Kwa Dr. Slaa (PhD) ni UDINI kwa Mch. Mtikila SIYO UDINI mmhh hapa kuna jambo si bure!

Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini, japo kuwa katiba inaruhusu mtu yoyote kugombea urais. Kama mnataka kuitoa CCM madarakani simamisheni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.

Ni ushauri tu.

Kwa vyovyote, huwezi kutoa ushauri bila sababu! Je, ni sababu zipi zimekufanya useme: "Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini, japo kuwa katiba inaruhusu mtu yoyote kugombea urais. Kama mnataka kuitoa CCM madarakani simamisheni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote"?
 
Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini, japo kuwa katiba inaruhusu mtu yoyote kugombea urais. Kama mnataka kuitoa CCM madarakani simamisheni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.

Ni ushauri tu.
Uislam kwanza, Tanzania inafuata, Vyama vinafuata baadae
Hapo kwenye Red ndugu yangu sikubaliani na wewe, mimi ni muislam na nakuambia tena kuwa sikubaliani na wewe ingawa ni haki yako ya uhuru wa kuongea lakini Nasema Tanzania kwanza, kwani hata hizo dini zimeikuta ardhi ya Tanzania kabwa ya warabu na wazungu kuja kutuuzia dini zao.
 
Watu walibeba mali zao walizopata kwa halali kwenda kuzitupa mitoni n maporini kuwa tajiri ilikua dhambi WAKAITWA WAHUJUMU.leo hii mambo yanajirudia kuwa tajiri ni fisadi huyu jk akitoka baada ya mda wake na wasiwasi tukapata dictotar tena.
Haya baada ya mwinyi akaja mkapa jitu katili sana,likauza mashirika yetu ya umma yote,akaua watu pemba ,akafanya ufisadi wa kufa mtu leo hii issue imekua dowans.kweli jamani tunafikiri clearly ama watu wako retard
Kweli mkuu!! Mkapa jitu katili, likaua, likauza mashirika yetu, likafisidi mno. Alipokuja 'mtu safi' kikwete tukataka awakamate na kuwawajibisha wote waliotufanyia mabaya hayo... Hebu nikumbushe ikawaje vile??? Halafu kweli wakati Mkapa anaua Pemba na Zanzibar nani alikuwa anamsafisha mbele ya jamii ya kimataifa? Hebu tukumbushane waziri wa nje wa Tz aliyekomaa kuitetea serikali ya kiuaji ya ccm wakati ule alikuwa nani?! Mnakumbuka majibu yake nje ya nchi?!
 
kwanini yule mwakilishi wa mtei alisoma maandiko ya biblia?

hata makamba anasoma biblia. Hakuna tatizo hapo

kwanini slaa alilala parokiani?
hata rais wako na makamu wamewai kulala mission. Parokia zinamiliki hostel ambazo mgeni yoyote anaweza kufikia bila kujali dini yake

kwanini maaskofu arusha walitoa tamko la kutomtambua meya?
kwa sababu hakupatikana kihalali, kumbuka meya ni mkristu. Je unafikiri maaskofu hawamtaki mkristu mwenzao?

kwanini pengo alikua akiingia baraza la mawaziri?

baraza la mawaziri la nchi gani ? Toa ushahidi

kwanini kulikua na ubalozi wa papa ikulu?
hakuna ubalozi wa papa. Kuna ubalozi wa nchi inaitwa vatican. Vatican ni nchi ndogo ya kikristu kama ilivyo iran, nchi ya kiislam ambayo ina balozi wake hapa tanzania

kwanini maaskofu walishutumu mauaji ya arusha pekee na kuacha mwembe chai na znz?
si kweli walishutumu hata yale ya mwembe chai. Au ulitaka watumie maneno yaleyale kwa kosa lile lile?

kwanini kupinga mahakama ya kadhi,na kufikia hatua ya kusema damu itamwagika?
kwa mujibu wa katiba iliyopo, serikali haina dini, hivyo haiwezi kuunda chombo kitakachohusika na masuala ya dini fulani tu. Damu itamwagika yakitokea machafuko ya kidini ambayo hatutaki yatokee. Mahakama ya kadhi ianzishwe na waislam wenyewe, kama ambavyo makanisa yana mahakama zao/mabaraza ya usuluhishi

kwanini nyerere apewe utakatifu na kuitwa baba ametenda kwa kanisa lipi?

serikali ya tanzania haina dini, ila watu wake mmojammoja wana dini zao. Nyerere kama mtanzania yoyote alikuwa mkatoliki. Hivyo kanisa katoliki linaweza kumpa utakatifu kama ilivyo kwa wakristu wengine kwa mujibu wa imani na taratibu za kanisa hilo. Suala hili halina uhusiano na serikali au uongozi wake kwa taifa bali linamhusu yeye kama yeye alivyoishi kama mkristu.

kwanini kule kwa pinda kanisa liliwafukuza ushirika waliompa kura kikwete?
waliofukuzwa ni wale walio kashifu au kusaliti imani ya kanisa hilo. Unajuaje kama watu wale walimpa kura kikwete wakati kura zilikuwa ni za siri? Kama hawakuisaliti imani ya kanisa hilo kwa nini wasijitokeze kujitetea? Hivyo wangekashifu uislam wangeachwa tu?

kwanini zito alilalamikia udini? Kwanini zito alikataliwa kugombea uenyekiti?
hakukataliwa, bali alishauriwa naye akaelewa. Ni sawa na utaratibu wa ccm wa ndani ya chama kumpa rais vipindi 2 vya kuongoza, siyo kwamba wengine wanazuiwa kugombea

kwanini waungaji mkono wa cdm asilimia tisini ni wakristo?
hapa inabidi utoe data/ ushahidi, cdm kama ilivyo ccm na vyama vingine wanapoandikisha wanachama wao hawaulizi dini zao. Sasa 90% umeipataje?

kwanini linapoibuka suala dogo linalohusu waislam hupata upinzani mkali bungeni?
kama jambo lina maslahi kwa taifa litatetewa kwa hoja au kupingwa kwa hoja. Najua unafikiria mahakama ya kadhi na oic, mambo ambayo yamejadiliwa muda mrefu hapa jf.

kwanini mabaraza yote ya mawaziri ya kikwete yanalalamikiwa sana?
nani anayalalamikia? Au waziri gani analalamikiwa? Je wanalalamikiwa kwa ajili ya dini zao?

ukijibu maswali haya machache ya kuanzia kwa usahihi utagundua jambo kuu hapa ni udini. Maswali yako mengi tena mengine magumu kuyajibu.


maswali yako yote yanajibika, udini hauna nafasi, tusonge mbele
 
Nini maana ya usomi?

Kuwa rais hakuitaji shahada, katiba inasema mtu ajuaje kuandika na kusoma. Shahada haingozi kinachoongoza ni busara na maamuzi yako.

Pole sana! Ndiyo maana nchi hii haiendelei. Kwa taarifa yako, huwezi kuwa rais wa Marekani bila kuwa na shahada ya any of the 'State Universities'. Halafu wewe unasema muhimu ni kusoma na kuandika!!!! Ama kweli nchi hii ukombozi wa fikra bado ni safari ndefu sana!!
 
nyerere kwani ndo nani!,nilivaa katambuga kipindi chake kama huzijui ni kandambili za matairi ya magali,nikala ugali wa yanga,uniform za shule tukavaa marekana WHAT KIND OF PREZ WAS HE? watu walishona viraka ni mpaka salimu ahmed salimu aje ndo akaruhusu mitumba. Watu wakaanza kuvaa.enzi za sokoine ukikutwa na emprial soap z kenya hata kipande tu waitwa muhujum unadhani kwa nini alikufa.UNADHANI KWA NINI WAJESHI WALIJARIBU KUMTOA NYERERE ZAIDI YA MARA TATU?tuacheni unafki nyerere was bad ndo maana alishindwa akajistaafisha mwenyewe

Kama ulivaa makatambuga unadhani ni wote!! Pumbaaafu! Wakati wewe unavaa makatambuga huko ulikokuwa kwa uvivu wako, wenzio walikuwa wanavaa suti. Wakati unakula ugali wa unga wa yanga wenzio walikuwa wanakula balanced diet. Pole sana!
 
Back
Top Bottom