Kwa "1st years" wa universities zote tz: Tunaomba mrejesho kutoka katika vyuo vyenu!

Udom upepo sana,hostel za kutosha na ukichelewa adhabu yako utakaa chumba kizima mwenyewe,leo ni orientation course,inshort dom pazuri for book

Teh teh teh, wamekupa juu ghorofani rum yako nini? naona umeifurahia sana hiyo adhabu. angalia, kipindi cha kula karanga tupu kikifika usije ukaruka toka huko ghorofa ya nne
 
Jamaa yangu mmoja ni wadern wa block fulani pale UDOMEE, Amenitonya kuwa kuna jamaa mmoja wa mwaka wa kwanza amemhonga pesa ili apangiwe chumba ghorofa ya nne, teh teh teh, haya mambo banaa
 
SAUT mwendo wa rocket, speed 350, haturembi, HAKUNAGA WELCOME FIRST YEAR WALA KUJUANA, ni kitabu mwanzo mwisho

Hapa SAUT mambo yamepangiliwa vzur japokuwa human erros are always everywhere, Nan kakudanganya SAUT hakuna welcome first year? Wakale walisema, "MAMBO MAZURI.........."
 
pengine utamsaidia kubeba makarai
kama wew ni limbukeni baki kuwa hivyo kama ukupata dem chuoni unategemea utampata wakat gani? cc tumesoma na tulikuwa na madem na tumaliza tena tumefanya vzuri na huyo huyo ndo tumeoa inategemea umejipanga vipi kaka,unasubiri umalize chuo na uanze kutafuta mwanamke ndyo maana ndoa za cku hiz azidumu
 
Teh teh teh, wamekupa juu ghorofani rum yako nini? naona umeifurahia sana hiyo adhabu. angalia, kipindi cha kula karanga tupu kikifika usije ukaruka toka huko ghorofa ya nne

ghorofa ya nneUDOM ina nini mzee,.. Hebu tuibie siri...
 
Kwa hapa Sua nilichoshangaa kusup ni jambo la kawaida sana zaid ya robo ya chuo wamesup
 
Hapa UDOM n mishe za kulipa ada ya muhula wa kwanza na direct cost, utaratibu haujawa mzur coz bank znafnguliwa kwa mda mchache c mnajua n weekend, na kuna watu hawajui cha kufanya coz wamekuta wanatakiwa kulipa ada kubwa kuliko walvyotegemea, na husajiliwi mpaka ulipe. Mm nmemalza regstrtn nipo ktandan kwangu.

utaratibu co mzur kvp wakat kila mmoja alikuwa na joyng instractio yake irad alipe ada hata kabra hajafika chuo
 
Udom upepo sana,hostel za kutosha na ukichelewa adhabu yako utakaa chumba kizima mwenyewe,leo ni orientation course,inshort dom pazuri for book

pazur ndio bt uctwambie adhab utapewa chumba chako na mjipage vzr kabla kaka zen hawajafika
 
BVM lecture tatu tu notice over Biological science kwa kweli things are Hard..HIi anatomy ndo inaniua kabisa duu kaz kwelikwel
 
Back
Top Bottom