Kwa Chaguzi zinazoendelea barani Afrika, ni kweli CCM haina maisha marefu

Upinzani hapa kwetu siyo wa kweli,wanadharau wananchi kwa kuwalisha maneno ambayo hua wanakuja kuonekana tena walitudanganya,ni kama walishawachukulia wananchi ni hawana akili.wanawaaminisha hili leo,kesho wanalitetea,ukiwapa nchi hawa ndo wataiuza mazima,CCM hata kama ina watu wana mapungufu lakini bado ndo chama pia chenye watu watulivu wapo na wanaweza kutumia hekima kuongoza nchi,huyo hapo Magufuli,ni CCM huyo na tunaona wazi jinsi anavyotetea maslahi ya wananchi,lakini upinzani leo umegeuka tena,walikuaga wanatuambia nchi inataka rais kwa sifa za alizo nazo huyu wa sasa lakini tena leo wamegeuka wanasema huyu ni dikteta na kurudi tena kuwakumbatia waliowaita mafisadi kwa kusema wanaonewa,ukifikili kwa kina unaona hawaeleweki,na mtu akija hapa kusema ukweli huu eti anaitwa wewe ni CCM nenda Lumumba kachukue posho,peoples wana shida.
 
Nyie mlishaambiwa na viongozi wenu mwaka jana, kwamba ccm ikishinda tena ndio msahau, nyumbu bado mnajipa matumaini, wacha waendelee kuwatumia
 
Kuna kitu mnasahau, angalia matokeo ya Uchaguzi uliopita Ghana, huyu ambaye inasemekana ameshinda aligombea pia akashindwa kwa tofauti ya kura laki tatu tu sawa na 3% tu, sasa linganisha CCM vs ukawa, CCM ilishinda kwa tofauti ya kura milioni 2 000 000 au karibia 20%, sasa unawezaje kuliziba hilo pengo kwa miaka 4?
Hilo ndiyo swali, hivyo siku zote jaribu kulinganisha vinavyolingana, chadema au Chama chochote kile cha Siasa TZ hakiwezi kuinyang'anya CCM kura Milioni 2 ndani ya miaka 4 tu, hiyo ni kazi ya miaka 20 na kuendelea kama kila kitu kitabakia jinsi kilivyo, kumbuka hapa naongelea ukawa wala siyo Chama kimoja kimoja kama chadema, kama ukichukuwa chadema kama chadema pekee yake bila ya ukawa, CCM imepata kura milioni 4 sawa na zaidi ya 30% zaidi ya chadema, sasa unawezaje kuziba hilo pengo ndani ya miaka 4? Yaani kupata kura milioni 4 ktk CCM?

CCM itaendelea kushinda Uchaguzi TZ kwa uhakika kabisa mpka mwaka 2035, ni mpaka pale ambapo tofauti kati ya CCM na Upinzani ni kuanzia kura laki tano kushuka chini, hapo ndipo unaweza kuanza kuongelea CCM kuondoka madarakani lkn kura milioni 2 mpka 4 hiyo ni clear cut win haina hata mjadala!

Na hapo bado sijagusia Ubunge ambapo CCM mpaka leo hii imepata Wabunge 188 kati ya 252 wakati chadema imepata wabunge 34 tu, sasa unawezaje kuziba hili pengo ndani ya miaka 4?
Hizo kura milioni 2 ni za NEC lkn uhalisia mwaka 2015 ccm ilishindwa kwa zaidi ya kura milioni 4 ukweli ndo huo 2020 mtatumia bunduki kubaki madarakani ...upinzani Tanzania umekuwa mno kuliko demokrasia ...ccm muishukuru hiyo tume ...na ndo maana watu wamepandishwa vyeo kutoka kwenye hiyo tume ya uchaguzi ya ccm
 
Lolote linaweza kutokea wakat wowote endapo wananchi wataamua kutumia vichwa vyao vizur maana mabadiliko ya fikra hayahitaj karne bali maamuzi.Kwaiyo yanayotokea hizo nchi nyingine sio kwamba hayawez kutokea tanzania maana mabadiliko yadunia yanakuja kwa kasi na tatizo kubwa la waafrika lilikua ni maamuzi na kuthubutu.Kwaiyo tusiishi kwa historia wakati zama tulizopo historia sio mwalim mzur tena.
 
I agre
Siku moja ikitokea katiba mpya itakayo halalisha katiba yenye kutaka iundwe *Tume huru ya uchaguzi* hapo sasa ndo ntaanza kupima nguvu ya CCM dhidi ya upinzani kwenye matokeo ya uchaguzi ila kwa hizi tantalila za akina Lubuva na tume ambayo siyo huru 'I swear to god' CCM haitoki leo wala kesho.
I agree with you! Kwa katiba Hii CCM itatawala milele na milele.
 
Mmm hawa jamaa Wana mbinu mbalimbali za ushindi sawa iv Ccm chipkiz wanapewa elimu ya kutosha kuweza kuimarisha chama Mkuu hao hatuwawezi.
 
Hizo kura milioni 2 ni za NEC lkn uhalisia mwaka 2015 ccm ilishindwa kwa zaidi ya kura milioni 4 ukweli ndo huo 2020 mtatumia bunduki kubaki madarakani ...upinzani Tanzania umekuwa mno kuliko demokrasia ...ccm muishukuru hiyo tume ...na ndo maana watu wamepandishwa vyeo kutoka kwenye hiyo tume ya uchaguzi ya ccm
Una ushahidi gn km ccm ilishindwa?
 
Lolote linaweza kutokea wakat wowote endapo wananchi wataamua kutumia vichwa vyao vizur maana mabadiliko ya fikra hayahitaj karne bali maamuzi.Kwaiyo yanayotokea hizo nchi nyingine sio kwamba hayawez kutokea tanzania maana mabadiliko yadunia yanakuja kwa kasi na tatizo kubwa la waafrika lilikua ni maamuzi na kuthubutu.Kwaiyo tusiishi kwa historia wakati zama tulizopo historia sio mwalim mzur tena.
Kwahiyo kutumia vichwa vizuri ni kuupigia upinzani tu?
 
BAVICHA mtasubiri sana hadi vitukuu vyenu, eti CCM iondolewe madarakani. CCM ipo palepale.

Watu wa kuiondoa CCM mnaowategemea ni akina Kingunge, Lowassa, Sumaye, Mgeja na Lembeli.

KWELI mnaamini hilo, maajabu ya dunia haya.

Hahahaah, kweli Mbowe kawafuga vibaya ninyi vijana.
 
kwa chadema watangoja sana!shida chadema ni wachaga na wachaga wana ukabila sana na tamaa za mali nadhani kuliko kabila lingine tanzania.ndio maana jamaa anawapangua sana maana hawa jamaa ni mchwa ati!!
 
Siku moja ikitokea katiba mpya itakayo halalisha katiba yenye kutaka iundwe *Tume huru ya uchaguzi* hapo sasa ndo ntaanza kupima nguvu ya CCM dhidi ya upinzani kwenye matokeo ya uchaguzi ila kwa hizi tantalila za akina Lubuva na tume ambayo siyo huru 'I swear to god' CCM haitoki leo wala kesho.

Kenya waliandika katiba mpya lakini Raila bado analalamika,vyama vya upinzani bado havijawashawishi wananchi kuwa vinaweza kuwa mbadala wa CCM mpaka sasa bado CCM wana base kubwa hasa maeneo ya vijijini
 
Back
Top Bottom