Kwa buku tu unafika popote

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
[h=3][/h]



Ukiwa na buku tu unafika popote na shemeji ukiwa umepanda na mpambe mnaenda kumfuata dada mtu mitaa ya kati.
Kwa hali hii mikebe sasa kupanda watu tutakuwa tukipanda kipindi cha masika kiangazi hivi huna haja ya kupanda mkebe unachana mitaa na boda boda unawahi appointment maeneo ya kati hapo iwe guest au bar kitu mwake mwake haina foleni. Wadau wa MMU usafiri huu tumia kwenye barabara za vumbi usitumie kwenye lami tunaweza kukusahau.
 
...ila asiwepo MPEMBA kati yenu...!LOL alafu uipeleke kulee kwenye jukwaa la picha!...
 
yaani ni zile anga za vumbi tu...............kulamba vumbi tu............mie simo hapo.......nataka kusaga lami tu.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom