Kwa ambao hawajaoa, walimu ni wake wazuri...

ndio maana niliamua kuoa housewife...yaani kabla sijaoa niliwatafuna walimu wengi. na walikuwa very simple kupata. hata badhi walikuwa married...baada ya kuona hivyo, nkaona hao sio watu wa kuoa maana they are simple to sneak out of marriage. wanatembea sana na maafisa elimu hasa pale wanapotaka uhamisho na wakiwa na shida mbalimbali zinazohusu kazi zao hata kupandishwa madaraja. na hii ni kwa kuwa hawana hela ya kuhonga basi wanaishia kuwahonga ngono hao maafisa i wa ver disapointed to get married to a teacher.
naungana moja kwa moja na Rose!!! mke wangu alitoka kwa mungu. kwishnei!!!
Du mkuu una uhakika kuwa kila anayehitaji service hizo e.g kuhama na kupanda madaraja lazima atoe rushwa? Wanaume je wanafanyaje wakitaka hiyo kitu? kama ulioa housewife ni uamuzi wako tu si kwa sababu ni mwaminifu. Unataka kusema hujawahi tembea na mwanamke asiye Mwalimu?
 
nani anafahamu chuo kizuri cha ualimu......naomba anijulishe mara moja tafadhali....bila kuchelewa.

marangu TTC, Shingachini TTC na tawi la ST. Augustin la Moshi, Fanya fasta huja chelewa, ukitoka na maadili yatakuwa yameongezeka, Full vitenge.
 
ukitaka kufurahia na kufaidi maisha ya ndoa olewa na mwanamme mwalimu.
Ukitaka kufa na donda la moyo olewa na daktari, au lawyer.
ukitaka utreatiwe kama mashine ulewa na engineer,
Ukitaka ukewenza olewa na mbunge

ntamalizia next time
 
hebu malizia fasta fasta nichague fungu langu.
 
walimu awa wanaobaka wanafunzi?
walimu awa waliofanya ualimu km oltenatv job?
awa waliofel ndo wakaenda ualimu?
KM UKIZUNGUMZIA WALIMU WWA ZAMAN APO SAWA NAKUBALI..CZ WALIKUWA NA MAADILI YAO ..lakin si leo ambapo mtu kauza bar miaka kadhaa kachoka zake ndo anaenda ualimu do u thk atakuwa na contet za ualimu ili AWE MKE BORA?
KWA SASA NOOOOOOOOOOOOOO walimu wa zaman YEEEEEEEEES
nawasilisha.
Umenikuna sana mamito.
 
Kuna mwezetu hapa anaitwa mbumbumbu kwenye moja ya post yake anaomba ushauri. Kakipata cha moto kutoka kwa hao walimu unaowasifia, soma hii.

"Kuna dada mmoja ni mwalimu, nina uhusiano nae wa kimapenzi kama miaka 3 mpaka sasa.. Kiumri kanizidi miaka 2. Alinipenda nikampenda, hakuwa na tamaa na chochote.. Na nilimpata ktk mazngra ya mimi kutokuwa na kazi hvyo sikuwa na pesa.. Nilimfatilia kma mwaka ndo akanikubali, kunipa penzi baada ya miez 6.. Tatizo limeanza nilipopata kaz mkoani.. Kila nikimpigia cm anaongea yasiyoeleweka.. Mwishowe anasema nipgie bdae kwa kutoa sababu hafifu, ukimpigia hapokei.. Bdae anasema nilikuwa kwny kelele.. Niliporud Dar nikaamua nikae kwake.. Nimekaa mwez 1 akawa hataki niguse simu yake ambayo iko bize mara mia ya mimi.. Ni zaidi ya msg 20 na calls kadhaa kwa ck ktoka kwa w2 mbalimbli.. Anapokuwa hayupo nachukua simu yake na kukuta msg zinam- refer kama hny, dia, swt, wife 2 b n.k.. Kila nikimuuliza tunagombana mpaka presha inampanda na kupoteza faham.. Mbaya zaid nimegundua huwa ananidanganya kwa kuniaga anaenda sehem flani kumbe ana miadi.. Ninataka KUMUACHA naomba ushauri wako.. Na amegoma kabisa kubadilika..."
 
Don't stereotype. Nimesema hivi:...Hata hivyo, sisemi kuwa wanawake wa taaluma nyingine hawafai kuoa; la hasha. Vivyo hivyo, si kila mwalimu wa kike anakuwa mwanandoa mzuri, ila nasema wengi wao taaluma yao huwapa maadili yanayowafanya wawe wake wazuri.

Kwahiyo mimi nisiolewe?

Dada hata wewe unafaa. Nimesema hivi:

Hata hivyo, sisemi kuwa wanawake wa taaluma nyingine hawafai kuoa; la hasha. Vivyo hivyo, si kila mwalimu wa kike anakuwa mwanandoa mzuri, ila nasema wengi wao taaluma yao huwapa maadili yanayowafanya wawe wake wazuri.

dah!ndugu yangu waalimu wa sasa hivi sio wake bora...kwa kifupi,kuna mwalimu shule flani,ni mamaa mtu mzimaa ila kwa kupenda serengeti boys balaa,bwana ake alifariki basi mamaa akikuona kijana handsome balaa ata kuonga kilaa kitu mradi uchakachue,kunaa kingene kasichana kadogo tu nako kameolewa na kuachikaa saa huo ni mfano.MKE MWEMA UTOKA KWA BWANA
 
mmmhhh i dont do one..
if u want more than one then come this way..
hahahahhaha lol

YES I DO NEED MORE THAN ONE.
By the way, are you a teacher in one way or another? As you might have noted, teachers are my sleeping sickness. Remember every one of us is a teacher, despite the other professions we boast of holding. Who hasn't taught in life?
 
dah!ndugu yangu waalimu wa sasa hivi sio wake bora...kwa kifupi,kuna mwalimu shule flani,ni mamaa mtu mzimaa ila kwa kupenda serengeti boys balaa,bwana ake alifariki basi mamaa akikuona kijana handsome balaa ata kuonga kilaa kitu mradi uchakachue,kunaa kingene kasichana kadogo tu nako kameolewa na kuachikaa saa huo ni mfano.MKE MWEMA UTOKA KWA BWANA

Don't be overly Biblical. MKE MBAYA NAYE HUTOKA KWA NANI? Ina maana wenye matatizo ya ndoa si wacha Mungu (BWANA) na hawakuwapata wenzi wao kwa kibali cha BWANA? Wengi wameharibikiwa kwa kufuata blindly mistari ya Biblia na Quran. "Akili ya kufundishwa/kuambiwa changanya na za kwako" (Kikwete aka Mbayuwayu 2010)
 
uzuri wa walimu ni kwamba, una uhakika watoto wako watasoma shule, watahamasishwa kuwoma shule...ile kwa habari zingine...lazima watembee na makatibu tarafa na makatibu kata...kwa vijijini, wakuu wa wilaya, na maofisa wa selikali wakitembelea, ilikuwa lazima waalimu wakawapikie na kuwatandikia vitanda..zilipigwa kelele sana kipindi cha nyuma kwasababuw alimu wengi walikuwa wanakwisha kwa ukimwi....hii iko wazi...na maisha yao ni maisha ambayo hayana pesa, waalimu ni watu masikini hivyo ni rahisi sana kudanganyika kama akihongwa pesa...unaweza kufikiri ameondoka na shule ana kipindi kumbe amesain akasingizia mtoto anaumwa akapitiliza kwa hawara....uzuri wake ni kwamba, huwa hawakamatiki kirahisi, kwasababu baba anaamini kuwa, toka asubuhi hadi jioni wako wanacheza na wanafunzi, ila walimu kwa walimu ndio wanajuana kwa vilemba....cha maana, kama uzinzi uko ndani ya mtu, hata ufanye nini, hata uwe na kozi gani, utafanya tu uzinzi, hadi pale utakapoyatoa maisha yako kwa Yesu ili akusaidie kushinda dhambi...kwa kifupi, kwenu nyie wote ambao wanawake wenu hawajaokoka, mnaliwa kila siku bila nyie kujua...ukiona mwanamke wako anaenda kanisani kuokoka, msapoti kwasababu unaokoa mengi...
 
Ukitaka mumeo asiwe na small house olewa na Engineer
coz hana muda wa kuanza kutafuta bond nyingine!!!

Back
Top Bottom