Kwa ajili yako tu...

Mpenzi wewee........... Nieleze vipi mi nitawezakuishi bila wewe, ukiniacha ukienda zako!!

Ukiniacha mi ntalia, ukienda zako ntabaki naumia
Kama ungelijua, uoga ninao kukupoteza wewe.......
Baby, nakuomba tena ubaki nami,
Baby please, nakuomba baki tujaribu tena
tunayo nafasi ya kuanza tena, tunayo nafasi ya kujikosoa

...................Haturudi nyuma kamwe!Dah!
Aksante Soulmate - I love this song aisee.
 
We nae, sema tu asante mbu inatosha! Mj1 ashasema haina hatimiliki huelewi? Jimilikishe tu!

Kweli mwaya Sweetylady! Jimilikishe hata kama ni kwa kujifariji tu kwa siku ya leo. Akijatoa hatimiliki basi unajimilikishua shost.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hapa napita wala sirudi tenaaa!
SL umemsikia MJ1 lakini? hapana aisee, ngoja niende kibarazani ntabahatisha hata viporo
We nae, sema tu asante mbu inatosha! Mj1 ashasema haina hatimiliki huelewi? Jimilikishe tu!

Thanx Soulmate. Stay blessed for ever and ever!

For You ......najimilikisha bwana, haya mashairi si ya kitoto ati!
 
....you are all so unique and precious xoxo...nawapenda wote...:love:
 
Hhhmm. . .Kwaajili yako ehhh?

Vipi zawadi ulikumbuka lakini?

Nachukua nafasi hii kuongea na we kwa wimbo ooh..... Nimetunga special kwa ajili yako mrebo ooh...... Come closer nipunguze mapigo ya moyo ooh!! Kwa ajili yako naimba..................................................
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom