Kwa Akili Yangu ya Wanzuki Nikafumaniwa Mchana Kweupe...!

mwanaume wa ukweli maishani mwako sharti ufumaniwe (angalao mara moja),sharti udaiwe (utaishije bila madeni?) na sharti ukumbwe na visanga (kufukuzwa kazi,kuibiwa,kudhulumiwa,kufumwa na hausgel etc),huo ndo uanaume na ukipitia visanga ndo unakomaa ati.

Mnaharibu vijana bila hata kujijua!
They are looking up to you guys.
 
mwanaume wa ukweli
maishani mwako sharti ufumaniwe (angalao mara moja),sharti udaiwe
(utaishije bila madeni?) na sharti ukumbwe na visanga (kufukuzwa
kazi,kuibiwa,kudhulumiwa,kufumwa na hausgel etc),huo ndo uanaume na
ukipitia visanga ndo unakomaa ati.

??????????!????????????
 
mwanaume wa ukweli maishani mwako sharti ufumaniwe (angalao mara moja),sharti udaiwe (utaishije bila madeni?) na sharti ukumbwe na visanga (kufukuzwa kazi,kuibiwa,kudhulumiwa,kufumwa na hausgel etc),huo ndo uanaume na ukipitia visanga ndo unakomaa ati.

mmmmm hivi kumbe ni kawaida kutembea na housegirls?
 
Mnaharibu vijana bila hata kujijua!
They are looking up to you guys.
Kaunga,do not take life seriously,you will never get out of it alive.
bishanga ndo mana najikaliaga chi chat,majamvi mengine mauzauza tu,mfano mi sijawahi ona mwanaume asiye na madeni au mfanyabiashara asiyefurumushana na TRA au mahusiano yasiyo na kero,labda mimi naishi sayari nyingine.Hivi ni kosa to tell it as it is?
 
Last edited by a moderator:

Kosa ni unamwambia nani, nikupe mfano;
Mmoja anaweza sema aisee haiwezekana mwanaume hasa akae wiki bila kuDO, lakini sidhani kama ni busara kumwambia kijana wako ambaye ndio kwanza anabalehe (13 au 14) kwamba lazima uDO at least one a week ndio utakuwa mwanaume wa shoka.

Surely, l and many of us do not take life that seriously especially life in JF, lakini kwa muda nimeona vijana naweza ita watoto wengi sana humu na ushauri unatolewa anauchukulia kuwa bonge la ushauri. Tuache humu, back mitaani; huoni kuna vijana wengi tu wanaquote sifa za kijinga na wanaziishi na kuzipractice, mpaka wagundue si kihivyo wanakuwa wameshaumia. Issue ya tigo mfano, vijana wengi wa kike na wakiume wanaona bila kujaribu hiyo kitu wanamiss a lot na wanakuwa si wataalamu wa mapenzi.

Lets choose to bring positive influence kwenye jamii (usiniulize positive according to who) kama ile ambayo unapenda mwanao aipate.
 
Bishanga,ngoja mimi nizungumzie hapo kwenye uhusiano wa kindoa.Ni kweli hakuna uhusiano usiokua na kero,lakini unaposema kero fahamu kuna mipaka ya kero hizo.Kwa mfano kuna mambo ya kuvumilia na mengine siyo,unaweza kuvumilia kama mwenzi wako ni mropokaji lakini kama ni "kicheche" hakuna cha kuvumilia hapo.Kupenda ni pamoja na kuheshimiana,kumheshimu mwenza wako ni pamoja na kutokumdhalilisha na kujidhalilisha pia.Unapokuwa na wapenzi wengi ni kujidhalilisha,na hili ni vyema ikajulikana kwa kila mmoja wetu tena kwa uwazi na msisitizo,hii angalau inaonesha nature ya binadamu na vijana wadogo wajue hili,kusifia au kujaribu kuyavika nguo matendo haya ya hovyo ni kuusaliti utu wetu!!Nakubaliana na Kaunga hapo juu kwa 100%!
 
Last edited by a moderator:
yaani bado nacheka mpaka sasa kwa huu mkasa wako

halafu ulivyojitetea faster eti mkasa haukuhusuuu................

hii ikanikumbusha pia haka kakipande nilikokakuta mahali..[

Telling a lie is
Fault 4 a little boy
an Art 4 a lover
an Accomplishment 4 a bachelor
and a Matter of survival 4 a married man
QUOTE=Mtambuzi;4527063]Hii hainihusu mimi kabisaaaa.....................[/QUOTE]
 
mwanaume wa ukweli maishani mwako sharti ufumaniwe (angalao mara moja),sharti udaiwe (utaishije bila madeni?) na sharti ukumbwe na visanga (kufukuzwa kazi,kuibiwa,kudhulumiwa,kufumwa na hausgel etc),huo ndo uanaume na ukipitia visanga ndo unakomaa ati.

Yaani wewe kwa kudanganya wenzio lol.....hebu weka na wewe hadithi yako ya kufumaniwa kama hii ya Mtambuzi ili tukuone uanaume wako wa kweli!
 
Last edited by a moderator:
Kweli uyasemayo!eti kufumaniwa na h/g ndo uanaume jamani kujifariji kwingine mpaka aibu huenda we ni under18
 
Kaka Mtambuzi...that is very shameful of you! na hii pamoja na kui-sugar coat lakini ni wewe kapisaaa!!!!:playball:
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaahaaaa! Loh! Mtambuzi ulivyonichekesha, pole sana, na kama ulijua kuwa naotolea macho kujua kilichoendelea ila umenishushua kuwa niache umbea niendelee na kazi. Ila Mtambuzi nakupa hongera sana kwa kujua kutunga story nzuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom