Kuzimu noma!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Muovu mmoja alipofika kuzimu alikutana na kiranja mkuu(satan).Kiranja akamwambia achague mojawapo ya vyumba vitatu kwa ajili ya adhabu.Akamfungulia cha kwanza;kilikuwa na jamaa wamesimamia vichwa katika sakafu ya mbao.Jamaa akaona hiki noma,akapelekwa cha pili ambacho nacho aliwakuta jamaa wamesimamia vichwa lakini katika sakafu ya saruji.Hakukipenda hiki pia hivyo akapelekwa cha tatu,huko aliwa kuta jamaa wamesimama kwa miguu lakini nusu ya mwili imezama kwa mavi huku kila mmoja akinywa kahawa.Jamaa akachagua hiki kwani angalau wanasimama wima na kunywa kahawa;shetani akamruhusu aingie na kabla hajafunga mlango akatoa amri,COFFEE TIME IS OVER,NOW AS USUAL,TURN UPSIDE DOWN!!!
 
acha maulongo zako mambo fulani.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom