kwa golikipa huyu (de gea) man utd tutamkumbuka vande sar kwani ni hatari!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,277
13,212
hadi dk.45 kipindi cha kwanza man city wanaongoza kwa 2-0! Dhidi ya man utd! Magoli yote ni uzembe wa kipa,na mimi toka wakati anasajiliwa nilitia shaka sana.wapenzi wenzangu wa man utd kazi tunayo!hamna ki2u mle.mpira tunacheza sisi wakiachia shoot goli!
 
pamoja na hayo lakini tumeshinda;man C 2-man U 3
 
Lets give him time atakuwa poa anaweza asiwe kama Peter Schmeichel au Edwin Van Der Sar but he has a lot to prove, tungoje ligi ianze
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom