Miwatamu JF-Expert Member Oct 2, 2012 1,450 487 Oct 25, 2012 #1 naomba mniambie wanajamvi? Je, tutafika salama?
StayReal JF-Expert Member Sep 29, 2012 518 147 Oct 25, 2012 #2 Hayo ndio maisha ya mtanzania wa kawaida!
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Oct 26, 2012 #4 ... mkulu alishasema foleni za barabarani ni maisha bora akimuona na huyu atasema hadi 2015 kila mtu atakua na nyumba,....
... mkulu alishasema foleni za barabarani ni maisha bora akimuona na huyu atasema hadi 2015 kila mtu atakua na nyumba,....