Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

Ndio maana Mkapa alikuwa na mashaka kama vicent ni wa ukoo wa Nyerere elimu yake imejaa viraka anahitaji kwenda shule kama alivyofanya Mbowe. Elimu haina mwisho lakini inategemea kama anapenda shule
Mkapa alisema uongo kuhusu Vicent. Sio kweli kuwa alikuwa anaujua ukoo wote wa Nyerere. Yawezekana alikuwa anajua familia ya Julius Nyerere tu. Vicent ni mtoto wa Josephat Kiboko Nyerere ambaye ni mdogo wake tumbo moja na Julius Nyerere. Bahati mbaya huyu Josephat Kiboko alikuwa mtundu mtundu mpaka wakati fulani huko nyuma aliwahi kuwekwa ndani rumande Butimba na kaka yake. Mdogo wa Julius Nyerere mwingine alikuwa Joseph Kizurira Nyerere ambaye aliwahi kuwa kiongozi wa Umoja wa Vijana wa TANU. Uongozi sio lazima uende shule, shule inasaidia kuwa mwelewa zaidi. Kama suala ni elimu mbona hao wenye elimu ndio wezi, waporaji wa ardhi za wanachi, wanaosaini mikataba mibovu, wasiojua kupima dhahabu mpaka wanaumbuliwa na waporaji wasiosoma, wanaopanga kujenga uwanja wa ndege kubwa Mpanda (utakaowesha boeing 737 kutua) bila kijihakikishia abiria watakoutumia, wanaobalidi barabara zipite vijijini kwao, wanaohamisha wananchi wa Kipawa kwa malipo kidogo bila kuwa na uekezaji wowote, wanaoruhusu maji yenye sumu yatiririkie mitoni, hao ndio wasomi unaowataka?
 
Ndio maana Mkapa alikuwa na mashaka kama vicent ni wa ukoo wa Nyerere elimu yake imejaa viraka anahitaji kwenda shule kama alivyofanya Mbowe. Elimu haina mwisho lakini inategemea kama anapenda shule

Ole sendeka anaelimu gani?
 
Honestly...na mimi nimepata mwanga wa haswa kwanini alikuwa na audacity ya kutoa 'fact' (kwangu ni fallacy) zisizo na research nyuma yake...sijui kwa nn but ile statement kuhusu ex-Police Oficcers na u-DC ilinikera..na mimi ni mwanachadema whatever that means!!!!

Hukupenda ukweli wa statement au statement yenyewe?
 
Imagine mtu anasoma primary schools tatu tofauti! Maana yake ameanza kufeli toka huko!!
Kumbe ndio maana hata argument yake against Mkapa ilikuwa poor sana!
Jamani tupelekeni wenetu shule!
 
This thread has cleary hit the mark, no wonder Magamb.a foam at their mouths. It was such an irrational decision to appoint unlettered person like Vincent Nyerere to lead political elections campaigns which, by their nature, oftenly call for intense and scholarstic clarification of weighty matters ranging from national to international. I am wondering how the likes of him will succeed in eloquent crystallization of issues related to economy, technology, politics etc with bare Form 4 education.
 
Yalimsibu yepi tena Muheshmiwa jamani,mbona amebadilisha shule za Primary nyingi hivyo?
 
ujasiri tu ndo kitu cha maana hata Iddi Amin, Zuma ,Kawawa, Karume, Mkwawa, Mufti Mkuu wa Tanzania,Zwangedaba n.k
Nadhani orodha ni ndefu lakini mambo yao si madogo
 
Tutegemee matusi matupu sikujua kama jamaa ana elimu ya form 4 alikuwa wapi kujiendeleza

Haya ndiyo waliyofanya wasomi wa Tanzania.
1. JAKAYA MRISHO KIKWETE (PHD)
- Alipoulizwa kwa nini Tanzania ni Maskini akajibu hata yeye hajui (ndiye RAHISI wetu!)
- ameiongoza nchi kwenye mdororo wa uchumi kiasi kwamba mfumuko wa bei haukamatiki.
- Ni muongo! aliahidi maisha bora kwa kila mtanzania na akaleta bora maisha kwa kila mtanzania
- Alikubali kutumia 60 billion kwa kusherehekea sikuu ya uhuru huku akishindwa kuwalipa posho madaktari hadi kusababisha mgomo wa madaktari ulioletea vifo vingi vya wananchi wasio na hatia. (PHD ilisaidia nini?)

2. ANDREW CHENGE - (majority mnajua kwamba kwenye eneo la sheria kwa usomi huyu jamaa yuko juu sana hasa sheria za kimataifa.
- Alisababisha tukashikishwa rada kwa bei ya kutupwa
- Alisimamia mikataba mibovu
- alishindwa kuishauri serikali kwa manufaa ya Taifa.

3. Mungai(PHD)
- alichezea elimu ya Tanzania akibadilisha sylabus kila mwaka hivyo kuwafanya watoto wetu kuchanganyikiwa wakati wa kwake wanasoma international schools.
- Alifuta Michezo mashuleni (kwa elimu yake aliona michezo ni kupoteza muda)
- Alilazimisha masomo ya kifaransa wakati anajua hana walimu!

4. Professor Juma kapuya
- Hapa nimepanic naana kila nikiangalia ni bogus tu hata sijui niandike lipi!
5. Shukuru kawambwa (PHD)
- yaani kikwete anambeba na kumbadilisha wizara kwa sababu ya undugu lakini hata sikumbuki zuri alilofanya!
6. Professor Kigoma Ali Malima
- Akiwa waziri wa fedha ndipo shillingi ya Tanzania ilizidi kuporomoka! Aliishia kujenga misikiti wizarani!
7. Proffesor Ibrahim Lipumba
- Cuf imemshinda!

N.B huu wote ulikuwa ni uchokozi tu lakini nilichokuwa na maanisha wasomi wetu ndio wanaotupeleka kubaya! Ndio wanatuingiza kwenye mikataba feki! Ni msomi gani ambaye haoni ufisadi wa kubadili jina la kampuni kila baada ya miaka mitano ili wakwepe kodi? Ni msomi gani ambaye haoni kwamba POMBE inalipa sana kodi KULIKO DHAHABU! wasomi wetu wengi ni wajinga ELIMU HAIJAWAHI KUWASAIDIA!
 
Angesoma Havard asingejishughulisha kufahamu muuaji wa baba yake mdogo....
 
Duh! ndio maana! nilikua ninashangaa zile pumba anazoongea, sasa nimeelewa zinatokana na nini?
 
Ndio maana Mkapa alikuwa na mashaka kama vicent ni wa ukoo wa Nyerere elimu yake imejaa viraka anahitaji kwenda shule kama alivyofanya Mbowe. Elimu haina mwisho lakini inategemea kama anapenda shule
Kwahiyo unataka kutuambia kwamba Mwanaasha ni copy halisi ya Jakaya sio?
Ok, baaaaasiiiiii!!!!!
 
ndiyo maana ana uwezo mdogo wa kufikiria.......nimeamini CHADEMA inabebwa na DR.SLAA kwa vile alikuwa makini sana akiwa mbunge pia anapendwa na WANA CCM pia sema fitina zilimkimbiza mzee wa watu.Angekomaa ndani ya CHAMA labda leo angekuwa PRESIDA wetu lakini kumbe MUOGA SANA.....alizoe kazi ya upadre.

Vipi ishu ya kuambiwa siyo mtoto wa JK Nyerere? Je middlename hapo juu ndiyo jina la MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE?
kwahiyo ccm kuna fitina?
 
ndiyo maana ana uwezo mdogo wa kufikiria.......nimeamini CHADEMA inabebwa na DR.SLAA kwa vile alikuwa makini sana akiwa mbunge pia anapendwa na WANA CCM pia sema fitina zilimkimbiza mzee wa watu.Angekomaa ndani ya CHAMA labda leo angekuwa PRESIDA wetu lakini kumbe MUOGA SANA.....alizoe kazi ya upadre.

Vipi ishu ya kuambiwa siyo mtoto wa JK Nyerere? Je middlename hapo juu ndiyo jina la MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE?
unathibitisha fitina za ccm naona!
 
CDM huwa hakuna watu wenye elimu zakutosha, ni waongeaji tu ila shule hakuna. Mmesahau mgombea mwenza wa Slaa alikuwa darasa la 7? hapo mjue hakuna kiti cdm

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom