Kwa Dr. Slaa (PhD) ni UDINI kwa Mch. Mtikila SIYO UDINI mmhh hapa kuna jambo si bure!

Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini, jpo kuwa katiba inaruhusu. Kama mnataka kuitoa CCM leteni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.
Ni ushauri tu.

mnamwogopa. pure and simple. watanzania wengi wameanza kuelewa kwa nini hali zao ziko hivyo zilivyo. sio mabwege tena. will decide come 2015. wait and see. majority ya watanzania sio wadini.
 
mnamwogopa. pure and simple. watanzania wengi wameanza kuelewa kwa nini hali zao ziko hivyo zilivyo. sio mabwege tena. will decide come 2015. wait and see. majority ya watanzania sio wadini.
Ni kweli tuna muogopa na sio yeye tu, mtu yoyote aliye wahi kuwa kiongozi wa dini tunamuogopa kuongoza nchi yetu.
 
Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini, jpo kuwa katiba inaruhusu. Kama mnataka kuitoa CCM leteni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.
Ni ushauri tu.

cjui wengne mnaandika mmelala,soma msitari wako na wa mwisho,sijui unajielewa au unajichanganya,au kiswahili au shule,mi nashindwa kukuelewa.
 
Sijasema Muislamu au muikiristu hata tawala Tz, nimesemea waliokuwa viongozi wa dini, kuna busara kubwa sana kwenye ushauri wangu kwa musitakbari wa taifa letu.
Bado ni mawazo potofu tu. Unamkumbuka Alhaji Ali Hussein Mwinyi? alikuwa na bado ni kiongozi wa dini huyo. Wafahamu Mhe.Mch. Mwanjale (mb), Mhe. Mch. Rwakatare (mb), Mhe . Mch. Msigwa (mb) na wengineo wote ni viongozi wa dini na kwa mamlaka zao wanaweza kuteuliwa kuwa mawaziri. Naamini hata Mhe Prof.Majimarefu anaweza kuwa kiongozi katika imani yake. Inawezakana kwa mtazamo wako Dr wa ukweli hakufai lakini usihukumu specific to general.
 
Huyo rais msitaafu hajawahi kuwa kiongozi wa dini, au hilo jina alhaji linakupa tabu. Alhaji/hajat ni muislamu yoyote aliyewahi kwenda hija makka. Hao wabunge, mawaziri hakuna tatizo wao kuwa viongozi wa dini ila kwa rais bado sana labda uko mbeleni ila si kwa tanzania ya sasa yenye matabaka.
 
Sijasema Muislamu au muikiristu hata tawala Tz, nimesemea waliokuwa viongozi wa dini, kuna busara kubwa sana kwenye ushauri wangu kwa musitakbari wa taifa letu.

Tatizo hapa ni kuwa kundi moja la viongozi wengi wa dini katika dini fulani sio wasomi na kundi jingine la viongozi wa dini katika dini nyingine ni wasomi waliobobea ndio maana wote walioko kwenye kundi la dini lenye viongozi wa dini yao wasio wasomi wa kutosheleza uongozi wa umma wanapinga kuwa viongozi wa dini wasiwe viongozi wa siasa. Tukifuata kanuni hii mfu, tutakuwa tumeleta ubaguzi mkubwa na uvunjifu wa haki za binadamu. katiba inaruhusu Sheik, imamu, padre, mchungaji askofu, kugombea uraisi au uongozi wowote wa siasa. Haya tunayojadili hapa ya kibaguzi sidhani kama Watanzania wanahitaji kuyasikia.
 
Wendawazimu tu wanaweza kumkataa Dr. Slaa, ukimchunguza akihutubia utakuta anazungumzia mambo ya kitaifa tu ambayo yanamgusa kila Mtanzania bila kujali dini yake. Tatizo CCM ilishawahidi Mahakama ya Kadhi na OIC, ndio maana mko tayari hata kuitetea hata wakiua na ufisadi. This is the secular state, we are not read to see any religious matters to be included in Tanzania constitution. We are not ready to use our tax to pay for any religious matter.
 
Tatizo hapa ni kuwa kundi moja la viongozi wengi wa dini katika dini fulani sio wasomi na kundi jingine la viongozi wa dini katika dini nyingine ni wasomi waliobobea ndio maana wote walioko kwenye kundi la dini lenye viongozi wa dini yao wasio wasomi wa kutosheleza uongozi wa umma wanapinga kuwa viongozi wa dini wasiwe viongozi wa siasa. Tukifuata kanuni hii mfu, tutakuwa tumeleta ubaguzi mkubwa na uvunjifu wa haki za binadamu.

Nini maana ya usomi?

Kuwa rais hakuitaji shahada, katiba inasema mtu ajuaje kuandika na kusoma. Shahada haingozi kinachoongoza ni busara na maamuzi yako.
 
Mtu anasema KATU halafu anawakilisha wazo lake mmoja. Kukosa akili.
 
Mtu yeyote anayependa kuchanganya mambo ya dini na politics mara nyingi anamekuwa amefilisika kwa hoja za msingi nisingependa kuchanya hivi vitu viwili. Katiba yetu ipo clear kwa hilo
 
Ndg zangu wanaJF,

Kwa nini Chadema na Dr. Slaa (PhD) wao wanaonekana kuwa ni wadini lakini Mch. Mtikila ambaye jina lake halitajwi bila cheo cha Mch. lakini sijawahi kusikia Mzee Mtikila akilaumiwa hata mara moja kwamba ni mdini. Tena basi wakati mwingine Mch. Mtikila amekuwa akiirejea waziwazi Biblia Takatifu katika kujenga hoja zake mbele ya vyombo mbalimbali vya habari lakini hajawahi kulaumiwa kuwa ni mdini.

My take:
Dr. Slaa (PhD) anaonekana kuwa ni tishio kwa sisiem na mafisadi wake. Wameshindwa kupunguza kasi yake kwa kutumia nguvu ya hoja. Wamejaribu kutumia maisha yake binafsi ya ndoa, wameshindwa. Mwishowe, wamekimbilia kwenye UDINI kama silaha yao ya msaada. Sasa bahati mbaya silaha hiyo ni ya maangamizi. Badala ya kumwangamiza Dr. Slaa (PhD) na chadema yake, watakaoangamia ni jamii nzima ya Tanzania. Ukweli wa hoja hii umeanza kujionyesha MTO WA MBU. Watanzania tuipuuze na kuifutilia mbali sisiem. Ni chama kilichopauka. Kimeishiwa hoja. Tukiendelea kukiacha madarakani, taifa litaangamia. Mwenye macho na masikio asipuuze wito huu.
Huo udini unausikia hizo ni hila za ccm,nijuavyo ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka,ccm wanaelekea ndo shimoni mpaka ikifika 2015 ccm haipo,watz wa leo si wale wa miaka ya nyuma,sasa hivi tunahitaji mabadiliko,kwa hiyo huu mtindo wa kudanganya watu na udini unakikomo chake,sisi tunaona, tunajua lipi kweli lipi la uongo hivyo hao mamangi meza wasubiri hukumu inakuja
 
Kwani rwakatale rais.we vipi,hatutaki ex shehe ama padri.SHORT AND CLEAR and you better get it man before it is tøo late
 
Huo udini unausikia hizo ni hila za ccm,nijuavyo ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka,ccm wanaelekea ndo shimoni mpaka ikifika 2015 ccm haipo,watz wa leo si wale wa miaka ya nyuma,sasa hivi tunahitaji mabadiliko,kwa hiyo huu mtindo wa kudanganya watu na udini unakikomo chake,sisi tunaona, tunajua lipi kweli lipi la uongo hivyo hao mamangi meza wasubiri hukumu inakuja

Na sisi CCM hatuipendi imetufanyia mabaya mengi sana, lakini ni mara kumi tuongozwa na CCM kuliko na mtu aliye wahi kuwa kiongozi wa dini.
 
Weka mnyika awe rais ama zito atapewa nchi,mstake kutulazimishia padri.tamko la maaskofu wa arusha lilimmaliza bado scandal ya kulala parokiani.mimi bora hata mbowe awe rais ,slaa ameconsipire na makanisa.he is gud but why did he do that
 
Ndg zangu wanaJF,

Kwa nini Chadema na Dr. Slaa (PhD) wao wanaonekana kuwa ni wadini lakini Mch. Mtikila ambaye jina lake halitajwi bila cheo cha Mch. lakini sijawahi kusikia Mzee Mtikila akilaumiwa hata mara moja kwamba ni mdini. Tena basi wakati mwingine Mch. Mtikila amekuwa akiirejea waziwazi Biblia Takatifu katika kujenga hoja zake mbele ya vyombo mbalimbali vya habari lakini hajawahi kulaumiwa kuwa ni mdini.

My take:
Dr. Slaa (PhD) anaonekana kuwa ni tishio kwa sisiem na mafisadi wake. Wameshindwa kupunguza kasi yake kwa kutumia nguvu ya hoja. Wamejaribu kutumia maisha yake binafsi ya ndoa, wameshindwa. Mwishowe, wamekimbilia kwenye UDINI kama silaha yao ya msaada. Sasa bahati mbaya silaha hiyo ni ya maangamizi. Badala ya kumwangamiza Dr. Slaa (PhD) na chadema yake, watakaoangamia ni jamii nzima ya Tanzania. Ukweli wa hoja hii umeanza kujionyesha MTO WA MBU. Watanzania tuipuuze na kuifutilia mbali sisiem. Ni chama kilichopauka. Kimeishiwa hoja. Tukiendelea kukiacha madarakani, taifa litaangamia. Mwenye macho na masikio asipuuze wito huu.

Mkuu moja ya vitu ambavyo personally nimekuwa nikipingana sana na chadema ni kuto-kuangalia opportunity na kut-zuia opportnitiy za maadui.

Swala la udini lilionwa mapema sana na CDM kama wanasiasa wlitakiwa walijue hilo na kuzuia mianya hiyo. This is costfull lakini it pays.

1. CUF kwa bahati nzuri udini wao ulikuwa dhahiri, siyo kwa waasisi wa chama , bali kwa followers wake!, kilipokuwa na nguvu sana, CCM walikimaliza kwa hoja nyepesi ya udini na KIMEKUFA!

2. CDM hali kadhalika wakati wanaamua Slaa agombee lazima kama chama kiweze-ku-foresee na kuzuia mianya ya maadui kukitumia; at thet very time, CDM ilitakiwa iwe karibu na jamii za kiislamu kwa namna moja ama nyingine, this we call risk assessment

Ni jambo linalohuzunisha kuwa mara nyingi tumekuwa tuki-assume kuwa WENGINE wote wanawaza na kufikiri kama sisi, wana UPEO kama sisi n.k

WHAT HAPPENED NOW IS THAT CCM HAS SUCCEEDED TO KILL CHADEMA USING THAT WEAPON OF MASS DESTRUCTION!

CDM in reality is no more....CUF in reality is no more, wapenzi wa CUF wote hivi sasa wako CCM maana CCM nacho kina waislamu wengi tu na supporters wake wengi ni waislamu, hilo halihitaji chemistry au maabara kulijua....in other words CUF+CCM are very strong because theyr are almost one!

CUF urahisi wameshindwa vibaya simply wengi wana CUF walimpa kikwete kwa sababu ya udini

wakati Mbowe na Hamada wana-uandaa ule mdahalo tulipiga kelele kuwa hauna maana na umekwekwa kuiua chadema, bahati mbaya walioandaa ni kampuni ya Mbowe yenyewe, wakiwa na malengo mazuri lakini at wwrong time and stage, simply in that mdahalo was Islam vs Christian!!! tuliokuwepo kwenye mabaa huku na huku tululiona hilo

What mfanyabiashara Mengi does could be employed by CDM to do whatever they can to remove this worrries among Islam community!
Kumbukeni hoja zozote za udini, hali halisi ya CDM kuwa haina udini, HAIZUII baadhi ya watu kuamini TOFAUTI na hapa ndipo tactic za kisiasa, propaganda, sociology na political science zinapoingia to remedy the situation. Some people' image are being turnished even if they are innocent!

Chadema imelala kwenye maeneo mengi sana na NI WAJIBU WETU kuiamsha hata kwa kuwatukana ili mradi wa -ACT accordingly na sio kwa kupapasa papasa kama vile siasa ni mchezo politics is a serious game and serious players are needed. kinachohuzunisha ni kuwa supportesr

CCM huwa wanawapeleka wanachama wao kwenda tu kusomea propaganda! kujua wengine wanafanyaje, waangalien CCM wanaijua siasa vizuri sana, wanajua kuchanga karata zao vizuri na kwa ujanja wao wamefanikiwa kufanya kila wawezalo kukaa madarakani kwa sababu ya ujanja lakini wakijua fika sio viongozi wazuri!

You may agree with me kuwa CDM kwa mfano bungeni wanaweza kabisa na wameonyesha kuwa wao ndio chama tawala na CCM ndio wapinzani! sasa CDM they need to go extra miles to overcome many situations ahead of them!

2. CDM kabla ya Slaa haikuwahi kuongelewa udini

Hii inathibitisha kuwa hoja ya udini ni dhahiri imeletwa na CCM, ili kuondoa matatizo CDM guys kueni, kubalini challenges na elezaneni ukweli! haya ndiyo yanajenga chama, kuogopana na kuonana wabaya kwa sababu tu fulani katofautiana na wewe ni ulimbukeni
 
Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini, japo kuwa katiba inaruhusu mtu yoyote kugombea urais. Kama mnataka kuitoa CCM madarakani simamisheni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.

Ni ushauri tu.

:decision:Fikiria kabla ya kuandika!!! sisi 2nataka raisi historia ya kuwa aliwahi kuwa kiongozi wa dini au la its non of our business.
 
Hapo umeongea nakumbuka,mimi kati ya mikutano ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu nilienda mkutano wa slaa peke yake.alikuja kikwete sikwenda.lipumba nampenda sana lakini sikwenda.
Kisha nikasikia slaa analala parokia hafu ikafuata kauli ya maskofu arusha NIKASEMA HAPA WANAUDINI TU.sasa slaa umeharibu waachie kina mnyika ,mbowe wanaweza
 
Back
Top Bottom