Kwa akina dada: Hivi mwanaume wa kingoni ana nini?

Kila mtu humuona fundi Yule wake anae mkuna akajisikia Kabila haija khusu kabisa, awe mngoni Maasai Mdigo mwarabu haijalishi ....
 
Nà meme mngoni natokea BOMBAMBILI karibu city mje niwe SIPESIMENI we nu ktk research
 
Snowhite hebu njoo utupe ukweli eti kaka zako wako hivyo,na nyinyi dada zao mkoje maana The Boss ana taka kujua ukweli ili dada yetu Kaunga asije ingia chaka lakini huyu ndugu yang Sikonge lazima atakuwa kawajaribu dada zako wa kingoni maana mzigo ya kinyamwezi ikikutana na bashasha za kingoni ni balaa
 
Yaani akina dada wanapenda wanaume mazoba na wangoni ndio mazoba wanaongoza hapa afrika kusini mwa jangwa la sahara. Kwa hiyo automatically wa dada wanawapoenda wangoni.

hahahaaaaa eti eee basi ngoja nianze mpango madhubuti kabisa nasaka mngoni now
 
Mngoni? Ile lafudhi yao tu mi ndo siitaki....

Hahahaa kila mtu ana preference zake mkuu...yan mkaka anaweza kuwa hendsam lkn nikishasikia ile lafudhi duuh...yan mi ile lafudhi inanikata stimu balaa
 
naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na sisi tuige?

sukumaz ndo habare ya mujiniiiiiiiiiiiiiioi!!!!!( ooh sory)
 
naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na sisi tuige?

ngoni- ngono...naskiaga hao viumbe wanapenda sana ngono
 
<br />
<br />
Mi kwa kwel nachojua wanawake wa kingoni ndo watamu,kuna m1 alikua anatusaidia kazi,nilionja K yake ni TAMU CJAPATA kUONA,jaman acheni msema kwel mpz wa mungu.kitu Kitumbua kitamu dunia mzimaa.

Acha wanaume wa kingoni wakuonje pia ndo utajua ni watamu kuliko wanawake wa kingoni
 
Back
Top Bottom