Kwa Chaguzi zinazoendelea barani Afrika, ni kweli CCM haina maisha marefu

Naona kuna changes kubwa sana barani Afrika juu ya chaguzi kuu za nchi mbali mbali barani Afrika,watu wameshavichoka vyana tawala na vikongwe,hawana imani navyo tena, wanaona kama ndivyo vilivyochelewesha maendeleo ya nchi hizo.

Tuliona Nigeria hali ilivyokua, tumeshuhudia chaguzi ndogo kule Afrika kusini chama cha ANC kilivyopoteza, tumeona Zambia walivyoponea chupu chupu japo nao walikua katika utawala wa upinzani juzi , Ya Gambia tumeyaona na Leo hii Ghana tunaona hali ilivyo.Vyama vikongwe vya muda mrefu kwa sasa havina Sera tena, viebaki kutegemea nguvu za dola kwa kutumia mabavu na vimebaki kuendelea kuogoza kwa mazoea tu.

Ikumbukwe kua huku kwetu Tanzania CCM imebebwa na jina la mtu mmoja tu na sio chama chenyewe,sijui akiondoka huyo mtu mmoja CCM watakua katika hali ipi, siuuoni uhai wa CCM tena.Inawezekana kabisa kua kuna watanzania ambao wamekwishachoshwa hata na jina lenyewe ambalo limekuwepo masikioni tangu nchi ipate Uhuru.

Nawapa moyo sana vijana ambao wanachipukia katika Sasa waliopo ndani ya CCM lakini wakae wakijua kua ni muda wowote Kamba inaweza kukatika, kama wewe bado ni damu mpya ya siasa ndani ya CCM na una maono marefu ya mbali, kwakweli uhai wa CCM u mashakani labda wabadili jina chama ili kionekane kipya. Matumaini yako ndani ya chama hiki kikongwe hayawezi kutimia, sio rahisi kutimia. Ni bora kuongeza nguvu kujenga vyama ambavyo havina muda mrefu ambayo wananchi wanayo matumani huenda vikawa na ukombozi kutoka shida wapatazo na sio CCM ambayo haijawahi kuleta mabadiliko yanayoridhisha toka nchi ipate Uhuru.

Kuna mwalimu Wangu mmoja wa biology aliwahi kiusema kua "ukizaliwa uapitia hatua zote za maisha,utazeeka na mwisho utakufa tu" Hivyo CCM kwa umri wa CCM sasa ni sawa na mzee,kimeshazeeka ni mzee ambaye sasa hata maradhi makali yakimkumba matumaini ya kuishi ni madogo sana.
LAKINI ANGALAU UPIME UMAHIRI WA WAPINZANI WA NCHI HUSIKA LINGANISHA NA CHADEMA AU CUF
 
Kajipange upya...walioshindwa wametengua matokeo ha haha
Rais wa Gambia aliyeshindwa akataa matokeo
 
Wangekuwa wanasimamisha wagombea wazuri wangechukua Nchi tangu 2010. Lakini kwa kusubiri Makapi ya CCM watasubiri sana labda 2055
 
Je upinzani huko Ghana unaazima wagombea?
 
Mbona ccm inaiogopa rasimu ya katiba ya Warioba? Mbona ccm inatumia polisi wKati wa uchaguzi? Mbona wanakamata data za shirika la haki za binadamu na za ukawa?
Walitaka kuficha nini kuhusu kura?
Mbona wanatumia goli la mkono kushinda umeya wa Kinondoni waziwazi?
Mkiyajibu haya kwa usahihi tutakubali kuwa ccm ilishinda kweli.
 
Mmmhhh bado watnzania wengi vijijin wanaikubali yaan kuna kazi maana hizo nchi ulizotaja wasomi wwngi na awaeeeness kubwa
Ni kweli aisee wanavijiji wa tz akili zao wanazijua wenyewe za darasani wameshindwa hata za kujiongeza tu nazo shida?
 
Kwani imeshafikisha miaka 90? Life expectacy ya marais wabishi africa ni miaka mingapi, kama sio tisini na ushee usijihangaishe. zimbabwe wana Mugabe Tanzania mna ccm. Wazungu wangepindua kama ccm ingekuwa mtu, lkn kwa kuwa ccm ni chama forget and forgive
 
Wagombea ndiyo Tatizo vinginevyo ingekua tayari Upinzani hauna Presidential material. Urais haununuliwi.
 
Kama haufiki fuatilia chaguzi za Zanzibar za nyuma halafu uone CCM ilikuwa inashinda kwa tofauti ya kura ngapi labda utapata picha ninachokoingelea, kwa huku Bara safari bado ndefu sana kwa Upinzani kushinda Uchaguzi na sababu kubwa ni kwamba Upinzani wenyewe wanalinganisha TZ na nchi nyingine kama Kenya, Zambia au sijui Ghana bila ya kutambua kwamba TZ ni nchi tofauti sana kimuundo wa jamii yake kulinganisha na nchi nyingine za Kiafrika!

Ukichunguza nchi zote hizo kama Kenya au sijui Zambia Vyama vya Siasa wanaunda makundi ya Kikabila na Kabila kubwa huungana ili kupata kura nyingi sasa hapa wetu hakuna kitu kama hicho, kwanza hata kufanya Sensa tu ya Kikabila hairuhusiwi wkt Nchi nyingine zote za Kiafrika wanahesabiana Kikabila, hivyo njia pekee ni ya Vyama kuwashawishi Watanzania wawachague na hapo ndipo tatizo lilipo!
dah we jamaa unakera sana eti tofauti ndogo zanzibar na wwe kwa akili zako kweli unaamini ccm ilishinda kwa tofauti ndogo?? au ni kwamba mlishindwa sema mkachakachua ili angalau muwazidi wapinzani wenu. Wote tunajua kuwa ccm chaguzi nyingi sana huwa mnashinda kwa kubebwa na ndio maana hamtaki kura za urais zihojiwe mahakamani na pia hamtaki tume huru mkaona mvuruge mchakato wa katiba mpya. sitaki kuamini wwe viongozi wako wa ccm hawakuambii wanavyoshindaga chaguzi kwa hila. I hope wenye ndugu usalama wa taifa wanayajua haya sio wwe unakurupuka tu kujitia moyo wakati ukweli wote tunaujua kuwa hata 2015 mlianguka vibaya sana. Ili sasa mijadala hii iishe ningeshauri tume huru iletwe na katiba mpya yenye sheria nzuri za uchaguzi wa haki na usawa ziletwe ili ndio tujue ukweli kma ccm inakubalika or not maana this is too much annoying eti kura million 2 in 4 years. niishie hapa nna jazba sana
 
Upinzani wenyewe huu wa siasa za opereshen zisizo na matunda kama sijui nini na kujiteka?
 
Back
Top Bottom