oba
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 310
- 65
Wadau, hivi ukifuatilia mijadala iliyoko kwenye ka JF ka wazenji- mzalendo.net unajifunza nini?
ebu soma hiyo attachment ya moja ya thread za administrotor wao, imejaa upungufu wa fikra, mfano nanukuu
"Wazanzibar ni watu waliokuwa wakisifika kwa ukarimu wao na ustaarabu wenye utamaduni wa kiislamu ambao ndio ulioleta tabia nzuri, uislamu haupingiki ndio ulioleta yote haya."
"Na asili ya Kiswahili ni lugha ya waislamu watu wa mwambao wa pwani ya afrika ya mashariki na hili halipingiki"
"...hapo hapo kuna kundi kubwa la wabara na wengineo limekuwako zanzibari na kusahau kwamba zanzibari ni nchi ya kiislamu yenye heshima na ustaarabu wake wakiislamu wenyeji wamekuwa na tamaduni zao hizi kwa zaidi ya miaka elfu iliyopita,isije ikawa wao waliokuja miaka kumi ,ishirini iliyophapo hapo kuna kundi kubwa la wabara na wengineo limekuwako zanzibari na kusahau kwamba zanzibari ni nchi ya kiislamu yenye heshima na ustaarabu wake wakiislamu wenyeji wamekuwa na tamaduni zao hizi kwa zaidi ya miaka elfu iliyopita,isije ikawa wao waliokuja miaka kumi ,ishirini iliyopita,kuingiza mila zao za kishenzi zinazokwenda kinyume na maaadili ya kizanzibari,ita,kuingiza mila zao za kishenzi zinazokwenda kinyume na maaadili ya kizanzibari..."
"Tunakuomba Mheshimiwa Rais Jakaya kikwete wewe ni mswahili wa pwani na muislamu mwenzetu, sina haja ya kusema mengi,...."
"Tunakuomba kama Muislamu mwenzetu utusimamie tupate haki yetu kwa salama na amani,na kama ni muungano uwe na usawa kwa pande zote mbili na kwa makubaliano yatakayokubalika na wazanzibari kwa njia za busara na amani,
Zanzibari ni nchi ya kiislamu waachiliwe wazanzibr waingoze katika alaqa za kiislamu.na kwamba suala la muungano lisijadiliwe kama ni suala ni la kisiasa,lakini litizamwe kama ni suala zanzibar ni nchi."
Mwisho wa kunukuu ukitaka zaidi soma attachment au ingia kwenye mzalendo .net
My take; msimamo wa wazanzibari umejaa udini na ubaguzi wa kutubagua wabara, kwa nini tuwanganaganie wakati hawatutaki?
Nawasilisha!