Kuzingatia "vichwa": Wanawake sio ubaguzi huu??

JB WISER hehehehehe. . . .nimekusoma.
Ehhhh nilikua busy nashibisha vichwa vya nyumbani kwangu. . .ngoja nikitulia ntatimiza ahadi.
Nimekusoma mimi nasubilia hapa hapa maana JF sometimes inaokoa unnecessary out za jioni, naanza na movie kwanza ngoja niangalie vichwa vya Hollywood then i will be back here.
 
Dah
ni kweli muyasemayo vp je wale wachaga wa biashara wao ni biashara tu wana waza hata kama kichawani wapo vp na wakipata toto c anaweza akawa mfanya biashara mmhsi chek upande wa digree tu hata na kwa upande wakupambana kimaisha coz unaweza ukawa na akili kwa darasa but ki life ukawa hujiwez kuendesha maisha vizur
ni sawa lakin huyu mdada alivyo fanya but isiwe ni kigezo sasa cha mtu hatak kuolewa coz of dat kuna watu wengine akili zao ni kutafuta pesa 2 kama rafk angu m1 ivi yeye alipiga zero miaka 3 iliyo pita but saivi maisha yake yapo juu sana na anasema alikuwa aki waza tu biashara na ndo iyo iliyo mfanya awe juu mpaka sasa ana miliki biashara kibao tu so kama utakosa mwenye akili look 4 those how are real in faigth
na omba ku wa silisha waraka huu.
Nukta.
 
Halafu kweli wanaume ambao kwa darasa sio vizuri hata mahusiano yao sio mazuri hawajui mapenzi kwa kweli(simaanishi kitandani
utaenjoy kwa kweli....

Hapa nakubaliana na wewe asilimia 150, nina dada zangu 4 wote wameolewa. Wawilli wameolewa na shule-less people halafu wawili wao wameolea na wanaume wenye shule zao. We can see clearly wale walioolewa na wanaume wenye shule wanavyo-enjoy life!
 
Hapa nakubaliana na wewe asilimia 150, nina dada zangu 4 wote wameolewa. Wawilli wameolewa na shule-less people halafu wawili wao wameolea na wanaume wenye shule zao. We can see clearly wale walioolewa na wanaume wenye shule wanavyo-enjoy life!
Ukisikiaga kuna Wanaume wanaolewa basi huwa wanaanzaga na fikra kama hizi zako, hivi wewe maisha ya watu wawili ndani ya nyumba yao unaweza ukasema kwamba wanaenjoy!! una ufahamu wowote wa kinachoendelea ndani ya nyumba wakibaki wawili?

Au kwako ku-enjoy maisha ni kuwa na nyumba na gari basi, anayepanda daladala hakuna anchoenjoy katika maisha yake/yao!!.....anyway nadhani na umri wako bado haujawa na uwezo wa kuchanganuwa mambo na kujuwa WHAT IS HAPPINESS?
 
Foundation, mzazi kuishia la saba sio kwamba uwezo wake wa darasani haukuwa mzuri.

Inawezekana alikosa ada au sababu zingine mbali na uwezo wa darasani.

Hebu tizama hivi, una hela, mtoto umepeleka shule nzuri, mtoto ana bidii ila nyanga hazipandi kabisa sababu hana uwezo huo wa kiakili labda afanye vitu vingine.

Mtoto wa prof anaweza feli tokana na sababu zingine lakini uwezo wa darasani bado ukawa mkubwa.
Kuna watoto huku st kayumba wanakuwaga na akili lakini mibangi na washerati unawafanya wanafeli.

Ingekuwa hiyo ina hold sijui wengine tungekuwa wapi leo. Wengine wazazi wetu waliishia darasa la saba lakini watoto tulikuwa vipanga mpaka leo tuna initial kali na tuna hold position nzuri tunapofanyia kazi. Hapa utasemaje. Na wengine baba zao tunawajua ni wasomi waliobobea lakini watoto wakawa wajinga waliobobea katika masomo na maishani. Hapo utasemaje. Huyo dada akapimwe akili kwanza
 
Last edited by a moderator:
ali idea ya huyo dada na wala sio ubaguzi,kuna marehemu dada yangu alizaa na mwanaume kilaza kweli kweli,watoto wa2,yan wanachekesha mtihani wa darasa la nne walifeli wote mkubwa na mdogo,kasheshe zaidi ipo kwa huyo mkubwa ambae ni msichana,alipelekwa huruma seminary bt mpaka mwaka unaisha wa kidato cha kwanza hakua na wastani wa kumwezesha kuingia kidato cha pili wakimu wakashauri akapumzike nyumban.msomeshaji akamtafutia chuo cha ufundi asomee ushonaj bt mpaka anamaliza muhula wa kwanza hajui hata kupinda khanga jaman nw yupo2 amekaa na baba yao yupo bt tangu 1999 amewatelekeza.kweli nimeona kigezo cha akili ni muhimu
 
eeeh leo nimefunguliwa sikuyajua haya...mahusiano ya sasa yamekuwa na masharti na vigezo kuzingatiwa!!!!???....
mi nilikuwa naenda enda tu bila mashart,nami ngoja nianze hilo...:eek2::eek2:
 
Wakati namaliza chuo nadhani GPA yangu ilikuwa ya nne au ya tano darasani ila nina uhakika hakuna aliyekuwa na akili kama mimi pale darasani. Nilikuwa nasoma kwa kuibia, kukariri kwangu mwiko na kuna paper nilikuwa napiga A pekee, unakuta B plus 2 na Supu za kumwaga. It was common kupata swali peke yangu kwenye darasa la watu 250! of course maswali yanayohitaji kufikiri. Kuna mijamaa sasahivi ni midaktari na limoja profesa but hawana hata 65% ya uwezo wangu.

Angalia msidanganyike
 
utamuona tu hata kwenye 6 by 6 vile ulivyomfundisha ndivyo hivyo hivyo! habadiliki wala hasugui ubongo kufikiri, ila hapa hapa nitajipinga tena, niliwahi kuwa na mtu wa engineering pale, i used to get close to those pipo there coz my dad ni lecturer mpaka leo pale, so i had this guy, lecturer as well! in intensions za kuendelea kubaki ud, kuolewa na kuishi ud coz niekuwa raised kule mpaka naolewa. but this guy was '0' in bed jamani. UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIII kila ninavyomfundisha ni hacoupe kabisa, but alinipenda sana, na hajaoa mpaka leo coz of me. tuki-kiss anafumba machoooo weeeee mpaka! lolest nikabwaga manyanga nikasepa,!

hahahahaha huyo alifika hapo kwa kukariri
 
sio kutembea na vyeti tu, pia personality ... how gentle, caring and nurturing you are, how think is your pocket etc.

Poleni vijana wa leo.

Duuh ngoja nikeshe sasa,, Hv huku kwenye G.P.A wanaangalia kuanzia ngapi?? Au ni Division tu ndo zaangaliwa?
 
nachopenda kujua akili zinarithishwa from generation to generation?
Tuna mtoto wa Nyerere yuko humu kuna thread ameanzisha ukiisoma huwezi kuamini kama huyu ni mtoto tena First born wa Baba wa Taifa!
Nakataa kata kata akili hazilithishwi bali akili ni nywele na kila mtu ana zake.
 
tatizo wanaume wanatuona wajinga sana... kwanza mtu kaamua kujizalia mwenyewe ... lazima awe selective atii
kuna genias mmoja ni dokta muhimbili ndo nammendea....
Ana ngoma
 
Mawazo ya huyu mama yana make sense,hata wanyama huchagua mbabe ili nao wazae mbabe,call it survival of thr fittest.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom