Kuzuiliwa kwa safari za nje; Je, inatuhusu raia wote au ni kwa viongozi tu?

Primier

Member
Dec 16, 2015
86
14
Hili jambo la safari za nje ya nchi kuzuiliwa naombeni wadu mnipe ufumbuzi maana sijaelewa!! ina maana ukitaka kwenda nje lazima ukamuone Raisi akupe ruksa au vp?
 
Hii ni kwa watumishi wa umma na taasisi zake tu, watu wengine watasafiri kwa kufuata taratibu za kawaida.
 
Hata watumishi wa umma wakiwa na udhuru kwa fedha zao wanaruhusiwa, lakini lazima watoe taarifa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom