pili Tanzania?
Rudia tena
OTIS
 
Jamani hata jk anajua Dr slaa ndiye Rais wa Tz, Ana jua kuwa isingekuwa NEC kuchakachua kura za Dr slaa, yeye angekuwa segerea kwa ufisadi wa richmond na dowans. wasitaka kuamini ni wale wanacameriwa
 
ndoto zingine ni mbaya na hasa kama unategemea kwamba kuna mtu yuko mahali fulani atakupa mafanikio endelea kumuota Dr slaa atakujengea nyumba na kukupa elimu bure
Wananchi wanamtaka kiongozi shupavu mwenye kusimamia raslimali za taifa. Huyu rais bi show mzururaji na ombaomba anatia kinyaa!! Yeye amekuwa sababu ya ufukara wa nchi uliokithiri! Kazi kusafirisha raslimali ya wanyapori uarabuni! Upende usipende ni Dr Slaa atakayeweza kusimamia raslimali za nchi kwa manufaa ya watanzania wote.
 
Wewe wamzungumzia slaa yupi?
Huyu alieshindwa kutunza kiapo cha kanisa akakimbilia siasa?
Huyu aliekimbia CCM baada ya kuangushwa na Qorro Kwenye kura za maoni?
Huyu alieiba mke wa mtu?
Ndio mpinga ufisadi kwa vitendo wa pili Tanzania?
Rudia tena
OTIS
Ndiyo namuongelea Slaa ambaye aliikimbia CCM baada ya kunusa harufu ya utapeli na ufisadi uliokithili. Viapo vipi unavyoviongelea? Ulimwapisha wewe? Lini? Ulitaka amchukue mkeo? Iwapo mkeo ana sura nzuri tupe jina lake na namba yake ya simu!! Iwapo hujaoa, mama yako ana hali gani? Ni mzuri? Tupe mawasiliano yake! Changamka!
 
na habari kamili wanachama wa nssf kugoma pesa zao kujenga daraja la kigamboni kwani halina tija kwao kwa sasa wewe subiri uone jk kwisha
 
Sikulaumu.
Una tatizo la malezi.
OTIS
 
Sikulaumu.
Una tatizo la malezi.
OTIS
Muda uwaja wana wa Tanzania wake kwa waume watakapo tembea kifua mbele kuondoa majambazi ya ccm omba usiwe katika wale watakao wekwa kwenye list ya kukamatwa na kuuawa. Muda umefika. You dont have six month
 
na habari kamili wanachama wa nssf kugoma pesa zao kujenga daraja la kigamboni kwani halina tija kwao kwa sasa wewe subiri uone jk kwisha
 
Back
Top Bottom