Kwa chiligati haya ni matusi na sio upungufu

Msharika

JF-Expert Member
May 15, 2009
947
69
Nimeshtushwa na kauli za Mh. chiligati kuwa chadema wanahubiri fujo. Chadema wanadai haki za msingi za watanzania na kuomba utekelezaji na haki yake. Na si vinginevyo. Moja ya mambo hayo ni elimu duni na miundo mbinu duni. Je hilo ni tusi. Hushaidi huu hapa na chiligati aibuke tena, watoto wa madarasa mawilli tofauti wanasoma darasa moja.
source : Madarasa mawili wasomea chumba kimoja
 
trip moja ya JK kwenda kwenye vikao vya NGO`s Paris ingemalizia hii shule na nyingine nyingi.!! Sijui lini tutaweza kuwa na scale of preference, i wonder economist gani hajui hiliiii,!!!!
 
Nimeshtushwa na kauli za Mh. chiligati kuwa chadema wanahubiri fujo. Chadema wanadai haki za msingi za watanzania na kuomba utekelezaji na haki yake. Na si vinginevyo. Moja ya mambo hayo ni elimu duni na miundo mbinu duni. Je hilo ni tusi. Hushaidi huu hapa na chiligati aibuke tena, watoto wa madarasa mawilli tofauti wanasoma darasa moja.
source : Madarasa mawili wasomea chumba kimoja

Umeniharibia siku yangu, Hasa nikikumbuka Tshirt na Kofia walizokuwa wanavalishwa wazazi wa hawa watoto huku wakikenua meno. ooooh! CCM yajenga nchi! Kikweteee kikweteee ajenga nchi!!!!
 
Wala sio swala la elimu na mambo ya msingi wanayofanya chadema...!

CCM wamepoteza mwelekeo kama chama na mbinu wanazotumia kuikabili chedema ... INATIA AIBU!!

CCM you are just doing it very cheaply!!
 
let the sleeping dog lay:wink2:
A%20S%2013.gif
:blah: jambo ni lilelile tu umaskini waje na sela za kutokomeza,
so far peace is there when every one is given is due. so keep up cdm, in tense know that the msg is ringing on there heads.
 
Chiligati na Tendwa hawana uhakika kama cdm wamekosea au la! Ni Chiligati huyu huyu aliyetoa kauli kwamba angepeleka hoja Bungeni ili cdm wachukuliwe hatua kwa kutoka nje wakati JK anahutubia Bunge kwa madai kwamba walivunja Katiba. Mbona hakupeleka hiyo hoja? Na kama wanadai kuwa wamefanya uhaini kwa nini wamewaacha bila kuwakamata? Hivi ni uhaini kudai kwamba Dowans wasilipwe malipo haramu ya TSh 94bn/-? Mbona kelele za mlango zimeanza kuwazuia kulala?
 
4 sure Msharika Hawa watu ni kama hawakwenda shule au walidesa, maana wanacho zungumza kinapingana na ukweli.

Sina hakika sana kama Tendwa aliyokua akiyazungumza yalitoka baada ya kufikiri kwa makini kwani hajui athari zake nini, ni kama mtu anakata tawi la mti huku akiwa amekalia tawi kwambele.

Hawakawii kusema tulikosea hatukutarajia madhara yangekua makubwa kiasi hiki na kuomba radhi wananchi.
 
Ni mwenye nyumba mpumbavu tu ambaye kelele za mlango hazitamzuia mwenyewe kulala, hizi methali zingine zinafaa kwenye taarabu tu, samahani wapenzi wa taarabu, hivi katika hali tuliyonayo sasa unaweza kweli ukalala wakati mlango wako unapiga kelele, hujui ni vibaka, majambazi, au chochote. Kama kelele za mlango wa tz ambayo ndio nyumba yenyewe hazimzuii baba (jk au ccm) kulala basi kuna tatizo, hawa viongozi wa ccm waache upuuzi, badala ya kujibu hoja wanatuletea upuuzi wao hapa. Kwa hiyo panoja na shida zote hizi kumbe wao wameuchapa 444 sasa wa kazi gani hawa.
 
4 sure Msharika Hawa watu ni kama hawakwenda shule au walidesa, maana wanacho zungumza kinapingana na ukweli.

Sina hakika sana kama Tendwa aliyokua akiyazungumza yalitoka baada ya kufikiri kwa makini kwani hajui athari zake nini, ni kama mtu anakata tawi la mti huku akiwa amekalia tawi kwambele.

Hawakawii kusema tulikosea hatukutarajia madhara yangekua makubwa kiasi hiki na kuomba radhi wananchi.

Ubinafsi ni kitu kibaya sana, tamaa yao ya pesa imewaondolea utu kabisa hata sijui hizo shule walisoma zinawasaidia nini yaani ukisiliza hoja zao unapigwa nabutwaa. Utadhani hawana ubongo au ubongo umeingia virus na ku crash.
 
unategemea chiligati aongee lipi lamaana dhidi ya chadema, kama anafikiri kwamakini kwanini asiongee kabla ya rais, kama anahoja ya msingi kwanini asijibu hoja zaid yakuomba dola? CCM kuweni makini kabla anguko halijawakuta na siku chadema kikifutwa ndipo nguvu ya umma itaonekana (mana kobe kainama)
 
CCM wamelogwa, na aliyewaloga, amekufaaaa!!!!!!!!!!!!!

jamani mbona hamnielewi??????????????
 
JK, Chiligati, Wasira, Kilango, Mrema, etc. etc. all shows the kicking of the dying horse!
 
Back
Top Bottom