Kwa anayeuza vifaa vya ujenzi

Mangii

Member
May 3, 2012
52
3
Nina duka la vifaa vya ujenzi ila mtaji wangu mdogo nahitaji mtu mwenye duka la vifaa vya ujenzi anayeuza Kwa bei ya jumla anisaidie vifaa niuze faida nabakia nayo, na hela yake namrudishia katokana na makubaliano mimi niko hapa dar maeneo ya Kitunda
 
mimi nauza nondo na misumari,je utahitaji kwa jumla na tukubaliane??kama vp ni PM wapatikana wapi na nama yako ya simu

Mkuu vifaa vya ujenzi ni very broad,sema unahitaji cement,mbao,nondo au vifaa gani?funguka ufunguliwe mkuu.
 
Mkuu vifaa vya ujenzi ni
very broad,sema unahitaji cement,mbao,nondo au vifaa gani?funguka
ufunguliwe mkuu.

mkuu nahitaji nondo,mbao,misumari,na vifaa vya umeme gpsum pouder rangi namba ya sim 0785323300
 
mimi nauza nondo na misumari,je utahitaji kwa jumla na tukubaliane??kama vp ni PM wapatikana wapi na nama yako ya simu

ukinipa kwa bei ya jumla mkuu itakuwa nzuri nondo,misumari, mbao, vifaa kiasi vya umeme nk tutakubaliana kama ni sawa tukae tuongee namba ya sim 0785323300
 
Back
Top Bottom