Kwa ataayenipigia kura, donge nono kutolewa.

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,701
1,799
Wanachitchat
Mie ni mgombea wa miss chitchat though ni mrs ErickB52 tayari. Naombeni kura zenu, hakika nawaahidi donge nono, free full Internet, parties kwa sana, bia na nyagi za kufa mtu, nyama ya digidigi kutoka kule Mofu,nitamleta mrembo Wema Spade live humu chitchat, shehe Ponda, Mwigulu na Nape muwaone wanavojiachia..... yaani kutakuwa na full shangwe pindi mkinipa nafasi ya kulitwaa hili taji, hakika hamtajuta kunivalisha taji.
Sifa zangu atazitoa my burning heart ErickB52 na waume wenzake PakaJimmy na Kaizer.

Kwa wale ambao hawatonipigia kura nitawapeleka mabwepande kwa kazi maalumu.
Naomba kura zenu!
 
Yaani ulivyosema DONGE NONO nikawa najiandaa kukupigia kura, sasa umeharibu kumtajataja huyo Patron wa kamati Erickb52!
 
Wanachitchat
Mie ni mgombea wa miss chitchat though ni mrs ErickB52 tayari. Naombeni kura zenu, hakika nawaahidi donge nono, free full Internet, parties kwa sana, bia na nyagi za kufa mtu, nyama ya digidigi kutoka kule Mofu,nitamleta mrembo Wema Spade live humu chitchat, shehe Ponda, Mwigulu na Nape muwaone wanavojiachia..... yaani kutakuwa na full shangwe pindi mkinipa nafasi ya kulitwaa hili taji, hakika hamtajuta kunivalisha taji.
Sifa zangu atazitoa my burning heart ErickB52 na waume wenzake PakaJimmy na Kaizer.

Kwa wale ambao hawatonipigia kura nitawapeleka mabwepande kwa kazi maalumu.
Naomba kura zenu!

Kula kwa Remmy, kura kwa CUTE.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom