Kuzirai kwa baadhi ya wananchi wa Igunga kutokana na kujiuzulu kwa Rostam!!

hiiiii...kho kho kho...hiiiiiiiiiiiiiimamaaaaaaa weeeeeeeeeeeeeeee.....hiiiiiiiiiiiii.......ntakuwa mgeni wa nani mimi jamani hiiiiiiiiiiiiiiiiii.......

lipumba hana tofauti na sisi.......hiiiiiiiiiiii...........sasa tegemeo letu ni dokita wa ukweli slaaaaaaa........

kikwete atukome.....nahama sisiemuuuuuuuuuuuuuuuuu kho khok kho kho kho..............
 
Asante kwa kuliweka hili sawa; nami nilitaka kutoa comment ya namna hiyo! Lkn sitetei wizi wa RA ila aliwekeza sana kwenye siasa za jimboni mwake kwa kuexploit, umbumbumbu na umaskini wa wananchi wake! I am sure hata kama angekuwa Moshi na angefanya equivalent (coz najua development projects/needs hazilingani) yale wanayosema kawafanyia wanaigunga Moshi, l am sure wachaga wangeumia kuondoka kwake!

Usitegemee kumpa mchaga kipande cha sabuni akaacha kuhoji umekipata pataje..! TABORA kuna historia ya biashara za kitumwa kama atokako Rais Kikwete.
Sehemu hizo wamezoea kuchapwa viboko na kupewa mlo kidogo. Kwa mtu kama Rostam Aziz kugawa M 5 kila mwezi kama afanyavyo MO ili watu wa Igunga wamuabudu na kufanya biashara zake za magendo bila wananchi kuhoji ni kitu kidogo sana.
Na haya yote yanaletwa na tabia za kivivu nategemezi. Je kwa tabia hizo za kuabudu miungu watu wenye kugawa vi misaada vidogo kwa manufaa ya kupata kikubwa yatatutoa kwenye umaskini tulio nao? Hakuna tofauti na mzungu anayekuja kukupa shati kwa lengo la kuchukua pembe ya ndovu. Let them Die..Aibu kubwa kabisa hii watu wa Igunga.
 
Wakazi wa igunga wasukuma na wanyilamba ndo wengi wanyamwezi ni wa 3 kwa wingi jimboni

Ndio kuna muingiliano wa kikabila katika wilaya ya Igunga lakini kabila dominant kwa ukubwa ni WANYAMWEZI,na kusema WANYIRAMBA ndiio MAJORITY wa wilaya hii ukweli ni NOOOO.
 
Hongera Sana CHADEMA, Hongera NAPE kazi imefanyika tumeiona Sasa imebaki kwa DPP Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki TANZANIA
 
Wadau wa JF, mimi binafsi nimepigwa na bumbuwazi baada ya kusikia watu wamezirai eti kisa ni kujiuzulu kwa Mh.Rostam Aziz,hebu naombeni mnisaidie hii maana yake nini???Najua Igunga kuna wana JF itakuwa vyema mkitupa ukweli wa mambo kuhusu taarifa hizi za kuzirai kama zina ukweli wowote au la!!

a SIR ECHA, WALE WOOOTE WLIOKUWA WANALIA NA KUZIMIA KWA SABABU FISADI PAPA KAJIUZURU NI WALE WAPAMBE AMBAO WALIKUWA WANAVUTA PESA NYINGI TOKA KWA FPAPA ROSTAM. WANAFIKI WAKUBWA HAWANA UCHUNGU WOWOTE WA MAENDELEO YA IGUNGA. PALE WALIKUWA WANAWAZA , DU NDIO BASI TENA ULAJI UMEONDOKA PERIOD.
 
jamani,

nimejiuliza maswali mengi na sijapata majibu, nisaidieni tafadhari angalau hili moja;

eti mtu hatakiwi na ccm, hatakiwi na cdm, hatakiwi na cuf, hatakiwi na nccr-mageuzi, hatakiwi na dp, hatakiwi na udp, hatakiwi na..., hatakiwi na... hatakiwi, hatakiwi, hatakiwi.... hata dovutwa hamtaki kwenye chama chake...the list goes on and on!! lakini igunga wana mlilia hadi wanazirai!!!!!

hawa ni watanzania wa aina gani?????
 
Wadau wa JF, mimi binafsi nimepigwa na bumbuwazi baada ya kusikia watu wamezirai eti kisa ni kujiuzulu kwa Mh.Rostam Aziz,hebu naombeni mnisaidie hii maana yake nini???Najua Igunga kuna wana JF itakuwa vyema mkitupa ukweli wa mambo kuhusu taarifa hizi za kuzirai kama zina ukweli wowote au la!!

Igunga ni sehemu ya ukame sana na wale jamaa ni mamwinyi wavivu sana wakufanya kazi, inawezekana jamaa alikua anawatoa toa sana vijihela wale jamaa. Sasa wanatafakari kama kweli atakuja mtu wa kuwajaza mapesa
 
Wengine kujiuzulu kwake na ajira zinakufa. Ni sawa na lile gazeti mashuhuri la Uingereza lilipokufa. Japokuwa wengi wanaunga mkono hilo gazeti kuwa scrapped na milikaji, wafanyakazi wa gazeti walikuwa na bado wanaendelea kulia kwa kupoteza kazi, n.k
 
Njaa inahusika, hata shetani ana wafuasi wake. na ningeomba usahihishe thread yako waliomlilia ni wana ccm ambao wamezoea kuishi kwa kubomu hawa wengi wao huwa wanampigia kura mgombea kwa Tshirt na kanga tu sasa sembuse Rostam ambaye alikuwa anawakatia mishiko?
Msije mkawakebehi bure watu wa Igunga mijitu ya namna hiyo imejaa tele hapa mjini. na hata ukifiwa kama una ndugu hapa Dar kipo kikundi cha kuja kulia msibani. ukiwa mfuasi wa ccm ni lazima uwe mfu ingali upo hai.
 
Wengine kujiuzulu kwake na ajira zinakufa. Ni sawa na lile gazeti mashuhuri la Uingereza lilipokufa. Japokuwa wengi hilo gazeti kuwa scrapped na milikaji, wafanyakazi wa gazeti walikuwa na bado wanaendelea kulia kwa kupoteza kazi, n.k

basi si bora tu wangesema, wafanyakazi wa rostam wazimia?!! huenda hapo tusingekuwa na maswali mengi kwani maslahi ni dhahiri. ila hayo ya viongozi wa ccm na vijana walioibuka na mabango wakilalamika ndiyo yaliyopelekea kujiuliza hawa ni watanzania wa aina gani???
 
jamani,

nimejiuliza maswali mengi na sijapata majibu, nisaidieni tafadhari angalau hili moja;

eti mtu hatakiwi na ccm, hatakiwi na cdm, hatakiwi na cuf, hatakiwi na nccr-mageuzi, hatakiwi na dp, hatakiwi na udp, hatakiwi na..., hatakiwi na... hatakiwi, hatakiwi, hatakiwi.... hata dovutwa hamtaki kwenye chama chake...the list goes on and on!! lakini igunga wana mlilia hadi wanazirai!!!!!

hawa ni watanzania wa aina gani?????

Kumbuka kuwa "majority" ya Watanzania hawapo kwenye vyama vya siasa. Halafu ungeuliza maendeleo aliyowaletea Igunga, nadhani hata wewe ungemlilia. Tanzania hii, ni wilaya ipi ina bima ya afya kila kata? ni wilaya ipi ambayo haina shida ya maji? ni wilaya ipi ambayo ina shule nyingi zaidi ya idadi ya wanafunzi na zote zina walimu wa kutosha, nyumba za walimu za kutosha , vyoo vya kutosha, umeme mpaka taa za barabarani za kutosha. Kilimo ndio usiseme, mchele wao hata wa Mbeya haufai (pishori). Jee, kwa yote hayo kwa nini wasimlilie? Toka aanze kugombea mpaka anajiuzulu alikuwa hana mpinzani.

Hao ni watanzania wasio na majungu wala ubaguzi wa rangi wala dini. Ni wanasiasa waliokomaa wa mkoa wa Tabora.
 
Njaa inahusika, hata shetani ana wafuasi wake. na ningeomba usahihishe thread yako waliomlilia ni wana ccm ambao wamezoea kuishi kwa kubomu hawa wengi wao huwa wanampigia kura mgombea kwa Tshirt na kanga tu sasa sembuse Rostam ambaye alikuwa anawakatia mishiko?
Msije mkawakebehi bure watu wa Igunga mijitu ya namna hiyo imejaa tele hapa mjini. na hata ukifiwa kama una ndugu hapa Dar kipo kikundi cha kuja kulia msibani. ukiwa mfuasi wa ccm ni lazima uwe mfu ingali upo hai.

mkuu, naona ukweli hapo!!! kwa kweli naanza kupata mwanga!!

thanks alot!
 
si kila unaempenda na wengine wanampenda na si kila unaemchukia na wengine wanamchukia..ndo maana mjomba kishawaliza watu wanaomtegemea..
 
Kumbuka kuwa "majority" ya Watanzania hawapo kwenye vyama vya siasa. Halafu ungeuliza maendeleo aliyowaletea Igunga, nadhani hata wewe ungemlilia. Tanzania hii, ni wilaya ipi ina bima ya afya kila kata? ni wilaya ipi ambayo haina shida ya maji? ni wilaya ipi ambayo ina shule nyingi zaidi ya idadi ya wanafunzi na zote zina walimu wa kutosha, nyumba za walimu za kutosha , vyoo vya kutosha, umeme mpaka taa za barabarani za kutosha. Kilimo ndio usiseme, mchele wao hata wa Mbeya haufai (pishori). Jee, kwa yote hayo kwa nini wasimlilie? Toka aanze kugombea mpaka anajiuzulu alikuwa hana mpinzani.

Hao ni watanzania wasio na majungu wala ubaguzi wa rangi wala dini. Ni wanasiasa waliokomaa wa mkoa wa Tabora.

bima ya afya kila kata (au kila kaya au kila mtu?)????
maji (ya bomba??) kila kaya???
shule nyingi zaidi ya idadi ya wanafunzi (hili linawezekana?)???
nyumba za walimu (ngapi??)
taa za barabarani (ngapi??)
vyoo vya kutosha (Vingapi???)

mkuu tusaidie huenda tukawafahamu vizuri hawa watanzania wenzetu!!

umasiki ukoje hapo igunga?
nyumba bora za kuishi wanazo?
kipacho cha wastani cha familia kiko level gani hapo igunga??
unemplyment je, iko level gani??
etc

msaada please!!
 
Kwa kuwa watanzania hawafungwi na chama ili kumchagua kiongozi basi siwezi washangaa wananchi wa Igunga. Kwao Rostam ni kila kitu, kwani yapo mambo mengi amewatendea. Na hata angerudi leo chini ya mwamvuli wa Mgombea Binafsi (kama ingekuwa inaruhusiwa) labda angeweza kushinda.

Lakini ukweli ni kwamba, uongozi si suala la kutumia fedha zako za mfukoni kutatua matatzo ya wananchi bali ni kuwawezesha wananchi kutumia rasilimali zao ili kujiletea maendeleo kwa kusell the vision na cordination nzuri. Sasa RA alikuwa anatumia fedha nyingi za mfukoni kutatua matatizo ya wanaigunga. Bila shaka yule hakuwa kiongozi bali ni Mhisani wa Maendeleo ya Igunga ndio maana wanamlilia.
 
shida yangu ni kwa nini wao wawe tofauti na watanzania wote?? au kwa kuwa walikuwa primary beneficiaries wa ngawira zake? tutakosea tukisema kuwa, kama kweli rostam alikuwa fisadi na wao wanamtia moyo kuendeleza ufisadi na wanamlinda kwa sababu wananufaika na huo ufisadi?? je nao ni mafisadi??
 
bima ya afya kila kata (au kila kaya au kila mtu?)????
maji (ya bomba??) kila kaya???
shule nyingi zaidi ya idadi ya wanafunzi (hili linawezekana?)???
nyumba za walimu (ngapi??)
taa za barabarani (ngapi??)
vyoo vya kutosha (Vingapi???)

mkuu tusaidie huenda tukawafahamu vizuri hawa watanzania wenzetu!!

umasiki ukoje hapo igunga?
nyumba bora za kuishi wanazo?
kipacho cha wastani cha familia kiko level gani hapo igunga??
unemplyment je, iko level gani??
etc

msaada please!!

Kweli kila kaya, samahani nilikosea.

Maji = ndio.

Shule = ndio, zipo nyingi zaidi ya idadi ya wanafunzi. Usicheze na lugha tafadhali, message delivered.

Nyumba za walimu kwa walimu wote waliopo na zingine ziko tupu.

Taa za barabarani nyingi kuliko Temeke.

Umaskini kama wa Merekani.

Kipato cha wastani cha Igunga ni zaidi ya wastani wa Taifa, kinalingana na Japan.

Unemployment hakuna kabisa.

etc = ni tamu sana hata mie huwa naipendaga!
 
Back
Top Bottom