Kwa anayejua mishahara ya idara ya uhamiaji anijuze

Pole sana Senator so kumbe unatafuta kazi sasa. Nakuonea huruma mdogo wangu kwa maana mchakato wa utafutaji hauangalii umesoma wapi. Yule ni Pharao asiyemjua Joseph. Waajiri hawangalii umesoma UDSM, Makerere, Birmigham au Manchester. Ndipo utakapo washangaa wenzako wanapata kazi hasa wale ambao hukuwategemea kama vile wa Mzumbe. Arguments zako siku zote za kuponda vyuo vingine zaidi ya UDSM na SUA utazifanyia sala ya toba. Utagundua pia kumbe hazikuwa za kweli, lkn utakuwa ni wakati wa majuto ni mjukuu.

Lakini usijali dogo utaenda Uhamiaji ndipo utakapo pelekwa mafunzo pamoja na form six leavers. Kama ukiota kwenda Airport basi unaweza ukapangwa Mwanza au Tabora kwa maana zote zinawahitaji. Vingenevyo mipaka ni mingi sana na huko ndiko Rushwa itakapo kuwa mkate wako wa kila siku. Poor Senator, Poor Senator. Usijali utapata kazi mdogo wangu.

we nyau kweli, cjui hata kama wewe ni muelewa,ina maana mtu kuulzia mishahara ya idara flan ndo anatafuta kazi?
 
we nyau kweli, cjui hata kama wewe ni muelewa,ina maana mtu kuulzia mishahara ya idara flan ndo anatafuta kazi?

Ongeza tusi jingine lakin mi nakula zangu maisha taratiiibu. Huna exposure kwa kweli unaulizia mpaka mishahara ya mapolisi wa Uhamiaji ambayo iko wazi kabisa. Pole sana, ila nadhani imekuuma
 
Ongeza tusi jingine lakin mi nakula zangu maisha taratiiibu. Huna exposure kwa kweli unaulizia mpaka mishahara ya mapolisi wa Uhamiaji ambayo iko wazi kabisa. Pole sana, ila nadhani imekuuma

we chalii ni mngese,kwa hyo unaona hcho kijikazi chako cha kuwatawaza hao vikongwe wa kizungu ndo cha maana?
 
we chalii ni mngese,kwa hyo unaona hcho kijikazi chako cha kuwatawaza hao vikongwe wa kizungu ndo cha maana?
Tehe tehe Senator utamaliza matuzi yote. Kwa taarifa tu, I am proud of the professional job I have and the University I pursued my degree programme. Ongeza tusi jingine then uone unavyojitukana mwenyewe.
 
kazi ya uhamiaji mpaka uende depo JKT miezi 6 then unaenda CCP Moshi miezi 3 hapo ndio utakuwa umepata kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom