Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
nani aliekuwa anajuwa kama Picha iliobandikwa ktk magazeti ya TANZANIA DAIMA, NIPASHE NA UHURU kuhusu macahfuko ya Zanzibar ni propaganda?
Mara tu baada ya picha hiyo kubandikwa, nilifungua redio imaan kusikiliza msimamo wao.mara nikasikia Anahojiwa ustadh aliehusishwa picha hiyo kwamba yupo Zanzibar au Morogoro? Ukweli ukajulikana mara 1
Pia siku hizi nikisoma habari ninayoitilia shaka hufungua redio imaan kusikiliza jinsi wanavyoiffatilia kwa kina kwa wahusika na kuwajuza wananchi ukweli ulivyo.Tofouti na mwanzao likiandikwa limeandikwa tu, hakuna opposite side kusikia
Naamini kazi hii haipendwi na vyombo vya habari vini vinavyokurupuka na kuandika zaidi hisia badala ya ukweli.lkn ujio wa redio hii kunaweka mambo mengi sawa
Uji wa redio tayari kumeifanya baadhi ya vyombo vya habarikushuka uaminifu mbele ya jamii. tofauti na zamani sukuma twendwe hakuna anehoji ukweli wa habari na wananchi kulishwa sumu